Kwa bahati mbaya nje ya utani sijawahi kuwa na ukaribu wa vinasaba(kwa maana ya mimi kuwa msukuma) wala kimaslahi(kwa maana ya mimi kuwa mmoja ya waliokuwa wanufaika wa sukuma gang)Wasukuma kazi mnayo,,kwaiyo unataka uyo jambazi Kakoko asishtakiwe
Yule alikuwa anakomolewa tuMbona uchunguzi wa kesi zingine za akina Rugemalila mpaka leo bado?
Sukuma Gang watakuja kupinga na hii!!Dar es Salaam. Taasisi ya Kuzuia na Kupamabana na Rushwa (Takukuru) imesema imekamilisha faili la uchunguzi kuhusu tuhuma zinazomkabili aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Deusdedit Kakoko.
Machi 30, mwaka huu taasisi hiyo ilimkamata Kakoko ili kuhojiwa kuhusu tuhuma za ufisadi zilizomkabili ikiwa ni siku mbili baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuagiza asimamishwe ili kupisha uchunguzi kuhusu udokozi wa fedha za umma.
Rais Samia alimwagiza pia Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Dk Charles Kichere kuchunguza jinsi Sh bilioni 3.6 zilivyotumika kwenye mamlaka ya bandari.
Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Brigedia Jenerali John Mbungo amesema uchunguzi dhidhi ya bosi huyo na maofisa wengine umekamilika kwa asilimia 98.
“Asilimia mbili zilizobakia ni taarifa ya CAG ambayo ni muhimu sana, bila hiyo hatuwezi kwenda mahakamani.”
Mbungo alisema ripoti ya uchunguzi huo inahusisha pia sehemu ya taarifa ya CAG ili kudhibitisha tuhuma zinamkabili.
Chanzo: Mwananchi
Pia soma:
Huyo ana wiki sasa kazama kwenye vilindi vya bahari kupoza mambo.Mafaili ya Dr. Tunguli AKA mtu maarufu twitter bado ?
Labda magu aje atuambie imekuaje.Mbona uchunguzi wa kesi zingine za akina Rugemalila mpaka leo bado?
Picha hizo mbili ndiyo maana halisi ya kuishi kama shetaniView attachment 1750827
Walipoingia angalia Walivyokuwa wamenawiri
View attachment 1750828
Daah! Jamani ni eidha waachiwe au wahukumiwe wanaweza kufia jela Matumbo yanazidi kurudi mgongoni.
Hela wamechukuwa wao , na nchi ndio ili guaranty mkopo, hivyo standard charted bank Malaysia wana subiri hela yao.Hao nafikiri, next appearance wataachiwa huru either kwa mashsrti au bila masharti. Mbaya wao hayupo tena.
Hela ilisha vushwa mipaka, inatakiwa irudi tuweze kulipa huko MalaysiaANi kwa vile hakuna kitu pale.
Ni mtimanyongo tu.
Kama ushahidi upo kwa nini jaupelekwi mahakamani?Hela ilisha vushwa mipaka, inatakiwa irudi tuweze kulipa huko Malaysia
Andengenye alizuga kwa kuomba msamaha baadae jiwe akamzawadia uRC.Hivi ule uchunguzi wa akina Andengenye(kwasasa ni RC alikuwaga kamshina wa zimamoto) na kangi uliishia wapi? Takukuru waache kufanyia kazi maagizo ya kisiasa haya ya viongozi wa kitaifa
Kabisa TAKURU nayo inabidi iangaliwe upya either kwa kuiongezea meno kisheria na kikanuni au ufumiliwe upya kwenye safu yake ya uongoziAndengenye alizuga kwa kuomba msamaha baadae jiwe akamzawadia uRC.
Kangi uelekeo wake ndo sikuufuatilia ila kiufupi hakukuwa na mwendelezo wa kesi.
HahahaaaaMbona uchunguzi wa kesi zingine za akina Rugemalila mpaka leo bado?
CAG anaingiaje hapo tena sasaDar es Salaam. Taasisi ya Kuzuia na Kupamabana na Rushwa (Takukuru) imesema imekamilisha faili la uchunguzi kuhusu tuhuma zinazomkabili aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Deusdedit Kakoko.
Machi 30, mwaka huu taasisi hiyo ilimkamata Kakoko ili kuhojiwa kuhusu tuhuma za ufisadi zilizomkabili ikiwa ni siku mbili baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuagiza asimamishwe ili kupisha uchunguzi kuhusu udokozi wa fedha za umma.
Rais Samia alimwagiza pia Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Dk Charles Kichere kuchunguza jinsi Sh bilioni 3.6 zilivyotumika kwenye mamlaka ya bandari.
Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Brigedia Jenerali John Mbungo amesema uchunguzi dhidhi ya bosi huyo na maofisa wengine umekamilika kwa asilimia 98.
“Asilimia mbili zilizobakia ni taarifa ya CAG ambayo ni muhimu sana, bila hiyo hatuwezi kwenda mahakamani.”
Mbungo alisema ripoti ya uchunguzi huo inahusisha pia sehemu ya taarifa ya CAG ili kudhibitisha tuhuma zinamkabili.
Chanzo: Mwananchi
Pia soma:
Mwendazake alikuwa zaidi ya shetaniYule alikuwa anakomolewa tu
Haya bhanaLabda magu aje atuambie imekuaje.
Ipo mahakamani na wameomba kuongea na DPPHela ilisha vushwa mipaka, inatakiwa irudi tuweze kulipa huko Malaysia
Uzuri serikali hii haijifanyi kuongozwa na malaika mkuu kama ile iliyopita,ndio maana hata yakitokea madudu hakuna atakayeshtuka.Hakuna serikali isiyokuwa na madudu hata hii utakuja kusikia tu ni Jambo la muda.
Hakuna serikali isiyokuwa na madudu hata hii utakuja kusikia tu ni Jambo la muda.