Tajiri Zackaria Hans poppe amerejea rasmi Simba

Tajiri Zackaria Hans poppe amerejea rasmi Simba

Yote kwa yote YANGA bingwa

Hilo Wanasimba wote tunalijua labda awe tu Mwanasimba ' mwendawazimu ' ndiyo atalibishia. Labda tu nianze kuwa wa Kwanza kuwapeni ' Kongole / Pongezi ' zangu za dhati kabisa wana Yanga FC wote mliopo humu JF kwa Kesho kuchukua tena ' Ubingwa ' wa VPL na safari hii mkiwa mmeweka nadhani rekodi ya ' Kipekee ' kabisa ya kulichukua Kombe kwa mara ya Tatu mfululizo na sasa linaenda kuwa ' Mali ' yenu pale Jangwani. Hongereni sana ila jitahidi sasa muijenge Timu yenu iwe ya ' Ushindani ' zaidi hasa Kimataifa na mfike mbali ili muweze kuwauza Wachezaji wenu na kuitangaza pia Tanzania huko Kimataifa.

Wanasimba wenzangu Mimi sijazoea ' Unafiki ' na sifa kuu huwa ni ' kunyoosha ' na kuwa ' mkweli ' daima. Ubingwa huu wa VPL tumeukosa wala siyo kwa sababu sijui za TFF au Referees bali tumeukosa kwa ' upuuzi ' wa Watu wawili tu Rais Aveva na Makamu wake Kaburu hasa kwa ' Kuendekeza ' Makundi yao ndani ya Klabu hali ambayo kuna wakati ilipelekea Wachezaji wetu nao ' kugawanyika ' na kuweza kucheza chini ya Viwango vyao kwa ' amri ' za hawa Viongozi wawili kitu ambacho kilituathiri mno katika mechi zatu mbili za mzunguko wa Kwanza na mechi zetu tatu za mzunguko huu wa pili unaoenda kumalizika Weekend hii.

Tunachotakiwa kukifanya tu sasa ni kuiombea Timu yetu angalau iifunge Mbao FC katika Fainali ya ASFC ili nasi tucheze Shirikisho ambapo kama tutafanya vizuri na tukiwa na Kikosi kizuri basi Simba SC inaweza hata ' kupenya ' na kuingia Makundi ya Champions League na pengine hata kuweza kukutana na ' Mahasimu ' wetu Yanga FC na kwa pamoja tukaipeperusha bendera ya Tanzania Kimataifa hali ambayo itawapa ' exposure ' kubwa Wachezaji wetu na hata kununuliwa na Vilabu vya nje ili hatimae mwishoni Tanzania iwe na Kikosi imara katika Timu yetu ya Taifa ( Taifa Stars )

Yanga FC hongereni sana na pongezi zenu nyingi kwani nina uhakika 100% iwe mvua au jua Kesho pale Taifa ' mnatawazwa ' tena kuwa ' Machampioni ' wa VPL. Na niwaombe tu Kiungwana kabisa Wanasimba wenzangu popote pale mtakapokuwa kuwa Kesho Yanga FC ikishatawazwa tu kuwa ' Mabingwa ' mfuatae ' Mshabiki ' yoyote yule wa Yanga FC unayemjua na mwambie tu Kiuanamichezo kuwa Hongera na Pongezi kubwa kwa kuwa Mabingwa tena bila hata ya kuchukia kwani hakuna ubishi na tuweke ' ushabiki ' maandazi wetu pembeni Yanga FC kwa aina ya Kikosi chao na wanavyojua ' Kujipanga ' walistahili na wanastahili kuwa ' Mabingwa ' wa VPL.
 
Hivi hii ni mara ya ngapi kwa yeye kutishia kujiuzuru, halafu anabembelezwa na wanachama abatirishe uhamuzi wake - hii inaleta taswira gani kwenye klabu ya simba - kuna tatizo gani hasa?
 
Nyie mabwege kweli,hivi kunamijitu na mbupu zao bado yanashabikia Mpira Wa bongo kweli??
 
Nyie mabwege kweli,hivi kunamijitu na mbupu zao bado yanashabikia Mpira Wa bongo kweli??

