kantasundwa
JF-Expert Member
- May 25, 2020
- 1,548
- 2,384
Sawa lkn hiyo picha ya mwaka gn kamanda?Hujaeleweka, hapa tunaongea double standard
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa lkn hiyo picha ya mwaka gn kamanda?Hujaeleweka, hapa tunaongea double standard
Kuufurahisha mwili ili mtu apate kura ni sawasawa na rushwa ya ngono tu.Wanachotufanyia sicho CHAUMA tunahimiza kwa vitendo sera zetu tunataka taifa la watu wenye nguvu na si vinginevyo.. hao takukuru wanatuonea tu wanachauma hii si haki.. kwanini watunyime haki yetu ya kula..? Au wanataka hapo ofisini kwao tuwapelekee sufuria za wali ndo waelewe!.. ile sio rushwa ni uhimizaji wa sera zetu wana CHAUMA..
Hongera sanaSoma tena mkuu!
Sawa lkn hiyo picha ya mwaka gn kamanda?
Watakuambia kanuni zinabadilika kila uchaguzi kamanda ..lete vitu vinavyoshikikaKwani TAKUKURU imeanzishwa mwaka huu?
Watakuambia kanuni zinabadilika kila uchaguzi kamanda ..lete vitu vinavyoshikika
Wanaona aibu nchi ya kipato cha kati wananchi wake wanakusanywa kwenye kampeni kwa wali nyama, Waache Wananchi wafaidi Maana ikipita ndio mpaka 2025Sasa ni rasmi, ubwabwa kutolewa wakati wa kampeni ni rushwa kwa wapiga kura.
TAKUKURU imetamka rasmi kuwa kuwapa watu ubwabwa, wale wanaovutwa kuja kwenye kampeni za Hashim Rungwe, ni moja ya rushwa ili kupata kura.
Wengi tumeandika mitandaoni kuwa huyu Rungwe anatuchukuliaje Watanzania?
Are we so cheap?
Ubwabwa wa Rungwe wapigwa marufuku
====
Wakati mgombea urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Rungwe, akitarajia kuzindua kampeni yake leo, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imemwonya kuhusu ahadi yake ya kuwapa ubwabwa wananchi watakaokwenda kwenye mkutano wake
Huku taasisi hiyo ikisema kugawa chakula hicho ni kosa kisheria na ni rushwa, mgombea huyo amesisitiza kuwa wananchi wajitokeze kwa wingi na kwamba ubwabwa utakuwapo.
Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Ilala, Christopher Myava, alitoa onyo hilo jana wakati akihojiwa na kituo kimoja cha redio jijini Dar es Salaam.
Myava alisema Sheria ya Gharama za Uchaguzi ya mwaka 2010 inapiga marufuku kwa mgombea kutoa vitu kama chakula kushawishi wapigakura ili wamchague.
"Kwa mujibu wa sheria, kutoa chakula ni kosa kwa sababu huo ni ushawishi kwa kuwapa chakula ili wakupigie kura. Kwa nini afanye haya katika kipindi hiki cha uchaguzi kwani kuna shughuli ngapi ambazo zinafanyika? Mikutano mingapi ambayo inafanyika watu hawaweki ‘bufee’?" Alihoji.
Myava alisema kipindi hiki kinachotakiwa kufanywa na mgombea ni kunadi sera zake ili kuomba ridhaa ya wananchi kumchagua na si kushawishi kwa kutoa rushwa.
"Unapotoa chakula kipindi hiki cha kampeni kabla hata hujachaguliwa, huo ni ushawishi kwa mujibu wa sheria hizi. Anachotakiwa kukifanya mgombea ni kunadi sera na si kushawishi watu kutokana na chakula anachokitoa," alisisitiza Myava.
Rungwe akizungumza juzi na gazeti hili alisema leo atazindua kampeni zake eneo la Bakhresa, Manzese jijini Dar es Salaam kuanzia saa 9:00 alasiri na kuwaomba wananchi wahudhurie kwa wingi kwa sababu kutakuwa na ubwabwa ambao watagawiwa bure.
