Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Nenda kwa Pidydy utaipata zaidi ya hii.Get rich or die trying
Baada Yakuonyeshwa Stoo Ya Magari Juzi Na Bilionea Lugumi nae kijana mdogo anaekuja kwa kasi ya kutisha kwenye utajiri Chief Godlove Kapata Hasira na kuamua kuvuta gari kali aina ya Maybach Virgil Abloh.
Ndinga hio Yenye Thamani Ya Milioni 700 Na zaidi Pia inatumiwa na Star Kutokea Nigeria Davido ambaye aliinunua Mwanzo Wa Mwaka Huu Na Zilikua Gari 150 Tu Duniani Gari Hiyo Ni Aina Ya maybach Moja Ya Magari Ya Thamani Duniani [emoji848][emoji848][emoji848]
[emoji25] Umaskin mbaya wakuu, siwez kuelezea nipasieni konekshen nikachukue hata utajiri wa punje. View attachment 3139175
Acha kutamani mali za mwanaume mwenzio