Luno G
JF-Expert Member
- Sep 22, 2012
- 2,549
- 1,849
Kwa bahati mbaya nje ya utani sijawahi kuwa na ukaribu wa vinasaba(kwa maana ya mimi kuwa msukuma) wala kimaslahi(kwa maana ya mimi kuwa mmoja ya waliokuwa wanufaika wa sukuma gang)Wasukuma kazi mnayo,,kwaiyo unataka uyo jambazi Kakoko asishtakiwe
Hoja ya msingi hapa TAKURU waache kufanya kazi kufuata upepo na matamko ya kisiasa enzi za meko tulisikia wengi uchunguzi wao umekamilika matokeo yake hatuoni kesi zao mahakamani ndio maana napata wasiwasi na hili pia ndio maana natoa tahadhari