Tajirika na Kilimo cha Nyoka: Tuwapende na kuwatumia Nyoka badala ya kuwaua

Tajirika na Kilimo cha Nyoka: Tuwapende na kuwatumia Nyoka badala ya kuwaua

Soko.lake la sumu lipo wapi na na wanapimje kwa hii ni sumu ya nyoka fulani
 
Naomba nitumie picha wakati unasafisha banda lao,na ile ya kuwapa chakula!
 
Ni fursa nzuri ila kwa mazingira ninapoishi si rafiki kwa hawa viumbe.
 
😉😉 Ushawahi kuwaza Siku umemkosa snake mmoja bandani nijinsi gn utamtafuta? Bora ufugaji wa mende tu
 
Mi kuwafuga sio tatizo ila kwenye kuvuna hiyo sumu hapana. Aje mtu mwingine kuivuna
 
Aiseeeh,

Kweli Dunia ndiyo sasa inaanza kuonesha kile Kitabu cha Mwanzo cha vitabu vitakatifu kama Biblia kuwa nyoka walikuwa wanapiga story na Adamu na Eva kule Edeni.

Maana , siyo kwa wazo hili.

Daaaaah, Nimecheka sana.
 
!
!
umesahau faida nyingine, nyoka ni walimu wazuri wa sanaa ya mapigano kama tu ilivyokuwa Kwenye Snake in the Monkey Shadow
 
Hivi vilimo sasa,vipi siku wakivunja banda patakalika kweli
 
Back
Top Bottom