Standards Person
JF-Expert Member
- Apr 22, 2021
- 672
- 860
Ipo kesi moja mkuu wa shule alichukua fedha, vifaa na alishirikiana na mkurugenzi wa Jiji na afisa elimu katika wizi huo.
Mkuu wa shule alianzia wizi kwenye utangazaji wa zabuni na anamiliki mihuri feki na TAKUKURU wanajua.
Walioshiriki kubeba vifaa vya serikali wametoa ushahidi. Wizi umefanyika kwa uwazi manake tofali zilitumika kujenga nyumba ya mkuu wa shule ambaye ni mtu wa karibu sana wa mkurugenzi wa Jiji.
Waliokua wanaidai shule waliwekwa ndani na TAKUKURU kwa lengo la kutishiwa ili wasiseme ukweli.
TAKUKURU Tanga wamekua walarushwa hata mkuu wao alisimamishwa kwa tuhuma za rushwa.
TAKUKURU Tanga acheni kuendekeza rushwa chukueni hatua vinginevyo tutawaumbua namna mnavyotumika na wabadhirifu.
Serikali ifumueni TAKUKURU Tanga hata huyu mama mliyemleta ameshatekwa maana hatuoni wabadhirifu wakishuhulikiwa
TAKUKURU Tanga kitendo cha kumuwaacha mkurugenzi wa Jiji na mtu wake wa karibu aliyekuwa mkuu wa shule wakidunda mtaani na ninyi mnatakiwa mchunguzwe.
TAKUKURU Tanga acheni kula rushwa