pesakilakitu
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 1,618
- 2,861
Get rich or die trying
Baada Yakuonyeshwa Stoo Ya Magari Juzi Na Bilionea Lugumi nae kijana mdogo anaekuja kwa kasi ya kutisha kwenye utajiri Chief Godlove Kapata Hasira na kuamua kuvuta gari kali aina ya Maybach Virgil Abloh.
Ndinga hio Yenye Thamani Ya Milioni 700 Na zaidi Pia inatumiwa na Star Kutokea Nigeria Davido ambaye aliinunua Mwanzo Wa Mwaka Huu Na Zilikua Gari 150 Tu Duniani Gari Hiyo Ni Aina Ya maybach Moja Ya Magari Ya Thamani Duniani [emoji848][emoji848][emoji848]
[emoji25] Umaskin mbaya wakuu, siwez kuelezea nipasieni konekshen nikachukue hata utajiri wa punje.