Ukianza kufuga uniite nichkue ujuzi[emoji4]Nitashukuru sana mkuu na vipi initial cost zake?
Faida au gharama ya kuuza ni sawa kwa sumu zote au inategemea na aina ya nyoka?
Nitakuja kukutembelea broUyole
Karibu kijana
Alafu wewe! Ukakimbia kabisa tena?Ukianza kufuga uniite nichkue ujuzi[emoji4]
Ha ha ha kweli kabisa yani usipomkuta bandani hata hautalala usiku huoππ Ushawahi kuwaza Siku umemkosa snake mmoja bandani nijinsi gn utamtafuta? Bora ufugaji wa mende tu
Ha ha ha kweli kabisa yani usipomkuta bandani hata hautalala usiku huoππ Ushawahi kuwaza Siku umemkosa snake mmoja bandani nijinsi gn utamtafuta? Bora ufugaji wa mende tu
Du hatariMagufuli akiendelea kukaza hivihivi, sintoshangaa kusikia kilimo cha kufuga majini.