mahiketujio
Member
- Apr 25, 2017
- 51
- 82
Elimu nzuri sana hio naweza kujua uko Mbeya sehem gani ili nikutembeleeLipo mbeya nashukuru Mungu mambo yanakwenda vizuri,nawashukuru watu wa Mali asili kwa ushirikiano na ushauri wanaonipatia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elimu nzuri sana hio naweza kujua uko Mbeya sehem gani ili nikutembeleeLipo mbeya nashukuru Mungu mambo yanakwenda vizuri,nawashukuru watu wa Mali asili kwa ushirikiano na ushauri wanaonipatia
Mimi naishi uyole nsalaga. Wewe upo uyole sehemu gani nije npate darasa mkuu.Uyole
Karibu kijana
Mbeya sehemu gani tukakutembelee??Lipo mbeya nashukuru Mungu mambo yanakwenda vizuri,nawashukuru watu wa Mali asili kwa ushirikiano na ushauri wanaonipatia
View attachment 502154
Kilimo cha nyoka ni moja ya kilimo yenye faida sana ,mmoja anaweza akaanzisha kilimo hichi ukizingatia thamani ya "snake venom" ipo juu sana.Sumu ya nyoka inatumika kwa wingi kwenye viwanda vya famasia na viwanda vya vipodozi hivyo thamani ya "snake venom " ipo juu sana kutokana na uhitaji wake.
View attachment 502152
Gram moja ya "snake venom " kwa soko la kimataifa inauzwa $1880 ,na kwenye soko la Afrika kusini inauzwa kwa makadirio ya Rand 25,000
*Kama unafikiria kuanzisha shamba lako la nyoka ,yafuatayo ni mambo muhimu ya kuzingatia ili uweze kupata faida ya kutosha kutokana na venom wanayozalisha Nyoka
1.zingatia hali ya joto na hewa .
View attachment 502150
Nyoka wanahitaji joto ya kiwango cha 24-29 degrees Celsius nyakati ya siku na 21-24 nyakati za usiku,
2.mabanda na nyumba za nyoka zinahitaji kusafishwa mara kwa Mara
Hali hiyo itasaidia kukuza uzalishaji wa nyoka kwa wingi.Nyoka wanahitaji kuwekwa mahali salama kuzuia matatizo yeyote ile ya kiafya kuwapata.
3.Nyoka kwa kawaida hula panya 3-4 na hulishwa kwa wiki 3-4 .Nyoka hula panya walio hai lakini wanaweza kula waliokufa pia ,Nyoka hupenda kucheza na panya mwanzo kabla ya kuwala hivyo ni vema kuwapatia walio hai.
Faida 3 za ufugaji wa nyoka
1.uzalishaji wa venom ambayo ukiuza unapata kiasi kikubwa cha pesa.
2.hupunguza na kutokomeza wadudu waharibifu kama panya nk.Nyoka chakula chao kikuu ni panya hivyo husaidia kutusafishia shamba au nyumba kwa kuwamaliza wadudu hawa.
Dawa ya kuua sumu ya nyoka itengenezwayo kutoka kwa sumu ya nyoka, yaani anti-venom, ndiyo tiba bora pekee ya kuumwa na nyoka.
View attachment 502151
**Mwisho nawashauri ndugu zangu sio kila tukiwaona nyoka tunawaua ,nyoka ni rafiki zetu na sio maadui.Tuwatumie ipasavyo watatusaidia sana.
Sawa kiongoziNimeipenda hii project. Naomba unicheck chechesw@gmail.com tuongee zaidi
Endelea kufa masikini choice yakoNpo tear kufa masikini
Nyoka sifugi
Acha misimamo mikali mkuuNpo tear kufa masikini
Nyoka sifugi
Mrejesho tafadhali... Bado unalima hao nyoka??Unafuata process unapatiwa kibali.
Snake farms zipo nyingi mkuu mbona
Hizo pesa wewe huzitaki?NATAKA KUWA TAJIRI HILI NI SWALI LIKO KWA VICHWA VYA WENGI LAKINI HUU NI UHAKIKA
NAITWA DR, MDIRO namba 0746223645. KAMA UNAITAJI PESA ZA MAJINI AU NDAGU YA MALI AU UTAJIRI NDANI YA MASAA 72(SIKU TATU) NIPIGIE 0746223645. KIKUBWA NI KUSIKILIZA NA KUFATA MASHARTI. ANGALIZO USITUME SMS PIGA NA UWE NA NIA.(TAFADHALI PIGA SIMU UKIWA NA NIA YA DHATI)
Tapeli kama matapeli wengine?NATAKA KUWA TAJIRI HILI NI SWALI LIKO KWA VICHWA VYA WENGI LAKINI HUU NI UHAKIKA
NAITWA DR, MDIRO namba 0746223645. KAMA UNAITAJI PESA ZA MAJINI AU NDAGU YA MALI AU UTAJIRI NDANI YA MASAA 72(SIKU TATU) NIPIGIE 0746223645. KIKUBWA NI KUSIKILIZA NA KUFATA MASHARTI. ANGALIZO USITUME SMS PIGA NA UWE NA NIA.(TAFADHALI PIGA SIMU UKIWA NA NIA YA DHATI)
Naomba mawasiano naww kaka unipe consultation zaid maana nina project hiyo ambayo ipo mbioniLipo mbeya nashukuru Mungu mambo yanakwenda vizuri,nawashukuru watu wa Mali asili kwa ushirikiano na ushauri wanaonipatia