Tajiri Yusuf Bakhressa nakushauri acha kupoteza Fedha zako Kuihangaikia Azam FC basi hizo Fedha kasaidie Yatima Ubarikiwe zaidi

Kilio chote hiki kisa kipigo cha Yanga. Uliishaambiwa Yanga ni dude fulani kuuubwa.
 
Kutafuta umewahi kumshauri? Lakini kutumia eti ndio una mshauri kimbelembele tu. Ni kukumbushe tu Azam fc ni ya familia yao. Sio y WANACHAMA. Unawashwa nn?
 
Genta hebu nisaidie rafiki yangu.
Nini kiliwaaminisha kwamba Azam lazima amfunge Yanga labda ifanyike hujuma?
1.Azam Wana kikosi Bora Sana?
2.Yanga Wana kikosi dhaifu?
 
Mbuzi gitaa Mzee wa ukwaju yupo bize na biashara ishu za sijui team mwanae ndio yupo bize nayo
 
Huna akili za kumshinda Bakhresa hata kiduchu.

Saa zingine wanavyokushambulia humu mimi huwa naona wanakuonea, kumbe unastahiki. Punguani wahed.
 
Huna akili za kumshinda Bakhresa hata kiduchu.

Saa zingine wanavyokushambulia humu mimi huwa naona wanakuonea, kumbe unastahiki. Punguani wahed.
Faiza Kuna mtu wa kumuonea huyo kima kweli humu, umuonee chizi upate nini
 
Hivi kwann Tajiri akitumia hela zake maskini huwa wanaona kama anachezea hela hivi?
 
Kwahiyo yote haya ni makasiriko ya kipigo cha jana pale Mkwakwani? Wapigwe Lamba lamba fc, waumie Madunduka fc?
 
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁💯💯💯
 

Timu bora na imara hushinda mechi japo na bahati pia wakati mwingine inahitajika katika mpira
 
Kwenye Soka Yusuph ,mshauri wake ni Mzozo, Dodi , na kally , wakikutana sebuleni pale jioni ,watamshauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…