Tajiri wa kutisha Chief Godlove avuta ndinga ya bei mbaya

Tajiri wa kutisha Chief Godlove avuta ndinga ya bei mbaya

Maybach kitu gani? Ushamba tu huyu dogo
17302994817158395222409205752471.jpg
 
History fupi :
______________
Amezaliwa kwenye familia ya kichungaji na alipozaliwa wakaona wamwite Godlove yani pendo la Mungu.
Katika data base, za siri za serikali. No : 829-290BBL ya wizara alienda kusajiri kama chama na kikundi cha watu wenye nia ya kusaidia jamii yatima na wajane, ndio huonesha anagawa nyama na mchele.
1. Huyu kijana :
Ni mwelevu sana anajua vijana wengi sana mna taka pesa za mafanikio ya haraka haraka.
2. Hivyo njia nyepesi ni kujifanya motivation speaker ambaye atawaaminisha anazo pesa, na mwanzo alikuwa hana pesa ilifika mahali ili kuwaaminisha alitumia pesa za mbao na makaratasi aliaibika sana enzi hizo.
3. Kwa kuwa mbuzi ni mbuzi tu wapo watanzania na watu kutoka nje wanaendelea kumiminika na wanalipia 100,000 kujiunga piga ni mbuzi ngapi anakusanya za kwa siku hadi leo amepata ni pesa za kutosha kuwaonesha ana nyumba na magari mazuri ila lazima utamsikia " Njoo ujiunge " ili kuendelea kukuza mtaji wa wajinga.
4. Lugumi walivyotranding na yale magari pale ni baba na mtoto sababu Lugumi ni mjanja mjanja sana ndio aliyemtumiaga mzee wa 900 Itapendeza kuharibu mnada kuziwa nyumba zake ndio huyu huyu wanaonekana wapo pamoja ana magari mapya ila wasiochokufahamu watu yale magari yote ni pesa za wizi ambazo Lugumu amezipiga kwenye miradi mingi ya wizi ambayo Mkaguzi wa serikali aliwahi kuyaibua ila kea kuwa mbuzi ni mbuzi tunaamini ametafuta kwa jasho, hili liliandiwa mapema wakijua kabisa vijana wakitanzania wakiona hiyo kitu mioyo itawauma na baada ya hapo itategeneza uchocheo wa wengi kuamini na kutaka kujiunga na hilo group lake.
Kwa taadhali nawaonya hakuna pesa za kuja kwa haraka tena kwa kulipia kiingilio kuweni na ufahamu huu.

Dr William Mtanzania Wa USA America's Post

 
Sasa mgari kama huu ndio wa kuvyonza hela zako ulizotafuta kwa akili na jasho?

Hawa wanapewa kupigia picha kwaajili ya kutangaza biashara..
 
Lakini nilishangaa huyo chief wenu kupewa manukato na hela na mwanaume mwenzake hadharani huku aliyempa akicheka. Kupewa manukato na hela bila kutolea jasho ni dalili ya kuchumbiwa au kuwa mke wa mtu.
 
Huyo mwamba ni masinema sana. Alikuwa anawachangisha watu dola mia mia ili na wao wawe matajiri kama yeye. Aliwaambia wawahi haraka kwasababu nafasi ni chache. Anaongea sana bila breki. Kuna siku anatukana yuko mbele ya magari huku kashika mbwa wawili anasema wake lakini ukiangalia vizuri unaona kabisa wale mbwa hawamtaki. Yaani hakuna ile bond kati ya yeye na mbwa wake ndio nikajua yule content creator kama hawa influencers wengine tu
 
SAFI KWAKE KAMA NI HELA ZA YESU MAANA MTU AKIMILIKI PESA ZA YESU NI MWANAUME HASWA MAANA KWANZA KUZIPATA TU UNAHENYEKA

ILA KAMA ZA SHETANI AH MI SISHITUKI HIZO MAANA HIZO UKIJITOA AKILI NA UTU WAKO NI RAHISI KUZIPATA
Za shetani anazitengeneza nani???
 
hio gari ilikuwa inauzwa mil 134 tena hio bei ya madalali sio $200,000 kama anavyosema mtoa maada
 
Get rich or die trying

Baada Yakuonyeshwa Stoo Ya Magari Juzi Na Bilionea Lugumi nae kijana mdogo anaekuja kwa kasi ya kutisha kwenye utajiri Chief Godlove Kapata Hasira na kuamua kuvuta gari kali aina ya Maybach Virgil Abloh.

Ndinga hio Yenye Thamani Ya Milioni 700 Na zaidi Pia inatumiwa na Star Kutokea Nigeria Davido ambaye aliinunua Mwanzo Wa Mwaka Huu Na Zilikua Gari 150 Tu Duniani Gari Hiyo Ni Aina Ya maybach Moja Ya Magari Ya Thamani Duniani [emoji848][emoji848][emoji848]

[emoji25] Umaskin mbaya wakuu, siwez kuelezea nipasieni konekshen nikachukue hata utajiri wa punje. View attachment 3139175
Ginimbi in making aandike Wosia mapema km Dokta Shika 'RIP'
 
Back
Top Bottom