Tetesi: TAKUKURU, TISS wadaiwa kuchunguza rushwa ya Wizara ya Nishati kwa Wabunge

Taarifa kutoka ndani ya TAKUKURU zinadai kuwa taasisi hiyo imefungua jalada la uchunguzi wa tuhuma kuwa Waziri wa Nishati, January Makamba, alitoa rushwa kwa wabunge ili wapitishe bajeti ya wizara yake ya 2023/24 wiki iliyopita.

Inadaiwa Makamba alitumia taasisi zilizo chini ya Wizara yake ikiwemo TANESCO, EWURA na TPDC kugawa rushwa kwa wabunge kwa kisingizio cha kufanya semina ya wabunge siku mbili mfululizo kabla ya kuwasilisha bajeti ya wizara yake.

Pia aligawa mitungi 100 ya gesi kwa kila mbunge kama sehemu ya rushwa hiyo, iliyofanikisha bajeti yake kupitishwa licha ya malalamiko makubwa ya wabunge kuhusu huduma mbovu za kukatikatika kwa umeme na usimamizi hafifu wa sekta ya nishati.

Tayari baadhi ya wabunge wameanza kuhojiwa na TAKUKURU ili kukusanya ushahidi wa rushwa hiyo ya mchana ambayo inakadiriwa kutumia karibu Shilingi Bilioni 2.

Idara ya Usalama wa Taifa, TISS, nayo inasemekena kuwa inachunguza taarifa hizo ili iweze kupeleka faili kwa mamlaka ya uteuzi.
Kama ni kweli kuna uchunguzi umeanzishwa basi lengo lake kubwa ni kumsafisha!
 
Sina hakika kama hili ni kweli, na kama watafanya uchunguzi wataishia kumsafisha. Hiyo takukuru ni sehemu ya rushwa hapa nchini.
 
Tena hivi hawa usalama wa taifa siku hizi kama wamepoa sana enzi ya nyerere ilikuwa hatari na wakayi wa magufuri walikuwa tishio walifanya kszi nzuri sana. Hata hao takokulu
Kwa sababu hakuna waadilifu siku hizi
Na majizi kila kona, watu wanakushangaa usipoiba maana imekuwa sifa
 
Tena hivi hawa usalama wa taifa siku hizi kama wamepoa sana enzi ya nyerere ilikuwa hatari na wakayi wa magufuri walikuwa tishio walifanya kszi nzuri sana. Hata hao takokulu
Ndiyo sababu wanataka wapewe meno yao wang'ate wenyewe siyo watumie meno ya plastiki kung'ata au ya kuazimwa
 
Taarifa kutoka ndani ya TAKUKURU zinadai kuwa taasisi hiyo imefungua jalada la uchunguzi wa tuhuma kuwa Waziri wa Nishati, January Makamba, alitoa rushwa kwa wabunge ili wapitishe bajeti ya wizara yake ya 2023/24 wiki iliyopita.

Inadaiwa Makamba alitumia taasisi zilizo chini ya Wizara yake ikiwemo TANESCO, EWURA na TPDC kugawa rushwa kwa wabunge kwa kisingizio cha kufanya semina ya wabunge siku mbili mfululizo kabla ya kuwasilisha bajeti ya wizara yake.

Pia aligawa mitungi 100 ya gesi kwa kila mbunge kama sehemu ya rushwa hiyo, iliyofanikisha bajeti yake kupitishwa licha ya malalamiko makubwa ya wabunge kuhusu huduma mbovu za kukatikatika kwa umeme na usimamizi hafifu wa sekta ya nishati.

Tayari baadhi ya wabunge wameanza kuhojiwa na TAKUKURU ili kukusanya ushahidi wa rushwa hiyo ya mchana ambayo inakadiriwa kutumia karibu Shilingi Bilioni 2.

