Gpili
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,180
- 2,083
Upo sahihi mkuuVijana wengi wana moyo wa uzalendo ila mfumo ndio unaowabadilisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sahihi mkuuVijana wengi wana moyo wa uzalendo ila mfumo ndio unaowabadilisha
Connection ndo habari ya mjini mkuu bila connection tutamaliza nauli tu kwenda kwenye interview zisizo na maanaImagine mimi nimeanza kuomba toka za upolisi hadi leo hii ..nimekutana na vitu vingi nimejifunza Sana ..bila connection hupati
Connection zipo ,Connection ndo habari ya mjini mkuu bila connection tutamaliza nauli tu kwenda kwenye interview zisizo na maana
Ni kweli ila kupata kazi au dili lolote bila connection ni mpaka wawe na uhitaji mkubwa na watu waliopata connection wawe hawatoshi ndiyo watachukua the rest appliedConnection zipo ,
Lakini kuna watu wana bahati zao...kuna % fulani wabahatika bila connection...