Takukuru Iringa, Fuatilieni kesi hii ya ndoa iliyokuwa Mahakama ya Mwanzo Bomani kwa Hakimu Rajabu muone aliyoyafanya

Tafuta mwanasheria au hakimu mwingine tofauti na bwana Rajabu, mwelezee akupe muongozo nini cha kufanya..

Nawasilisha..
 
Muda wa kukata rufaa umekwisha kimsingi mwanaume anatumia nguvu kuchukua hata haki aliyopewa na mahakama.
Sasa Kisheria hakimu anahusika vipi na hukumu alishatoa akampa hivyo viwanja?
Kama mwanaume anamnyanga'nya hiyo ni kesi ya Polisi sio hakimu, ni uvamizi kama uvamizi wa mtu mwingine yeyote
 
Nafikiri Kanuni zipo wazi, kama Mtu hajaridhika na hukumu akate Rufaa kwenda Mahakama ya juu yake, bila shaka hiyo ni Mahakama ya mwanzo hivyo akate Rufaa kwenda Mahakama ya Wilaya.
Nipo single namwomba huyo mama
 
Sasa Kisheria hakimu anahusika vipi na hukumu alishatoa akampa hivyo viwanja?
Kama mwanaume anamnyanga'nya hiyo ni kesi ya Polisi sio hakimu, ni uvamizi kama uvamizi wa mtu mwingine yeyote
Inasadikika huyu mama mama anaporudi mahakamani anaambiwa amkublie mtalaka mwenzie na wakati hukum haisemi hivyo.na mtuhumiwa amekuwa akimtumia Hakim kama kinga yake.
 
Inasadikika huyu mama mama anaporudi mahakamani anaambiwa amkublie mtalaka mwenzie na wakati hukum haisemi hivyo.na mtuhumiwa amekuwa akimtumia Hakim kama kinga yake.
Ni vizuri umesema inasadikika, mambo ya kusadikika ni umbea usio na ushahidi.
Huyo hakimu angekuwa kama unavyomsema asingetoa hukumu aliyotoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…