Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

Huna akili mimi nimekaa kkoo na nimefanya biashara kkoo nawajua wauza vitenge wote pamoja ni mushi acha uboya wewe kama umeuza mali ya urithi tulia imeenda hiyo
kipwintoo wewe ni mpumbavu, umekaa Kariakoo na kufanya biashara lakini bado huna mali kama ya Primo Mushi. Kazi yako ni kumsifia tu kama chawa wa siasa. Tuonyeshe gorofa lako, maskini waheed
 
Tutasingizia uchawi bule wengi wetu biashara hatuwezi mfano mtu anakopa pesa kuanzisha biashara tena hasio ijui kisa kaona watu wanafanya wengine wanakopa kupeleka watoto shule kwa mkumbo kwa ukopaji huo huo mkopa utaludishaje?kama sio kuchukuliwa nyumba
Omba sana yasikukute mkuu.
 
IMG_8477.jpg
 
alikuwepo jamaa anaitwa kuringe alipoingia magufuli alikimbia kwenda moshi ndio mwenye red stones club huyu p mushi wkt wa magufuli alikuwa kimya alipokufa anapandisha n=magorofa kama matatu kwa pamoja jiwe alikuwa yuko sahihi kuwachukia hawa jamaa
Alituchukia sana
 
hans macha kama sio nyumba za wazaramo asingetajirika leo tunaambiwa hatuna akili leo amekuwa shareholder mkubwa crdb kwasababu ya wazaramo lkn tumepata matusi leo sis ni pimbi
Mkuu sometimes nawaonea huruma lakini msipende sana slope nakuwa inferior, kitu ambacho hufahamu kuhusu kufanikiwa kwa sisi wachagga huwa kero tunazichukulia kawaida na hatupendi malalamiko, hata wakinga wapo hivo, makabila ya kanda ya ziwa wapo hivo pia sijui wanakwama wapi???
 
Acha uongo....primi mwenyewe humjui
Kuna siku huyu primi mushi alikuja hapa kibosho tukawa tunapiga naye stori za hapo kariakoo, nakumbuka wakati anashuka kwenye gari yake sisi tulikuwa na tajiri fulani anaitwa kimboka anakaa huku uchau...

Sasa mimi nilichoshangaa ni kimboka kumsifia tena wakati najua kimboka yuko vizuri, daah lakini huyu primi mushi na kimboka walikuwa wanakumbushiana madeal waliyo piga zamani zile na watu walio kufa nikajua hawa wazee walipambana ila kwa mbinde huwezi amini kimboka anasema walieendaga kupiga deal la vitenge kwa muhindi hasa zamani watu wana silaa nzito na wanapakia dot za vitenge toka stoo 🤗
Primi mushi naye ni kimboka pia kwa koo za huku kibosho kuna mushi za aina tofauti, yule kimboka wa buguruni alidanji namkumbuka na ni rafika wa mzee wangu sana ila yuko na kaka ake yuko njema sana.
 
Back
Top Bottom