DOKEZO TAKUKURU na Usalama wa Taifa, fuatilieni haya; nchi inahujumiwa. Kuna rushwa, urasimu na ufisadi mkubwa

DOKEZO TAKUKURU na Usalama wa Taifa, fuatilieni haya; nchi inahujumiwa. Kuna rushwa, urasimu na ufisadi mkubwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Movies zinawaharibu sana. Halafu tiss kazi zao sio maonyesho na kwakuwa hawaripoti kwako basi ukabaki kuamini uyaonayo ktk movies.
Kagame akasema akipewa bandari ya Dar kwa mwaka 1, tunaongoza uchumi East Africa. Unafikiri alikuwa anasema kufurahisha genge tu?

Mkuu, mimi nimeangalia TV Series ya Homeland, The Americans, The Spy na kuona namna Secret Service wanavyokua wazalendo kwa nchi zao na namna wanavyopambana kupata habari za kiuchumi au hata kuharibu uchumi wa washindani wao ili nchi itoboe..dah yaani mpaka naona aibu kusema kuwa Tanzania tuna idara inaitwa usalama wa Taifa.

Alikuja Bill Gates hapa akawa Tanga kwenye ishu zake za Maralia, usalama wa Taifa hawajui kama yupo nchini. Alipopigwa picha na watu na zikasambaa mitandaoni ndio JPM akamwalika ikulu. Sasa mtu kama Bill Gates anaingia nchini na kuondoka bila kujikana, hapo tuna TISS kweli?

Kawaida inatakiwa TISS wajue leo Bakhresa au Mo Dewji amelala wapi, anafanya nini nk maana hawa jamaa ndio wanaorun uchumi wa nchi kwa biashara zao, wanazalisha ajira nyingi na wanachangia pato kubwa la nchi. Sasa cha ajabu unaambiwa Mo Dewji ametekwa nje ya gym na usalama wa Taifa wamelala kusubiri kusimamia mitihani.

Tuliambiwa na wamarekani hapa kuwa Jihad John (yule mchinjaji wa ISIS) akiwahi kuingia hapa nchini mara 2 kupitia JKNIA na TISS hawakujua. Sasa unafikiri kuna majasusi wangapi wanaingia nchini kwa njia hizi za wazi, Bandari au Airport na hawajulikani? Tunafahamu wanakuja kufanya vitu gani?
Dah!
 
We might be naked
 
Hilo la NIDA umeweka too General.

Sio kweli kwamba Ofisi zote za NIDA nchini zina hayo mambo ya Rushwa.

Ni baadhi tu ya watumishi wasiokuwa waaminifu, na ni kwa baadhi tu ya maeneo.

Sio nchi nzima kama ulivyowasilisha.
 
Hauamini kama Bill Gates alikuja Tanzania? Hauamini kama Mo Dewji alitekwa na kuachiwa na watekaji bila watekaji kujulikana? Hauamini kama Jihad John ametua JKNIA mara 2??

Karne hii TISS kusimamia mitihani ya la saba kweli?
Asante, umemjibu huyu @TAwagacarlos vyema kabisa
 
Inawezekana
Sidhani kama ni sahihi sana kuandika headline ya aina hiyo. Umeangalia hayo maeneo ya kisekta na line zake za uwajibikaji? Huwa nasikitishwa sana tunapotoa tuhuma za jumla kuhusu vyombo vyetu vya ulinzi na usalama wakati hadi sisi walima mchicha vijijini tunaona nchi imetulia. Mwisho, kama wewe una uchungu na nchi basi shauri what should he done...ndiyo uzalendo huo.🙏🙏

Sidhani kama ni sahihi sana kuandika headline ya aina hiyo. Umeangalia hayo maeneo ya kisekta na line zake za uwajibikaji? Huwa nasikitishwa sana tunapotoa tuhuma za jumla kuhusu vyombo vyetu vya ulinzi na usalama wakati hadi sisi walima mchicha vijijini tunaona nchi imetulia. Mwisho, kama wewe una uchungu na nchi basi shauri what should he done...ndiyo uzalendo huo.🙏🙏🙏
Inawezekana kweli imetulia lakini utulivu inaweza ikawa ni kwa mazoea ya Tiss ya zamani iliyokuwa imara ila ya sasa kwa kweli ina mahali inafeli maana kuna mambo mengi sana ya hovyo yanafanyika.

