TAKUKURU: Kwenye TFF kuna hela zimetumika vibaya

Kwan umeambiwa Karia yumo?
Halafu hiyo pesa wala haikiingia Tff
 
Sasa TAKUKURU wanaihusisha vipi TFF kama haikuingia kwenye hesabu zao.?

Wasianze kuuyumbisha mpira wetu.

Sie tunasubiria ligi ianze.
 
Hawa TAKUKURU wanaposema kuna fedha zimetumika vibaya na wazirudishe kama wamechukua mbona tayari wameshajigeuza mahakama?

Na kama wameshajua hilo wanafanya uchunguzi wa nini?

Wasijekuwa wanalazimisha makosa kwa wengine ili walipwe pesa kama wanavyofanya kwa watuhumiwa wa uhujumu uchumi, pale wanapowalazimisha kukiri makosa na kulipa pesa ambazo mahakama haijawahi kuwakuta na hatia za kuiba hizo fedha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe tatizo la TFF halikuwa Wambura? hilo shirikisho limulikwe.
 
Sasa tumuulize Mzee wa Chato ziliwekwa account ipi?. Au alitoa ahadi hewa? Otherwise ni kumtukana Ra
Hela watu wameenda kujifukizia Kijijini kwao
View attachment 1451202
Namnukuu Brigardier General John Mbungo;
"Amesema kuwa watu hao wana hiari ya kurejesha fedha ama kusubiri uchunguzi ukamilike. Miongoni mwa fedha hizo ni zile zilizo tolewa na Rais John Magufuli"

Kwa hiyo uchunguzi wa TAKUKURU hauishii kwenye fedha alizotoa JPM bali kuna na fedha zingine za kawaida za TFF"
 

Kanuni ya kwanza ni Kurecover pesa kwanza
 
Waziteme tu fedha zetu. Mambo ya kupiga hela huku ukijifanya ni kada mtiifu kwa chama, hayana nafasi wakati huu.
 
TFF wamefanya vizuri sana kulitolea ufafanuzi hili suala.

Hii itasaidia kuondoa ubabaishaji.

Sent using iphone pro max
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…