Takriban miaka 11 bado wakimbizi wa vurugu za PEV 2017 wazidi kutaabika.

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

Hili ni jambo la kusikitisha na kufedhehesha sana. Kenya ilishindwa kuwakamata na kuwashitaki watu waliohusika katika vurugu za kikabila za baada ya uchaguzi wa mwaka 2017, ambapo maelfu ya watu waliuliwa kinyama hadi ndani ya makanisa, badala yake serikali ya Jubilee ilitumia pesa nyingi kuwatetea UHURUTO ikiwemo kuwauwa wote waliokuwa tayari kutoa ushahidi dhidi yao.

Kama hiyo haitoshi, hadi Leo makundi makubwa ya watu waliopoteza makazi yao kutokana na vurugu hizo, bado wanaishi katika kambi za wakimbizi wa ndani na nje ya nchi(Uganda) bila msaada wowote, huku mabilioni ya pesa yakiibiwa na zingine kutumika kujenga miradi isiyokua na faida yoyote kwa wananchi, hii inathibitisha Maneno ya mwalimu Nyerere aliposema Kenya ni "Man eat man society". Kenya masikini na mwananchi wa chini hathaminiki kabisa.
 
Kama hiyo haitoshi, hadi Leo makundi makubwa ya watu waliopoteza makazi yao kutokana na vurugu hizo, bado wanaishi katika kambi za wakimbizi wa ndani na nje ya nchi(Uganda) bila msaada wowote. Maneno ya mwalimu Nyerere aliposema Kenya ni "Man eat man society". Kenya masikini na mwananchi wa chini hathaminiki kabisa.
2017-2019 ni miaka kumi na moja? Naona baada ya mods kukupiga ban ya mwendokasi uliruka kwenye uraibu wa kukesha ukivuta bange. 😀 Tulia, jipange, tafuta calculator, fanya mahesabu yako alafu ndio urejee upya.
 
Hahahaha, acha kukimbia ukweli, hukumbuki mwaka mliachinjana kwa sababu ya Ukabila?, japo 2017 pia mlichinjana kama kawaida yenu, lakini ile iliyotingisha dunia ni Rwanda Genocide 1994, na Kenya genocide 2007.
 
Niaje rafiki? Nimefurahi kukuona. Usiposalimika, I won't feel bad.
Asante sana kwa kunijali, pamoja na kwamba wakenya na Tanzania sio ndugu wala marafiki ila ni majirani tu, tena ujirani wenyewe unatokana na Kenya kujikomba kwa Tanzania, lakini wewe ni rafiki na ndugu wangu wa kweli, unanijali na kunikumbuka hata nisipokuwepo.
 
Roho mbaya hailipi joto la jiwe. Ungetaka kujua kilichofanyika wakati haukuwepo?
 
sasa hapo ni nouma... mara unioneshee mimi maluvu 😍 😘 halafu mida mingine unamuoneshea Joto la Jiwe, kwa hiyo unataka niombee aendelee kupigwa ban na mods? sasa mimi naona mawivu..... halafu unamuuliza eti umpikie nini. mimi sikubali hapo, wikendi hii lazima tuwe wote tu.
 
Hili ni jambo la kusikitisha na kufedhehesha sana. Kenya ilishindwa kuwakamata na kuwashitaki watu waliohusika katika vurugu za kikabila za baada ya uchaguzi wa mwaka 2017, ambapo maelfu ya watu waliuliwa kinyama hadi ndani ya makanisa, badala yake serikali ya Jubilee ilitumia pesa nyingi kuwatetea UHURUTO ikiwemo kuwauwa wote waliokuwa tayari kutoa ushahidi dhidi yao.

Kama hiyo haitoshi, hadi Leo makundi makubwa ya watu waliopoteza makazi yao kutokana na vurugu hizo, bado wanaishi katika kambi za wakimbizi wa ndani na nje ya nchi(Uganda) bila msaada wowote, huku mabilioni ya pesa yakiibiwa na zingine kutumika kujenga miradi isiyokua na faida yoyote kwa wananchi, hii inathibitisha Maneno ya mwalimu Nyerere aliposema Kenya ni "Man eat man society". Kenya masikini na mwananchi wa chini hathaminiki kabisa.

