Gpili JF-Expert Member Joined May 18, 2020 Posts 2,180 Reaction score 2,083 Feb 17, 2022 #21 schoolboy said: Vijana wengi wana moyo wa uzalendo ila mfumo ndio unaowabadilisha Click to expand... Upo sahihi mkuu
schoolboy said: Vijana wengi wana moyo wa uzalendo ila mfumo ndio unaowabadilisha Click to expand... Upo sahihi mkuu
Gpili JF-Expert Member Joined May 18, 2020 Posts 2,180 Reaction score 2,083 Feb 17, 2022 #22 Imagine mimi nimeanza kuomba toka za upolisi hadi leo hii ..nimekutana na vitu vingi nimejifunza Sana ..bila connection hupati
Imagine mimi nimeanza kuomba toka za upolisi hadi leo hii ..nimekutana na vitu vingi nimejifunza Sana ..bila connection hupati
Program Manager JF-Expert Member Joined Aug 6, 2018 Posts 2,763 Reaction score 3,955 Feb 17, 2022 Thread starter #23 Gpili said: Imagine mimi nimeanza kuomba toka za upolisi hadi leo hii ..nimekutana na vitu vingi nimejifunza Sana ..bila connection hupati Click to expand... Connection ndo habari ya mjini mkuu bila connection tutamaliza nauli tu kwenda kwenye interview zisizo na maana
Gpili said: Imagine mimi nimeanza kuomba toka za upolisi hadi leo hii ..nimekutana na vitu vingi nimejifunza Sana ..bila connection hupati Click to expand... Connection ndo habari ya mjini mkuu bila connection tutamaliza nauli tu kwenda kwenye interview zisizo na maana
APEFACE JF-Expert Member Joined Oct 1, 2016 Posts 5,316 Reaction score 9,596 Feb 17, 2022 #24 schoolboy said: Connection ndo habari ya mjini mkuu bila connection tutamaliza nauli tu kwenda kwenye interview zisizo na maana Click to expand... Connection zipo , Lakini kuna watu wana bahati zao...kuna % fulani wabahatika bila connection...
schoolboy said: Connection ndo habari ya mjini mkuu bila connection tutamaliza nauli tu kwenda kwenye interview zisizo na maana Click to expand... Connection zipo , Lakini kuna watu wana bahati zao...kuna % fulani wabahatika bila connection...
Program Manager JF-Expert Member Joined Aug 6, 2018 Posts 2,763 Reaction score 3,955 Feb 17, 2022 Thread starter #25 APEFACE said: Connection zipo , Lakini kuna watu wana bahati zao...kuna % fulani wabahatika bila connection... Click to expand... Ni kweli ila kupata kazi au dili lolote bila connection ni mpaka wawe na uhitaji mkubwa na watu waliopata connection wawe hawatoshi ndiyo watachukua the rest applied
APEFACE said: Connection zipo , Lakini kuna watu wana bahati zao...kuna % fulani wabahatika bila connection... Click to expand... Ni kweli ila kupata kazi au dili lolote bila connection ni mpaka wawe na uhitaji mkubwa na watu waliopata connection wawe hawatoshi ndiyo watachukua the rest applied