Idara ya Usalama wa Taifa, TISS, nayo inasemekena kuwa inachunguza taarifa hizo ili iweze kupeleka faili kwa mamlaka ya uteuzi.
Sikutegemea Makamba hana akili kiasi hicho.
 
Mimi ningewaona hawa Wanaochunguza wana Akili kama wangeanza Kwanza kumchunguza anayetoa Pesa hovyo kwa Klabu ya Yanga SC, anatoa Ndege kufanya Majukumu ya Kipuuzi yasiyo ya Faida huku Fedha za walipa Kodi Masikini zikitumika kuzilinda.
CCM OYEEE
 
Do not lose hope, mbona hata hii hii ipo poa? Subiri uone kinachoenda kutokea....
Lazima tubadilike sana, hakuna kuoneana aibu na kubebana
La sivyo tutakuwa mikia miaka na miaka huku baadhi wakifaidika
Funga majizi yote
 
Taarifa kutoka ndani ya TAKUKURU zinadai kuwa taasisi hiyo imefungua jalada la uchunguzi wa tuhuma kuwa Waziri wa Nishati, January Makamba, alitoa rushwa kwa wabunge ili wapitishe bajeti ya wizara yake ya 2023/24 wiki iliyopita.

Inadaiwa Makamba alitumia taasisi zilizo chini ya Wizara yake ikiwemo TANESCO, EWURA na TPDC kugawa rushwa kwa wabunge kwa kisingizio cha kufanya semina ya wabunge siku mbili mfululizo kabla ya kuwasilisha bajeti ya wizara yake.

Pia aligawa mitungi 100 ya gesi kwa kila mbunge kama sehemu ya rushwa hiyo, iliyofanikisha bajeti yake kupitishwa licha ya malalamiko makubwa ya wabunge kuhusu huduma mbovu za kukatikatika kwa umeme na usimamizi hafifu wa sekta ya nishati.

Tayari baadhi ya wabunge wameanza kuhojiwa na TAKUKURU ili kukusanya ushahidi wa rushwa hiyo ya mchana ambayo inakadiriwa kutumia karibu Shilingi Bilioni 2.

Idara ya Usalama wa Taifa, TISS, nayo inasemekena kuwa inachunguza taarifa hizo ili iweze kupeleka faili kwa mamlaka ya uteuzi.
Yangu macho, tuone kama kijana huyu pendwa na timu ya Msoga ataguswa na mamlaka yake ya uteuzi na ya kinidhamu.
Jiulize tu "audacity" kama hiyo kaipata wapi kama ni kweli tuhuma hizo zina chembe chembe za ukweli!?

Nchi hii sasa inaendeshwa na ma "god father" wake, ndiyo maana unazisikia sasa kauli kuhusu, uwepo wa watu na viatu, ama zile za mbwa na mmiliki wa mbwa. Pengine hata huo unaoitwa uchunguzi ni kiini macho tu ili kuzuga mafala, ili hatimaye jambo hili nalo lipitie.
 
Taarifa kutoka ndani ya TAKUKURU zinadai kuwa taasisi hiyo imefungua jalada la uchunguzi wa tuhuma kuwa Waziri wa Nishati, January Makamba, alitoa rushwa kwa wabunge ili wapitishe bajeti ya wizara yake ya 2023/24 wiki iliyopita.

Inadaiwa Makamba alitumia taasisi zilizo chini ya Wizara yake ikiwemo TANESCO, EWURA na TPDC kugawa rushwa kwa wabunge kwa kisingizio cha kufanya semina ya wabunge siku mbili mfululizo kabla ya kuwasilisha bajeti ya wizara yake.

Pia aligawa mitungi 100 ya gesi kwa kila mbunge kama sehemu ya rushwa hiyo, iliyofanikisha bajeti yake kupitishwa licha ya malalamiko makubwa ya wabunge kuhusu huduma mbovu za kukatikatika kwa umeme na usimamizi hafifu wa sekta ya nishati.

