Tajiri wa Katoro ana akili ya kutafuta Pesa lakini hana akili ya maisha

Tajiri wa Katoro ana akili ya kutafuta Pesa lakini hana akili ya maisha

Nimeshangaa sana Samia kudiss ile harusi

Na kuitumia kama fimbo ya kuwachapa wachimbaji wote wakiwemo wadogowadogo...

Hivi raisi anapaswa kuwa na mawazo ya namna hii?
 
Willy chambulo ndiye alikuwa man of the matches!, the guy is so genius!,ninauzi humu wa kuilazimisha Tanzania kutumia card,kwa malipo yote,(swap)
Mishahara yote iwe inaingizwa kwenye swap cards,
Mfumo utawanywe kila pahala,madukani na msokoni kote Tanzania,cash money inayoruhusiwa mkononi isiwe zaidi ya milion moja tu,(petty) mtu akiwa na zaidi ya hapo awe questioned!?,aidha awe na maelezo na kibali maalumu,faida!
*Bank zitakuwa na fedha kweli
*Serekali itakuwa na fedha nyingi mno!
*Ukwepaji kodi utashindikana
*Mtu atakuwa na fedha nyingi na atashindwa kuzitumia maana atakamatwa!
*Money laundering itapungua au kuisha kabisa!
Tengeneza mfumo imara na thabiti wa Cashless ndio ufanye hizo implementation za kuwataka watu wawe na cash kiasi kidogo
Unataka tuingie mazima cashless halafu unakutana na changamoto za NMB juzi au CRDB mwaka Jana Oktoba
Una ijua adha ya kuhitaji fedha na mfumo haifanyi kazi na huna alternative option??
 
🤣 Yaani mtu atafute hela kwa akili yake halafu ajitokeze fala ampangie jinsi ya kuishi na kutumia hela zake.

Tafuta zako uishi kama bakhresa
Za kazi gani tena mbona ninazo, utajiri si wa fedha tu bali hata uwepo wako
 
Kufuatilia maisha ya wanaume wenzako ipo Siku utamiminwa
Mwanaume mwenzangu yupi alafu mbona wanaume ni jinsia moja haya mambo ya kupandana ni kati ya jinsia mbili tofauti inakuwaje mnayazungumzia kwa jinsia moja
 
Mwanaume mwenzangu yupi alafu mbona wanaume ni jinsia moja haya mambo ya kupandana ni kati ya jinsia mbili tofauti inakuwaje mnayazungumzia kwa jinsia moja
Nikupe boda kwasiku uniletee 5000 tu baada ya mwaka iwe yako
 
Za kazi gani tena mbona ninazo, utajiri si wa fedha tu bali hata uwepo wako
Huna hela wewe, matajiri hatupangiani matumizi ya hela zetu ila tunasapotiana panapowezekana.
 
achaneni kubishana ujinga jadirini maneno ya raisi na impact zake kwa sekta ya madini
Mbona mnakua wajinga mnatoka njee ya mada

Inatakiwa tuulizane kama ma great thinker endapo serikal itaongoa misaada au ruzuku kwenye sekta ya madini ni hasara gan zitatokea je ni watu gan wata asilika zaidi

Shida ya watanzania sku izi upeo wa kuwaza na kufikiri umepungua tumekua watu wa kubishana vitu vya kijinga tu
Sisi watu wazima atujui kujadiri hoja za maana wala kujenga hoja afu tukikaa tunaanza walaumu gen z kumbe ata sisi watu wazima tumeshakua wajinga zaid ya hao gen z
 
Back
Top Bottom