Nadhani ID yako ungejiita ' Doggy ' ingekupendeza mno kwani hata hata uliyoyaandika hapa unaweza kuyapata sana katika ' Ubongo ' wa Mbwa aliyetukuka.
 
Mimi na Wewe hatujui Mkuu hivyo tuache ' kubahatisha ' na ikibidi baki tu na Timu yako ya Yanga FC au kamuuguze Mchezaji wenu Simon Happygod Msuva ambaye juzi mlimvalisha ' Jezi ' kumbe ndani yake ' mmeishonea ' Hirizi bila ya Yeye kujua ili aibebe Timu yenu ' Kiuchawi ' na bahati mbaya ' akagonganga ' na Mtu aliyekuwa na ' Hirizi ' kubwa zaidi yake Mchezaji Shamte wa Mbeya City na akapasuka na kuchanika vibaya nusura ya Kufa pale Uwanjani.

Waambie Uongozi wa Yanga FC kuwa kuanzia sasa wakiwa wanawavalisha ' Hirizi ' za ' Majini ' Wachezaji wake basi angalau wawe wanawaambia ili wajue kuliko kufanya kwa Siri halafu mwishoni mnakuja ' kuwaumiza ' kama vile juzi kwa Msuva.

au ' nitiririke ' na ' niserereke ' hapa JF vizuri juu ya aina ya ' Uchawi ' ambao Yanga FC mnaufanya ambao unaathiri sana hata ' uchezaji ' wa Wachezaji wenu? Unajua kilichomkuta Ngoma? Unajua kwanini Dante sasa analalamika akiwa mazoezini anaona vizuri ila akiwa uwanjani katika mechi haoni? Unajua Beki na Nahodha wenu Cannavaro kwanini hapatani sasa na akina Kelvin na Bossou? Unajua kwanini sasa hivi Ben Kakolanya ndiyo Kipa chagua moja na akina Barthez na Dida hawana tena thamani? Unajua bifu la Dida na Barthez ' Magolikipa ' wenu muhimu kabisa limetokana na nini?

Mkuu tena nakuomba ' utulie ' hivyo hivyo nisije ' nikawaumbua ' humu Yanga FC yako / yenu.
Hapo ndio munapoharibu watani uchawi na hirizi havina nafasi kwenye dunia ya sayansi na teknologia Jiongeze mtani au m utaendelea kuusikia ubingwa kwenye redio tu
 
Hapana huyu Yeye ndiye mwenye yale ' Malori ' makubwa ya kusafirisha ' Mafuta ' Congo DR, Rwanda, Burundi, Zambia na Malawi yenye ' Nembo ' kubwa ya ZHP lakini pia ana ' Biashara ' zake nyingi zingine ndani na nje ya nchi. Pia ndiye mwenye Bar moja nzuri sana na ' tulivu ' ipo maeneo ya ' Avocado ' mtaa wa nyuma na ilipo Bar ya Tripple 7.

Ameingia katika Biashara baada ya kuamua kuachana na JWTZ ( Jeshi la Wananchi wa Tanzania ) ambapo ameachana na Jeshi miaka ya mwishoni ya 80 akiwa na ' Cheo ' chake Kikubwa tu cha ' Captain '. Ni Mtu mmoja makini tena kutokea katika Kabila la Watu wenye maamuzi ya mwisho la ' Kihehe ' kutoka Mkoani Iringa na hapendi ' masihara ' ya ' Kijinga Kijinga '.

Binafsi nashukuru amerudi ' Kundini ' kwani nina uhakika bila yeye kurudi basi mechi yetu ya Jumamosi ya kumaliza Ligi dhidi ya Mwadui FC najua Simba SC tungefungwa tutake tusitake lakini hata mechi yetu ya fainali ya ASFC dhidi ya Mbao FC nayo pia tungefungwa kwa sababu zangu Kuu tatu ambazo nikijisikia kuzielezea baadae humu nitafanya hivyo.

