Takukuru Iringa, Fuatilieni kesi hii ya ndoa iliyokuwa Mahakama ya Mwanzo Bomani kwa Hakimu Rajabu muone aliyoyafanya

Unajua kuna wakati Wanawake wanazingua sana alafu ndiyo hupata Watetezi wengi sana, ukute huyo Mwanamke ndiyo chanzo cha kuomba taraka na huenda ameshawishika kuomba hiyo taraka kutokana na hizo Mali ili wagawane, kwani Mwanaume akiwa na kimada ndiyo sababu ya Mwanamke kuomba taraka?
 
Naomba nianze kwa kusema mahakama zetu kuna wakati zinajishushia heshima kwa kujitakiaa

Mh Rajabu kuna mtu uliamua kesi yake ya ndoa ambaye anafahamika kwa jina la, mwanamke huyu ameendelea kunyanyasika sana na amekuwa akikufuata mara nyingi lakini inaonekana aliekuwa mume wake ANAJIGAMBA kukuhonga fedha ili usimpe haki mtalaka MWENZIE.

Kwenye maamuzi yako uliofanya magari 3bajaji 4pikipiki hakuna hata kimoja alichopata huyo dada kinacho sikitisha ni kwamba hata viwanja viwili Kati ya 3 ulivyompa navyo ananyang'anywa na mtuhumiwa kwa mujibu wa mtuhumiwa anakuhonga wewe ili usiisimamie hukumu ulioitoa.

Takukuru & Jeshi la Polisi Iringa fuatilieni suala hili maana huyu dada kaachwa na watoto wadogo kwa mwanaume kupata kimada mwingine.
 
Mshauri akate rufaa mahakama kuu au akazie hukumu kama hajui haya atafute wakili wapo hata wa kujitolea, hili la wakili ndio muhimu sana kuna vyama vya mawakili wa kutetea wasio na uwezo. Mradi umeketa humu zingatia ushauri huo utashukuru.
 
Serikali ingilieni Kati mtuhumiwa sasa anapambana kumnyang'anya mtalaka mwenzie hata viwanja alivyopewa .na mtuhumiwa anajigamba kumuhonga hakim.
 
Mshauri akate rufaa mahakama kuu au akazie hukumu kama hajui haya atafute wakili wapo hata wa kujitolea, hili la wakili ndio muhimu sana kuna vyama vya mawakili wa kutetea wasio na uwezo.Mradi umeketa humu zingatia ushauri huo utashukuru.
Muda wa kukata rufaa umekwisha kimsingi mwanaume anatumia nguvu kuchukua hata haki aliyopewa na mahakama.
 
Amesema kuna haki flani huyo dada kapewa japo kwa dhuruma ila Bado mme wake kwa ushirikiano na hakimu wanampoka mali izo

Je kuna ubaya kumtete mtu anaye dhurumika, ama Mie nikimtetea dadako kuna kosa
Hakuna kosa
 
Mshauri akate rufaa mahakama kuu au akazie hukumu kama hajui haya atafute wakili wapo hata wa kujitolea,Hili la wakili ndio muhimu sana kuna vyama vya mawakili wa kutetea wasio na uwezo.Mradi umeketa humu zingatia ushauri huo utashukuru.
mwingine yupo mahakama ya mwanzo bunda mjini,rushwa kwake ni kama posho;
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…