sajo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,474
- 6,195
Kagame akasema akipewa bandari ya Dar kwa mwaka 1, tunaongoza uchumi East Africa. Unafikiri alikuwa anasema kufurahisha genge tu?Movies zinawaharibu sana. Halafu tiss kazi zao sio maonyesho na kwakuwa hawaripoti kwako basi ukabaki kuamini uyaonayo ktk movies.
Huyo mwamba alishawahi kuwa mnunua karanga Kahama leo ni Ltn Col wa RDF
Kwa wafanyabiashara wa karanga kutoka Kahama kwenda Rwanda, hakika watakuwa wanamfahamu mwamba huyo. Nimeshangaa kumuona ndani ya vazi la kazi la jeshi la nchi fulani tena kama Lt Col! Tunaposema miji kama Ngara, Nyakahura, Nyakanazi, Runzewe, Ushirombo, Kahama, Kagongwa, Isaka, Shinyanga...