Takukuru Iringa, Fuatilieni kesi hii ya ndoa iliyokuwa Mahakama ya Mwanzo Bomani kwa Hakimu Rajabu muone aliyoyafanya

Takukuru Iringa, Fuatilieni kesi hii ya ndoa iliyokuwa Mahakama ya Mwanzo Bomani kwa Hakimu Rajabu muone aliyoyafanya

Naomba nianze kwa kusema mahakama zetu kuna wakati zinajishushia heshima kwa kujitakiaa

Mh Rajabu kuna mtu uliamua kesi yake ya ndoa ambaye anafahamika kwa jina la Agata kuhaga,mwanamke huyu ameendelea kunyanyasika sana na amekuwa akikufuata mara nyingi lakini inaonekana aliekuwa mume wake ANAJIGAMBA kukuhonga fedha ili usimpe haki mtalaka MWENZIE.

Kwenye maamuzi yako uliofanya magari 3bajaji 4pikipiki hakuna hata kimoja alichopata huyo dada .kinacho sikitisha ni kwamba hata viwanja viwili Kati ya 3 ulivyompa navyo ananyang'anywa na mtuhumiwa .kwa mujibu wa mtuhumiwa anakuhonga wewe ili usiisimamie hukumu ulioitoa.

Takukuru & jeshi la polisi Iringa fuatilieni suala hili,maana huyu dada kaachwa na watoto wadogo kwa mwanaume kupata kimada mwingine.
Tafuta mwanasheria au hakimu mwingine tofauti na bwana Rajabu, mwelezee akupe muongozo nini cha kufanya..

Nawasilisha..
 
Muda wa kukata rufaa umekwisha kimsingi mwanaume anatumia nguvu kuchukua hata haki aliyopewa na mahakama.
Sasa Kisheria hakimu anahusika vipi na hukumu alishatoa akampa hivyo viwanja?
Kama mwanaume anamnyanga'nya hiyo ni kesi ya Polisi sio hakimu, ni uvamizi kama uvamizi wa mtu mwingine yeyote
 
Sasa Kisheria hakimu anahusika vipi na hukumu alishatoa akampa hivyo viwanja?
Kama mwanaume anamnyanga'nya hiyo ni kesi ya Polisi sio hakimu, ni uvamizi kama uvamizi wa mtu mwingine yeyote
Inasadikika huyu mama mama anaporudi mahakamani anaambiwa amkublie mtalaka mwenzie na wakati hukum haisemi hivyo.na mtuhumiwa amekuwa akimtumia Hakim kama kinga yake.
 
Inasadikika huyu mama mama anaporudi mahakamani anaambiwa amkublie mtalaka mwenzie na wakati hukum haisemi hivyo.na mtuhumiwa amekuwa akimtumia Hakim kama kinga yake.
Ni vizuri umesema inasadikika, mambo ya kusadikika ni umbea usio na ushahidi.
Huyo hakimu angekuwa kama unavyomsema asingetoa hukumu aliyotoa
 
Back
Top Bottom