Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

sio mushi wa mr uk ni mushi wa vitenge
 
Ni wivu tu kwa Mushi hapo. Biashara ni makubaliano hata kama akipewa bure kama wamekubaliana ni sawa. Wewe inakuuma nini??
 
Unachosema kweli kuna jamaa Alphard ilienda kwa milioni 4 alipewa mahela machafu jamaa aliyatoa ndani tu sijawahi ona mahela machafu kama yale duuuh.
Harafu hizo hela hawatoi muda wowote wanatoa sana kuanzia jioni na usiku huku watoaji wakiwa na wenge la hatari...jamaangu ashawahi kopa hizo hela alipokuja kunipa story na hela hajazitumia nikamwambia mrudishie hizo hela daah kila akipigiwa simu hapokei maana alianza kwa kumwambia amepata hela anataka azirudishe zile kwanza akamwambia hata siku mbili alipe sijui na riba ya mwezi waliendeshana ila kwa muda kidogo mpaka kufikia makubaliano ya kupokea ile hela yake...yeye anasema kaiweke bank mlipaji anagoma anamwambia mbona wewe ulikataa ishu ya bank yaani baadae ndio akaja kuamini mambo ya watu kutumia ushirikina kwenye hizo hela gari yake ilikua inapotea kwa Tsh 6m kwa dhamana ya hilux pick up double cab..
 
Yanakopa yanaenda kufanya ujinga Tu , aisee akili kisoda
 
Ni store zile mkuu nyumba ni yake anaweza kupangisha watu wakatunza Mali huko juu ambako hawezi kuweka maduka..
 
Pesa mkononi 😄 biashara mbona ya kimafia sana hio wakiamua kukuzunguka si dk sifuri
Hawazunguki ila waganga wao wanawaambia watoe pesa mkononi sio Bank sasa mkopaji akipigiwa simu kuwa nakuja faster sehemu fulani anachoangalia ni kutatua tatizo lake na hivyo vitu vingine muda mwingine wanaweza kukubeba kwenye gari ukaweke mwenyewe kwenye akaunti yako ila jua ndio unajikaanga mwenyewe...
 
Hana akili huyu pimbi , duh ! Kosa vyote si akili . Aisee halafu utakuta Mali za urithi halafu umezaa matoto viazi kama haya [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] unaacha fortune na vitega uchumi vya kutosha halafu yanaviua
hans macha kama sio nyumba za wazaramo asingetajirika leo tunaambiwa hatuna akili leo amekuwa shareholder mkubwa crdb kwasababu ya wazaramo lkn tumepata matusi leo sis ni pimbi
 
Achen ujinga nyie nyumba imepigwa mnada na benk watu wamenunua kama mtu mwingine yeyote sasakosa lake liko wapi. Si uende mahakaman shida iko wapi. Na kwanini bingwa hajitokez kama mwenye nyumba anamtuma mpangaji kulalamika as if ni mmiliki.
 
Kwanini sasa nyie wenye nyumba mnaweka nyumba ya billion 14 kwenye mkopo wa billion 1 ambayo pia mnashindwa kuilipa??
Shida mkuu, biashara zimeyumba. Halafu Sasa hiyo michawi unachujia kwao hela ndogo unaweka dhamana kubwa ukiwa na uhakika utailipa, lakini hailipiki kabisa, Yani michawi balaaa. HIYO INAITWAGA MIKOPO UMIZA[emoji33][emoji33][emoji29]
 
ushaona ubini wa Mushi. Kaa kwa kutulia
Hahah achukue vyake!!!

Hii alikuwaga nayo Masawe Alex nae,uliposikia Msofe amekaa ndani alijichanganya akanunua nyumba iliyokuwa bond kwa mgongo wa Masawe yaani mmiliki halali alikopa hela akapitisha siku moja akiwa safarini south kurudi akakuta nyumba imeuzwa akatakiwa ahamishe kila kilichokuwa chake akagoma akaishia kuuwawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…