DOKEZO TAKUKURU na Usalama wa Taifa, fuatilieni haya; nchi inahujumiwa. Kuna rushwa, urasimu na ufisadi mkubwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Barabara ya mwendokasi Mbagala inamashimo mengi sana, hivi sasa wameanza kupiga viraka.
 
Wapo ila sijui tumekwama wapi kama nchi. Tatizo linaumiza wananchi wengi na hawajali chochote!

Wanakwamishwa na viongozi. Wai hupeleka taarifa kwa viongozi wao na viongozi ndio wafanya maamuzi. Shida ni kwamba viongozi ndio wana siasa? Unatarajia nn?
 
Raisi mwenyewe yupo bize kuiba na kujilimbikizia Mali,
Samia anaongozwa na majizi ya ccm, Hana sauti,Hana LA kufsnya, ameacha nchi ijiendee yenyewe tu,
Nyerere, alijenga utaifa, Mwinyi akaja na soko huria, mambo yalivyozidi kuwa magumu, ikawa kila kitu ruksa,Akaja mkapa, aka weka mfumo mzuri wa ukusanyaji wa mapato,Akaja kikwete, aka Kuta pesa, ye ye na wanamtandao wenzake wakaitafuna nchi ikabaki mifupa, Akaja JPM, akaleta ukabila na usukuma, akakopa Sana, akajenga miundombinu, akaiba Sana, sasa yupo samia, hajui mbele wala nyuma, anapiga maktime tu!
Sasa hv kila aliyeko kwenye kitengo ni kupiga kwenda mbele!!
 
Nakwambia ukweli ndugu... kama una watoto wahamishe haraka sana! Achana na zile story "maisha hapahapa, ukikomaa utatoboa"

Afrika hakuna kitu!
 
Kwenye samia hapo umenichekesha kwelikweli 🤣🤣🤣

Eti hajui mbele wala nyuma 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏾
 
Wanatakiwa wabadilishiwe na jina maana wanalinajisi Taifa letu kwa kuitwa usalama wa Taifa. Wanatakiwa waitwe usalama wa serikali Ili nchi yetu ibaki salama na genge hili.

Kwa ujinga woote unaofanyika wao wanasaidia nini sasa kulilinda Taifa kama ndo kwanza wanalewa na kushiba mvinyo na rushwa za wazungu????
 
Hiyo ni usalama ya CCM, hawana uchungu na Nchi yao kazi yao kulinda majizi na matumbo yao hii ni aibu kabisa.
 
Umedadavua mambo mengi ya maana sana.

Halafu hii kila mara wakikosolewa wanakimbilia kudai wewe hujui, kazi yetu ngumu sana, tunakesha tunakulinda, wewe umelala usingizi. . .kama ulivyosema mbona wamo tu kila siku kama kazi ni ngumu, lakini si ndio wanalipwa kwa kazi hiyo?!

Na mengi uliyosema, ueledi unapuuzwa sana kwa sababu ya maslahi binafsi, hata ya mtu asiyekuwa serikalini, ana access na hawa wana intelligence, wananchi watakuwa manamba na watumwa ktk nchi yao
Hiyo ni usalama ya CCM, hawana uchungu na Nchi yao kazi yao kulinda majizi na matumbo yao hii ni aibu kabisa.
Mbona wanasema kazi yao ni ngumu sana. Eti wanatulinda usiku kucha huku sisi tumelala.
 
Naaam!! Na Ndiyo maana ikaitwa TANZANIA PEOPLE'S DEFENSE FORCES na siyo TANZANIA DEFENSE FORCES.
 
HII IDARA IFUTWE TUJE NA FORMAT MBADALA, WANAKOSA MAANA KABISA, WAMEKUWA MACHAWA CHAWA.
 
Sidhani kama ni sahihi sana kuandika headline ya aina hiyo. Umeangalia hayo maeneo ya kisekta na line zake za uwajibikaji? Huwa nasikitishwa sana tunapotoa tuhuma za jumla kuhusu vyombo vyetu vya ulinzi na usalama wakati hadi sisi walima mchicha vijijini tunaona nchi imetulia. Mwisho, kama wewe una uchungu na nchi basi shauri what should he done...ndiyo uzalendo huo.🙏🙏🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…