Tajiri wa kutisha Chief Godlove avuta ndinga ya bei mbaya

aal(3).jpg
 
Huyo Godlove anatumika na Waziri -Katibu wa mama Kizimkazi.

Anatumika kuwasahaulisha waTZ misoto.

Maybach anapigia Picha tu ,siku nitaenda kwake kuona kama ipo parking.
Hivi huyo jamaa yuko level ya kutumiwa na waziri kweli?

Hivyo viutapeli uchwara vya kishamba tu atumiwe na waziri? Waziri kakosa watu smart kabisa?
 
Get rich or die trying

Baada Yakuonyeshwa Stoo Ya Magari Juzi Na Bilionea Lugumi nae kijana mdogo anaekuja kwa kasi ya kutisha kwenye utajiri Chief Godlove Kapata Hasira na kuamua kuvuta gari kali aina ya Maybach Virgil Abloh.

Ndinga hio Yenye Thamani Ya Milioni 700 Na zaidi Pia inatumiwa na Star Kutokea Nigeria Davido ambaye aliinunua Mwanzo Wa Mwaka Huu Na Zilikua Gari 150 Tu Duniani Gari Hiyo Ni Aina Ya maybach Moja Ya Magari Ya Thamani Duniani [emoji848][emoji848][emoji848]

[emoji25] Umaskin mbaya wakuu, siwez kuelezea nipasieni konekshen nikachukue hata utajiri wa punje. View attachment 3139175
Siku akianza kunya keki na kukojoa wine ndio ntampa maua yake
 
Get rich or die trying

Baada Yakuonyeshwa Stoo Ya Magari Juzi Na Bilionea Lugumi nae kijana mdogo anaekuja kwa kasi ya kutisha kwenye utajiri Chief Godlove Kapata Hasira na kuamua kuvuta gari kali aina ya Maybach Virgil Abloh.

Ndinga hio Yenye Thamani Ya Milioni 700 Na zaidi Pia inatumiwa na Star Kutokea Nigeria Davido ambaye aliinunua Mwanzo Wa Mwaka Huu Na Zilikua Gari 150 Tu Duniani Gari Hiyo Ni Aina Ya maybach Moja Ya Magari Ya Thamani Duniani [emoji848][emoji848][emoji848]

[emoji25] Umaskin mbaya wakuu, siwez kuelezea nipasieni konekshen nikachukue hata utajiri wa punje. View attachment 3139175

mbona katakataka?

YESU NI BWANA&MWOKOZI
 
Hivi zinamudu humps za Tanzania!
 
SAFI KWAKE KAMA NI HELA ZA YESU MAANA MTU AKIMILIKI PESA ZA YESU NI MWANAUME HASWA MAANA KWANZA KUZIPATA TU UNAHENYEKA

ILA KAMA ZA SHETANI AH MI SISHITUKI HIZO MAANA HIZO UKIJITOA AKILI NA UTU WAKO NI RAHISI KUZIPATA
Acha kujifariji wew ushapelea tu
 
Get rich or die trying

Baada Yakuonyeshwa Stoo Ya Magari Juzi Na Bilionea Lugumi nae kijana mdogo anaekuja kwa kasi ya kutisha kwenye utajiri Chief Godlove Kapata Hasira na kuamua kuvuta gari kali aina ya Maybach Virgil Abloh.

Ndinga hio Yenye Thamani Ya Milioni 700 Na zaidi Pia inatumiwa na Star Kutokea Nigeria Davido ambaye aliinunua Mwanzo Wa Mwaka Huu Na Zilikua Gari 150 Tu Duniani Gari Hiyo Ni Aina Ya maybach Moja Ya Magari Ya Thamani Duniani [emoji848][emoji848][emoji848]

[emoji25] Umaskin mbaya wakuu, siwez kuelezea nipasieni konekshen nikachukue hata utajiri wa punje. View attachment 3139175
Sawa, wewe unafaidika na nini hapa?
 
Siyo Godlove mwenyewe unajipromote hapa?

Kuanzia Avatar yako hadi topic ipo kigodlove godlove flani'v!
 
Hivi huyo jamaa yuko level ya kutumiwa na waziri kweli?

Hivyo viutapeli uchwara vya kishamba tu atumiwe na waziri? Waziri kakosa watu smart kabisa?
Mbona tivu ake anatumika tena kwa sasa ni Protokali ofisa wa ikulu ,sasa tivu na tapeli chioef si ndiyo wale wale tu?
 
Back
Top Bottom