Takriban vijana 700,000 wameikimbia Urusi hawataki kupelekwa kwenye vita

Atahama tu ni suala la muda

Hehehe yaani nikikumbuka nyuzi zilivyokua zinarindima siku ya kwanza ya haka ka-operation, jameni mpaka nikajua kiama cha Ukraine kimefika, halafu nione mnavyoandika mwaka mmoja baadaye mkiwa wanyonge kihivi nacheka sana
 
Msaidizi wa Zele kaachia ngazi huko
 
Habari za Urusi siyo saizi yako, zimekuzidi sana. Nakushauri tu kapambanie kombe pale Migingo Island kabla Gen. Muhozi Kainerugaba hajakiwasha mpaka Nairobi.
 
Propaganda as usual
Kaka bubuji kwahiyo hakuna raia wa urusi waliokimbia kuogopa kuandikishwa jeshini???????Na siku ile rais putin anatoa hotuba kwenye telwvisheni ya taifa na kusaini huu mswada ulipata nafasi ya kutazama RT??????Sio kila kitu propaganda kuna mengine ni ukweli na kuna mengine ni uongo na propaganda!!!!Lakini hili ni ukweli madogo wengi wamevuka mpaka nakukimbilia Georgia!!!
 
Habari za Urusi siyo saizi yako, zimekuzidi sana. Nakushauri tu kapambanie kombe pale Migingo Island kabla Gen. Muhozi Kainerugaba hajakiwasha mpaka Nairobi.
Muhozi a.k.a mtoto wa mama🤣🤣🤣🤣Nasikia kuna wakora pale dandora walimpiga na ndio maana ana machungu na wakenya
 
Kukimbia nchi ni kitu cha kawaida kabisa nchi zinapokuwa vitani. Hata Mohamed Ali alikataa kujiunga na jeshi la USA 🇺🇸 kipindi cha vita ya Vietnam 🇻🇳
 
Kukimbia nchi ni kitu cha kawaida kabisa nchi zinapokuwa vitani. Hata Mohamed Ali alikataa kujiunga na jeshi la USA 🇺🇸 kipindi cha vita ya Vietnam 🇻🇳

Hehehe pro-Russia mumeanza kukiri nchi iko vitani, sio special operation tena, maana kawaida kwenye special operation raia huwa hawakusanywi mitaani.
 
Kukimbia nchi ni kitu cha kawaida kabisa nchi zinapokuwa vitani. Hata Mohamed Ali alikataa kujiunga na jeshi la USA 🇺🇸 kipindi cha vita ya Vietnam 🇻🇳
Sasa hii habari ni kweli kaka sio propaganda!!!!!Japokua hatuwapendi wamagharibi na vombo vyao vya habari katika mengi!!!!Lakini sio kila kitu(Habari) ni propaganda msomi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…