Unajua inapofikia hatua mpaka wanyama wanasafirishwa kwenda nje ujue pia hauko salama sana, watu wanafukuzwa Loliondo kumpisha mwarabu au mwekezaji si hali nzuri kwa ustawi wa taifa.

Inatakiwa ifike mahali walinde rasilimali za taifa ili hata vizazi vijavyo vifurahie uwepo wa watangulizi wao, haipendezi walikute taifa limebaki mifupa mitupu.
 
Inaelekea wewe ndiyo wale wanaodhani kazi pekee ya TiSS ni kulinda rais asipinduliwe na hujui kuwa kuna Desk la uchumi huko ndani ya kitengo.

Kwa taarifa yako ni Kazi ya TISS kutafuta taarifa zote nzuri na mbaya za kiuchumi, kisiasa na kijamii zinazoweza kuathiri ustawi na usalama wa nchi
shida huku tuliwapeleka watoto wetu tena waliokuwa wasumbufu badala ya taaluma na vigezo wengi walipebwa japo wapo waliobebwa wamefika kule wakawa watendaji wazuri lakini pia wapo walioingia kwa vigezo wakafika kule wakawa chawa na wapiga zomari wa wakubwa.
 
Mabati ya Mbagala BRT ni ya kampuni ya SGS Mabati. Nilishangaa sana, maana hata huku mitaani, hiyo kampuni haipo katika makampuni yanayotoa mabati bora. Yaani mwananchi wa kawaida tu kama haba hela ya kumudu ALAF au SUN SHARE basi anaona aende DRAGON au KIBOKO, ndio afuate huyo SGS. Sasa tunashangaa inakuwaje Serikali kabisa kutumia mabati ya SGS??
Yale mabati ni kituko. Life span ya miaka 20 itafikaje pale.

Sasa na zile steel plate walizochomelea ni kama utani. Hata ambae hajaenda VETA hawezi kulipua vile. Wenzao STRABAG walikuwa wanafunga na nuts tena walitumia pipe ili hata hewa iwe ya kutosha mle ndani.
 
Inawezekana

Inawezekana kweli imetulia lakini utulivu inaweza ikawa ni kwa mazoea ya Tiss ya zamani iliyokuwa imara ila ya sasa kwa kweli ina mahali inafeli maana kuna mambo mengi sana ya hovyo yanafanyika.

Unajua inapofikia hatua mpaka wanyama wanasafirishwa kwenda nje ujue pia hauko salama sana, watu wanafukuzwa Loliondo kumpisha mwarabu au mwekezaji si hali nzuri kwa ustawi wa taifa.

Inatakiwa ifike mahali walinde rasilimali za taifa ili hata vizazi vijavyo vifurahie uwepo wa watangulizi wao, haipendezi walikute taifa limebaki mifupa mitupu.
Hapa umesema sahihi kabisa. Kinachofanya kazi ni mifumo ya enzi.

Kwa sasa ni laiz a fare..
 
Kawaida inatakiwa TISS wajue leo Bakhresa au Mo Dewji amelala wapi, anafanya nini nk maana hawa jamaa ndio wanaorun uchumi wa nchi kwa biashara zao, wanazalisha ajira nyingi na wanachangia pato kubwa la nchi
Haya Mambo yako Israeli. Kwa Africa bado sana tuendelee kugombania box la kura.
 
Kuna hizi lawama zinarudiwa kila mara kwamba huko TISS wengi wanachomekwa tu. Mimi sijui zina ukweli gani..

Ila kufanyia mzaha taasisi nyeti kama hii, ni kutafuta anguko kila sekta.
Ni jambo la kushangaza na kukera nchi yenye umri wa mtu mzima wenye dhamana wanabehave km maamuma wasiojua wajibu wao kwa nchi..inakuwaje kunakosekana namna nzuri ya kurecruit TISS Staff..inawezekana kauli hizo za kusema watu wanachomekwa ni visingizio vya kujenga excuse pale makosa yanapotokea ionekane yamefanyika kutokana na kutokuwa na watu wenye sifa stahiki lkn kumbe wanafanya makusudi kumeet interest zao..taasisi km hii TISS lazima uwepo mwongozo kikatiba namna inatakiwa iundwe na majukumu yake, huu si muda wa kufanyiana mizaha kwa gharama ya maisha ya watu kupotea.
 
Back
Top Bottom