Tayari baadhi ya wabunge wameanza kuhojiwa na TAKUKURU ili kukusanya ushahidi wa rushwa hiyo ya mchana ambayo inakadiriwa kutumia karibu Shilingi Bilioni 2.

Idara ya Usalama wa Taifa, TISS, nayo inasemekena kuwa inachunguza taarifa hizo ili iweze kupeleka faili kwa mamlaka ya uteuzi.
TAKUKURU wanatakiwa Kujitofautisha na ZIMAMOTO
ZIMAMOTO huwa Wanajifanya Ku act Baada ya Incidence ya Moto kutokea
TAKUKURU wanatakiwa kuwa Proactive, walitakiwa Kujua kuwa KIPARA atagawa rushwa ya Pesa na Mitungi ya Gas na Kui block kabla haijatendeka
Shame TAKUKURU, halafu DG wake ni Kachero, Kamishna wa Police
 
Pia aligawa mitungi 100 ya gesi kwa kila mbunge kama sehemu ya rushwa hiyo, iliyofanikisha bajeti yake kupitishwa licha ya malalamiko makubwa ya wabunge kuhusu huduma mbovu za kukatikatika kwa umeme na usimamizi hafifu wa sekta ya nishati.
Wabunge wako karibu 400. Hiyo mitungi 100 imewezaje kuenea kugawiwa kwa kila mbunge kama ulivyoandika??

Au una maana gani hapa?
 
Sikutegemea Makamba hana akili kiasi hicho.
Ana akili kubwa mno...Hivi hata kwakutumia akili ndogo, akiambiwa katoa rushwa je waliopokea? We unadhani hili litawezekana?

Sidhani kama kuna sheria inaweza m implicate....Kwenye politics ndiyo inawezekana, ila siyo kisheria...

Just think!
 
Haiwezekani maana baba yake mshereheshaji wa chama
 
Taarifa kutoka ndani ya TAKUKURU zinadai kuwa taasisi hiyo imefungua jalada la uchunguzi wa tuhuma kuwa Waziri wa Nishati, January Makamba, alitoa rushwa kwa wabunge ili wapitishe bajeti ya wizara yake ya 2023/24 wiki iliyopita.

Inadaiwa Makamba alitumia taasisi zilizo chini ya Wizara yake ikiwemo TANESCO, EWURA na TPDC kugawa rushwa kwa wabunge kwa kisingizio cha kufanya semina ya wabunge siku mbili mfululizo kabla ya kuwasilisha bajeti ya wizara yake.

Pia aligawa mitungi 100 ya gesi kwa kila mbunge kama sehemu ya rushwa hiyo, iliyofanikisha bajeti yake kupitishwa licha ya malalamiko makubwa ya wabunge kuhusu huduma mbovu za kukatikatika kwa umeme na usimamizi hafifu wa sekta ya nishati.

Tayari baadhi ya wabunge wameanza kuhojiwa na TAKUKURU ili kukusanya ushahidi wa rushwa hiyo ya mchana ambayo inakadiriwa kutumia karibu Shilingi Bilioni 2.

Idara ya Usalama wa Taifa, TISS, nayo inasemekena kuwa inachunguza taarifa hizo ili iweze kupeleka faili kwa mamlaka ya uteuzi.
Saa100 si atawapiga stop [emoji1630]
 
Kila mara tunasema huyu mtu ni muumini mkubwa sana wa rushwa, kuanzia kuipokea na kutoa pia!
Sioni kama hata Takukuru na TISS watakuja na la maana kwani huenda hizi Taasisi nazo zikaishia walikoishia wabunge wala rushwa wa ccm
Wanamning'iniza kapuku hawa wash*nxi.
 
Too good to be true!

Kwani bajeti ya wizara ipi iligonga mwamba kwa hawa wagonga meza hadi kipara atoe rushwa?
 
Back
Top Bottom