Ni imani yangu kubwa kuwa juhudi hizo hizo za Kiungwana na Kibusara ambazo zimeweza kumrejesha Klabuni ' Tajiri ' Hanspoppe basi zitatumika pia kuweza kumrejesha na Kubwa la Matajiri Tanzania nzima Mohammed Dewji ' MO ' ili ' Jahazi ' letu liende vyema kwani hakuna asiyejua kuwa Wanaoibeba Klabu ya Simba kwa nguvu zao kubwa na kwa kila kitu ni Zackaria Hanspoppe na Mohammed Dewji ' MO '.
Hans Poppe alitaka kumpindua Julius Nyerere....akafungwa Kwa miaka karibu 12....akaachiwa baada ya muundo wa vyama vingi
 
Lakini hicho chanzo kingepaswa kujibu maswala ya msingi, vinginevyo ni kama hawajaeleza lolote kuhusiana na kurejea huko:
(1) Hans Poppe alidai kuwa anapigwa danadana na akina Aveva ndiyo akajiuzulu. Hiyo danadana ilidanadanukaje? Yaani hatimaye walimwita au aliwaita? Na kama kweli alikuwa ameshaamua kujiuzulu, kwa nini ajihangaishe kuwatafuta? Au kama wao walimtafuta, kwa nini awafuate ilhali alikwishapitisha maamuzi ya kujiuzulu? (2) Je kurejea kwake kulikuwa kwa masharti gani? Kama ni bila masharti, atatushawishije kwamba hakuwa akitingisha kiberiti? Na kama ni kutingisha kiberiti, haoni kwamba anatutengenezea miwani ya kumwona alikuwa akidai chake kistaarabu? (3) Kitu gani kilichosibu ndani ya Kikao cha Usuluhishi kilichomfanya kuungana tena na watu aliyowaona hawakuwa na uungwana? Au ameridhika kwamba Mo Dewji hastahili tena heshima ambayo yeye Hans alituaminisha inamstahiki Mo?

mkuu wakikupa majibu ya haya maswali unitag.
 
Mimi na Wewe hatujui Mkuu hivyo tuache ' kubahatisha ' na ikibidi baki tu na Timu yako ya Yanga FC au kamuuguze Mchezaji wenu Simon Happygod Msuva ambaye juzi mlimvalisha ' Jezi ' kumbe ndani yake ' mmeishonea ' Hirizi bila ya Yeye kujua ili aibebe Timu yenu ' Kiuchawi ' na bahati mbaya ' akagonganga ' na Mtu aliyekuwa na ' Hirizi ' kubwa zaidi yake Mchezaji Shamte wa Mbeya City na akapasuka na kuchanika vibaya nusura ya Kufa pale Uwanjani.

Waambie Uongozi wa Yanga FC kuwa kuanzia sasa wakiwa wanawavalisha ' Hirizi ' za ' Majini ' Wachezaji wake basi angalau wawe wanawaambia ili wajue kuliko kufanya kwa Siri halafu mwishoni mnakuja ' kuwaumiza ' kama vile juzi kwa Msuva.

au ' nitiririke ' na ' niserereke ' hapa JF vizuri juu ya aina ya ' Uchawi ' ambao Yanga FC mnaufanya ambao unaathiri sana hata ' uchezaji ' wa Wachezaji wenu? Unajua kilichomkuta Ngoma? Unajua kwanini Dante sasa analalamika akiwa mazoezini anaona vizuri ila akiwa uwanjani katika mechi haoni? Unajua Beki na Nahodha wenu Cannavaro kwanini hapatani sasa na akina Kelvin na Bossou? Unajua kwanini sasa hivi Ben Kakolanya ndiyo Kipa chagua moja na akina Barthez na Dida hawana tena thamani? Unajua bifu la Dida na Barthez ' Magolikipa ' wenu muhimu kabisa limetokana na nini?

Mkuu tena nakuomba ' utulie ' hivyo hivyo nisije ' nikawaumbua ' humu Yanga FC yako / yenu.

Mkuu kwa kumwaga povu hujambo, miaka mnne na mbwembwe zile za kumtoa Aden mkijiona ndio muarobaini wapi kiongozi, mmebaki mapovu mara table tennis, oooooh mara fulani wetu, ni wakati muafaka bado hamjachelewa nendeni mkamuombe radhi Aden, laana itawatafuna
 
Inaonyesha jinsi gani hawastahiri kuwa mabingwa, viongozi hawana misimamo. Watasubiri sana.
 