Karibu sana mzee. Karibu sana igweeee. Watu wamekumiss sana humu na mitusi na masihara yako.
 
sasa hapo ni nouma... mara unioneshee mimi maluvu 😍 😘 halafu mida mingine unamuoneshea Joto la Jiwe, kwa hiyo unataka niombee aendelee kupigwa ban na mods? sasa mimi naona mawivu..... halafu unamuuliza eti umpikie nini. mimi sikubali hapo, wikendi hii lazima tuwe wote tu.
Lol 😂
 
Hahahaha, acha kukimbia ukweli, hukumbuki mwaka mliachinjana kwa sababu ya Ukabila?, japo 2017 pia mlichinjana kama kawaida yenu, lakini ile iliyotingisha dunia ni Rwanda Genocide 1994, na Kenya genocide 2007,na Bagamoyo white elephant 2019.
 
sasa hapo ni nouma... mara unioneshee mimi maluvu [emoji7] [emoji8] halafu mida mingine unamuoneshea Joto la Jiwe, kwa hiyo unataka niombee aendelee kupigwa ban na mods? sasa mimi naona mawivu..... halafu unamuuliza eti umpikie nini. mimi sikubali hapo, wikendi hii lazima tuwe wote tu.
Hahahaha, Mimi huyo ni ndugu yangu wa damu sio mpenzi wangu, ndio sababu alipiga kelele sana kipindi nilipotekwa na watu wasiojulikana hana ikabidi waniachie huru, ingekuwa ni mpenzi wangu asingeweza kupiga kelele, angetafuta bwana mwengine kama alivyofanya Winnie Mandela wakati Mzee Mandela akiwa Gerezani.
 
Karibu sana mzee. Karibu sana igweeee. Watu wamekumiss sana humu na mitusi na masihara yako.
Asante, ila wewe ulifurahia sana matatizo yangu na ulipendekeza kwamba nisirudishwe tena hapa JF. Janerose pekee ndiye alitekuwa akiniombea nirudi.
 
Roho mbaya hailipi joto la jiwe. Ungetaka kujua kilichofanyika wakati haukuwepo?
Nilikua ninafuatilia kwa mbali kila kilichokua kinaendelea, wakenya wote walifurahia kuondoka kwangu, isipokua wewe tu. Ila sikushangaa sana kuona wakenya wanafurahia kufungiwa kwangu, walitaka kupumua japo kidogo. Sasa hivi nimerudi kuendeleza bakora, ninajua kuna watu humu wamenuna sana kuniona nimerudishwa.

Kuna watu humu waliokuwa wakinifuatilia kujua kama nipo online kila walipokua wakiamka usiku kwenda kujisaidia, lazima waliokuwa kabla ya kurudi kitandani kulala na wake zao, lazima waingie JF ili kuona kama nipo online, tatizo walikua hawawezi kuniambia, ila nilipokua banned ndio wakapata ujasiri wa kuekeza machungu yao. Kuna watu wananiogopa sana hapa JF, kurudi kwangu ni pigo kubwa kwao.
 
Kuna watu humu waliokuwa wakinifuatilia kujua kama nipo online kila walipokua wakiamka usiku kwenda kujisaidia, lazima waliokuwa kabla ya kurudi kitandani kulala na wake zao, lazima waingie JF ili kuona kama nipo online......}
😂😂😂hapa nimecheka sana joto la jiwe lakini ujue hujafanya vyema kuandika hivi. Najua mlengwa ni nani.
BTW hiyo ban yako ilikuwa fupi sana. I hope you learnt your lesson. Usiwe unashirikisha wazazi wa watu kwa mijadala ya kijinga.
 
Kuna watu humu waliokuwa wakinifuatilia kujua kama nipo online kila walipokua wakiamka usiku kwenda kujisaidia, lazima waliokuwa kabla ya kurudi kitandani kulala na wake zao, lazima waingie JF ili kuona kama nipo online......}
[emoji23][emoji23][emoji23]hapa nimecheka sana joto la jiwe lakini ujue hujafanya vyema kuandika hivi. Najua mlengwa ni nani.
BTW hiyo ban yako ilikuwa fupi sana. I hope you learnt your lesson. Usiwe unashirikisha wazazi wa watu kwa mijadala ya kijinga.
Hahahaha, hahahaha, hiyo ni siri yako usimuambie MTU.
 
Asante, ila wewe ulifurahia sana matatizo yangu na ulipendekeza kwamba nisirudishwe tena hapa JF. Janerose pekee ndiye alitekuwa akiniombea nirudi.
Si unajua kiafrika haikubaliki mwanaume mmoja kuonyesha mahaba kwa mwanaume mwenzake. Hata kama sikufurahia hio ban ilibidi nijifanye kuwa nimefurahia sana. Janerose alionyesha mapenzi kwani yeye ni mwanamke na anakubalika kimila kulia rafiki yake mme akipigwa ban. Lakini sisi wanaume ni kushangilia tu hakuna jingine.
 
Hahahaha, Mimi huyo ni ndugu yangu wa damu sio mpenzi wangu, ndio sababu alipiga kelele sana kipindi nilipotekwa na watu wasiojulikana hana ikabidi waniachie huru, ingekuwa ni mpenzi wangu asingeweza kupiga kelele, angetafuta bwana mwengine kama alivyofanya Winnie Mandela wakati Mzee Mandela akiwa Gerezani.

Ahaa aaa,
walau sasa mapigo ya moyo yametulia. Itabii niwe najikomba kwako ili unipigie ndogo ndogo.
🤣 🤣
 
Back
Top Bottom