TAJIRI WA KARIAKOO AJULIKANAYE KAMA PRIMI MUSHI KUNUNUA NA KUTAPELI NYUMBA ZA WATU K/KOO NA MAENEO MENGINE NCHIN YUKO NYUMA YA NAN?
Wanabodi kama uzi ulivyokaa hapo juu huyu ni mfanyabiashara wa vitengee karikoo lkn speedd yake ya kuwafua watu nyumba k/koo inatisha yuko nyuma ya nani ?kwasasa anamiliki zaidi gorofa 10 karikoo na nyumba za chin za kumwaga hapa miezi miwili iliyopita maulid kitenge alirusha habar mzee mmoja wa k/koo akilalamika kutapeliwa gorrofa yenye floor 7 mtaa wa nyamwezi na narungombe je ni haki mtu kuchukua gorofa k/koo kwa deni la billion 1 je mushi yuko juu ya sheria? je nyumba alochukua kipata na congo ni haki embu jamani tuangalie sis wanyonge twende wap