Kafanya maamuzi kama ya bwana yule le bashite professeri 'wanachama wakikuomba urudi shurti utii' in le profeseri's voice
 
Kwa taarifa za uhakika kabisa na zilizonifikia hivi punde kutoka kwa Mtu wa karibu wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili wa Klabu ya Simba SC na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji wa Simba SC ' Tajiri ' Zackaria Hanspoppe ' ametengua ' rasmi ' maamuzi ' yake ya ' Kujiuzulu ' aliyoyatoa jana na sasa amerejea rasmi Msimbazi na ataendelea kuisaidia na kushirikiana na Uongozi wote wa Klabu.

Kila la kheri.

Hans-Lipumba
 
Mimi na Wewe hatujui Mkuu hivyo tuache ' kubahatisha ' na ikibidi baki tu na Timu yako ya Yanga FC au kamuuguze Mchezaji wenu Simon Happygod Msuva ambaye juzi mlimvalisha ' Jezi ' kumbe ndani yake ' mmeishonea ' Hirizi bila ya Yeye kujua ili aibebe Timu yenu ' Kiuchawi ' na bahati mbaya ' akagonganga ' na Mtu aliyekuwa na ' Hirizi ' kubwa zaidi yake Mchezaji Shamte wa Mbeya City na akapasuka na kuchanika vibaya nusura ya Kufa pale Uwanjani.

Waambie Uongozi wa Yanga FC kuwa kuanzia sasa wakiwa wanawavalisha ' Hirizi ' za ' Majini ' Wachezaji wake basi angalau wawe wanawaambia ili wajue kuliko kufanya kwa Siri halafu mwishoni mnakuja ' kuwaumiza ' kama vile juzi kwa Msuva.

au ' nitiririke ' na ' niserereke ' hapa JF vizuri juu ya aina ya ' Uchawi ' ambao Yanga FC mnaufanya ambao unaathiri sana hata ' uchezaji ' wa Wachezaji wenu? Unajua kilichomkuta Ngoma? Unajua kwanini Dante sasa analalamika akiwa mazoezini anaona vizuri ila akiwa uwanjani katika mechi haoni? Unajua Beki na Nahodha wenu Cannavaro kwanini hapatani sasa na akina Kelvin na Bossou? Unajua kwanini sasa hivi Ben Kakolanya ndiyo Kipa chagua moja na akina Barthez na Dida hawana tena thamani? Unajua bifu la Dida na Barthez ' Magolikipa ' wenu muhimu kabisa limetokana na nini?

Mkuu tena nakuomba ' utulie ' hivyo hivyo nisije ' nikawaumbua ' humu Yanga FC yako / yenu.
Povu tupu, tena la OMO
 
Kumbe ninapokuwa ' nawadharau ' baadhi yenu humu JF kwa kuwa ' Wapumbavu ' huwa sikosei. Leo unanitaka nikupe sababu zilizomfanya Hanspoppe kurejea Simba SC wakati hata Yeye mwenyewe jana na leo ' amekataa ' kusema nini ' kilimsibu ' je unadhani nitakuwa na uwezo tena wa kujua alikumbwa na nini? au unataka na Mimi niwe ' Mbashiri ' kama walivyo ' Waswahili ' wengine?

Yaani maswali yako yote uliyouliza hapo juu yapo very ' blanketed ' na too ' illogical ' na yameweza pia kunisaidia kujua Wewe ni Mtu wa aina gani hasa ' Kiupeo '. Wewe umeletewa ' Breaking News ' ya ' urejeo ' wa Zackaria Hanspoppe ' Kundini ' hivyo hayo mambo mengine unayotaka kuyajua subiri Uongozi uitishe Press Conference ndipo unaweza ukawa katika nafasi nzuri kabisa ya kulizungumzia hili kwa Kina kabisa.

Please next time try to reason like a real Intellectual and Great Thinker. All the best!
Who told you I am a real intellectual? Who told you you are an intellectual?
 
Back
Top Bottom