Tajiri wa kutisha Chief Godlove avuta ndinga ya bei mbaya

Nenda kwa Pidydy utaipata zaidi ya hii.

Acha kutamani mali za mwanaume mwenzio
 
Moyo wako umejaa chuki,Hasira,Wivu akili za kimaskini,Maneno ya mkosaji
 
Ni maskini tu ambaye hupoteza muda wake kusifia watu walio na pesa...
Tena ni umaskini mbaya sana. Mimi nikukuta mtu tena mwanaume anamsifia mtu kwa utajiri wake nakata na urafiki naye.

Anasahau kuwa Watanzania tuko 65M na mtu mmoja pekee ndiye ameweza kununua gari kama hiyo.

Anataka kutufanya sisi wengine 64.99M hatuna akili?

Majinga sana majitu kama haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…