DOKEZO TAKUKURU Nendeni Mikocheni Sekondari mkaone Walimu wanavyodai Rushwa Waziwazi Kwa Waliomaliza Form4

DOKEZO TAKUKURU Nendeni Mikocheni Sekondari mkaone Walimu wanavyodai Rushwa Waziwazi Kwa Waliomaliza Form4

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Walimu nao wameona wajilipe Kwa namna hyo eti hivi ni haki kweli, imagine nchi Ina wafanyakazi wa Takukuru lkn hawafanyi chochote. Ivi ni lini umeskia Takukuru wamekamata mtu Kwa Rushwa ivi karibuni
Kaka mbona pesa yenyewe ndogo Jamaniii anzeni na mafisadi wa juu hukoo bwanaaa
 
Olasitti Sec School kule Arusha nao rushwa ya hivi imewanoga sana mpaka kutowatambua wazazi ...wao wanataka mwanafunzi Tu afuate Cheti na wamkamue
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ya kubrashia viatu
 
Home Boy... Juzi nimeliona Hilo police wa Tz wana hatari sana
Rushwa kama chai kila basi kubwa .
Utaona konda anashuka na kutoa 10k kila sehemu.
Wa huku dodoma wanarushiwa kama mbwa wanaokota
The day mmeona hvyo nilijiskia vibaya kaahh ..yaani pesà inarushwa km mbwa anakimbilia anaokota
 
Olasitti Sec School kule Arusha nao rushwa ya hivi imewanoga sana mpaka kutowatambua wazazi ...wao wanataka mwanafunzi Tu afuate Cheti na wamkamue
Siku zote vyetu vya kuhitimu elimu ya sekondari, chuo kikuu, nk huchukuliwa na mhitimu mwenyewe. Na wala siyo mzazi. Hivyo hakuna cha ajabu hapo. Maana huo ndiyo utaratibu miaka nenda, miaka rudi.
 
Maticha most of them hawajielewi kabisaa

Waendelee kuvaa mikadeti iliopauka pauka na mibuti ilioisha soli upande mmoja
 
Story kama hizi hazi ingii akilini
Kwa kawaida Mwalimu hawezi kudai mwanafunzi rushwa eti ampe leaving certificate ya kidato cha nne?
Isije kuwa wanafunzi wanadaiwa kutokana na uharibifu mbalimbali walifaonya shuleni au upotevu wa vitabu/vifaa vya shule ambapo ni utaratibu wa kawaida
Achaga hizo we jamaa
Hivi umesoma secondary wapi?
Km umesoma shule za serikali bas hili sio jambo geni
 
Wewe unaoushahidi?

Au umesimuliwa na mtoto wako ambaye pengine alitaka pesa ya matumizi yake binafsi ila akasingizia Waalimu wanataka Rushwa ndo apewe leaving certificate?

Usipende kuchafua taasisi pasipo na ushahidi.

Kumaliza shule mwanao isiwe kigezo Cha kuwadharirisha Waalimu.

Walimu wamekufundishia mtoto wako miaka minne halafu Leo unakuja kuwazushia maneno ya kuwadharirisha kiasi hiki?
Hii ni ukweli sio hata uongo mm mwaka flan nikienda magomeni pale turiani waalimu wakakataa kunisainishia na skwenda na hela kwakuwa skua na shida na hko cheti sjui certificate nkawaachia wanitunzie sjafqta mpka leo unakuta wanadai elfu 5
 
kama wewe ni mwanafunzi wa kidato cha nne na hujui hata maana ya neno Rushwa, tutakuaminije ulicho kiandika?
Nimesema wanatoa Rushwa ili wasainiwe Clearance Forms, sio wapewe Living Certificates. Yaani maandishi niliyoyaandika bado yapo na bado unabisha? Au umesoma kijuu juu tu?
 
Amemaliza form four au form six maana waliomaliza sikuchache zilizopita n F6 form 4 wamemaliza mwaka Jana waliopo watamaliza mwez wa kumi mwaka huu

Sasa huyo aliyemaliza siku Chache amemaliza mtihan wa baraza lipi?
MWANA UNATAKIWA KWENYE TUME YA KUIBANA DP WORLD.
#JOIN MWAMBUKUSI
 
Story kama hizi hazi ingii akilini
Kwa kawaida Mwalimu hawezi kudai mwanafunzi rushwa eti ampe leaving certificate ya kidato cha nne?
Isije kuwa wanafunzi wanadaiwa kutokana na uharibifu mbalimbali walifaonya shuleni au upotevu wa vitabu/vifaa vya shule ambapo ni utaratibu wa kawaida
Wengi huwa wanadaiwa mali ya shule hasa vitabu wengi huazima na kuamini kuwa sio lazima warudishe Sasa ukisign kwamba umechukua lazima urudishe ukishindwa kurudisha utalipa hii hata vyuoni IPO hivyo
 
Wewe unaoushahidi?

Au umesimuliwa na mtoto wako ambaye pengine alitaka pesa ya matumizi yake binafsi ila akasingizia Waalimu wanataka Rushwa ndo apewe leaving certificate?

Usipende kuchafua taasisi pasipo na ushahidi.

Kumaliza shule mwanao isiwe kigezo Cha kuwadharirisha Waalimu.

Walimu wamekufundishia mtoto wako miaka minne halafu Leo unakuja kuwazushia maneno ya kuwadharirisha kiasi hiki?
Tena huenda sio mwanae ni kidem chake kimempiga kizinga cha buku anakuja kuwananga walimu huku.

Nani asiejua vitoto vya siku hizi visivyo na adabu, havichelewi kusema ticha kataka rushwa ya ngono.
 
Hii ni ukweli sio hata uongo mm mwaka flan nikienda magomeni pale turiani waalimu wakakataa kunisainishia na skwenda na hela kwakuwa skua na shida na hko cheti sjui certificate nkawaachia wanitunzie sjafqta mpka leo unakuta wanadai elfu 5
Ulipata zeroo?!!!kama huna KAZI na cheti[emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] nakutania broohhh
 
Tena huenda sio mwanae ni kidem chake kimempiga kizinga cha buku anakuja kuwananga walimu huku.

Nani asiejua vitoto vya siku hizi visivyo na adabu, havichelewi kusema ticha kataka rushwa ya ngono.
Nikikule kitoto Cha Sekondari kwani sijui kuhusu 30years behind bars?
 
Back
Top Bottom