TAKUKURU kwa sasa wanachunguza kashfa za RICHMOND, EPA na Rada.

Kina nani hao?
 
Kinacho niacha hoi kashfa nyingine mbona hazitajwi?
1; uuzwaji wa nyumba za serikali
2: ununuzi kivuko kibovu
3: ununuzi wa ndege
4: kiwanja cha ndege chato
 
Takukuru uchunguzi lazima utagusa maraisi wastaafu hapo VIP??? Na raisi magufuli kasema waachwe wapumzike. Je nihaki kuonea wengine
 
YES! Sasa takukuru wamepewa mapembe, meno na makucha.
Si wanalipwa, wacha wapige kazi, wachunguze scandals zote zibaki uchi. Alafu uma tuelezewe kinagaubaga, kama wapo hi ama wamekufa tuwajue.
Takukuru wanapiga kazi wapi kama Mhasibu wao tu alikutwa na mali zote zile, je wengine!!!?
 
YES! Sasa takukuru wamepewa mapembe, meno na makucha.
Si wanalipwa, wacha wapige kazi, wachunguze scandals zote zibaki uchi. Alafu uma tuelezewe kinagaubaga, kama wapo hi ama wamekufa tuwajue.
Wana ubavu wa kufukua makaburi?
 
Kinacho niacha hoi kashfa nyingine mbona hazitajwi?
1; uuzwaji wa nyumba za serikali
2: ununuzi kivuko kibovu
3: ununuzi wa ndege
4: kiwanja cha ndege chato

Usisahau na zile traffic lights za kuongozea punda na mbwa kule chato.
 
Reactions: bne
Haya yote ni kwa sababu ya ndiyooooooo, ndo tumefika hapa tulipo. Bado sijaona
 
Mbona kiingereza chako kama cha Uganda,
Unatakiwa uandike kiingereza kama cha muiingereza ( British English )
 
Watakuja kusema mwacheni afanye kazi ya kusafisha nchi msirudishe nyuma juhudi zake....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…