Tajiri wa Katoro ana akili ya kutafuta Pesa lakini hana akili ya maisha

Willy chambulo ndiye alikuwa man of the matches!, the guy is so genius!,ninauzi humu wa kuilazimisha Tanzania kutumia card,kwa malipo yote,(swap)
Mishahara yote iwe inaingizwa kwenye swap cards,
Mfumo utawanywe kila pahala,madukani na msokoni kote Tanzania,cash money inayoruhusiwa mkononi isiwe zaidi ya milion moja tu,(petty) mtu akiwa na zaidi ya hapo awe questioned!?,aidha awe na maelezo na kibali maalumu,faida!
*Bank zitakuwa na fedha kweli
*Serekali itakuwa na fedha nyingi mno!
*Ukwepaji kodi utashindikana
*Mtu atakuwa na fedha nyingi na atashindwa kuzitumia maana atakamatwa!
*Money laundering itapungua au kuisha kabisa!
 
Rubbish
 
Ewaa
 
Ukute kajamaa kapo kwa shemeji, kula yake mpaka dada akazwe laini zote usiku kucha, kanakuja hapa kusema mfanyabiashara wa madini hana akili ya maisha
Kufanikiwa maisha si kumiliki fedha tu ndugu yangu
Kwa mwanaume kumiliki jinsia ya kiume au mwanamke kumiliki jinsia ya kike ni mafanikio tosha
 
Back
Top Bottom