Rungwe amekuwa akilisisitiza suala la kutoa ubwabwa kwenye mikutano yake ya kampeni kiasi cha kuwavutia wananchi ambao wamekuwa wakitoa maoni yao kwenye mitandao ya kijamii kusubiri mikutano yake ianze.
MSIMAMO WA RUNGWE
Rungwe alipoulizwa msimamo wake baada ya tamko hilo la TAKUKURU, alisema ubwabwa utakuwapo kama kawaida na kudai kuwa kufanya hivyo si rushwa.
"Hiyo siyo rushwa nitatoa ubwabwa kama kawaida kwenye mkutano. TAKUKURU wajiandae kupelekana mahakamani," alisema Rungwe alipohojiwa na Nipashe.
Rungwe ambaye amekuwa mgombea anayetoa burudani kutokana na matamko yake, juzi alitoa mpya baada ya kueleza kuwa kama wananchi watampa ridhaa kuwa Rais, miongoni mwa mambo atakayofanya ni pamoja na kuuza ndege na magari yote yanayotumiwa na viongozi waandamizi wa serikali wakiwamo mawaziri na wakuu wa mikoa.
Vipi na ile ahadi ya ajira za walimu wiki ijayo? Tukumbushane kidogo nani kaitoa kwa lengo gani? Kama Rungwe lengo lake ni kuwa watu washibe na wasikilize vizuri, hizi ajira nazo? Kama Rungwe asitoe ubwabwa kipindi hiki cha uchaguzi kwa nini hawa wa kijani wasilazimishwe kutoa hizo ajira mwakani sio kipindi hiki cha uchaguzi ambapo kwa sasa ni rushwa?Sasa ni rasmi, ubwabwa kutolewa wakati wa kampeni ni rushwa kwa wapiga kura.
TAKUKURU imetamka rasmi kuwa kuwapa watu ubwabwa, wale wanaovutwa kuja kwenye kampeni za Hashim Rungwe, ni moja ya rushwa ili kupata kura.
Wengi tumeandika mitandaoni kuwa huyu Rungwe anatuchukuliaje Watanzania?
Are we so cheap?
Ubwabwa wa Rungwe wapigwa marufuku
====
Wakati mgombea urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Rungwe, akitarajia kuzindua kampeni yake leo, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imemwonya kuhusu ahadi yake ya kuwapa ubwabwa wananchi watakaokwenda kwenye mkutano wake
Huku taasisi hiyo ikisema kugawa chakula hicho ni kosa kisheria na ni rushwa, mgombea huyo amesisitiza kuwa wananchi wajitokeze kwa wingi na kwamba ubwabwa utakuwapo.
Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Ilala, Christopher Myava, alitoa onyo hilo jana wakati akihojiwa na kituo kimoja cha redio jijini Dar es Salaam.
Myava alisema Sheria ya Gharama za Uchaguzi ya mwaka 2010 inapiga marufuku kwa mgombea kutoa vitu kama chakula kushawishi wapigakura ili wamchague.
"Kwa mujibu wa sheria, kutoa chakula ni kosa kwa sababu huo ni ushawishi kwa kuwapa chakula ili wakupigie kura. Kwa nini afanye haya katika kipindi hiki cha uchaguzi kwani kuna shughuli ngapi ambazo zinafanyika? Mikutano mingapi ambayo inafanyika watu hawaweki ‘bufee’?" Alihoji.
Myava alisema kipindi hiki kinachotakiwa kufanywa na mgombea ni kunadi sera zake ili kuomba ridhaa ya wananchi kumchagua na si kushawishi kwa kutoa rushwa.
"Unapotoa chakula kipindi hiki cha kampeni kabla hata hujachaguliwa, huo ni ushawishi kwa mujibu wa sheria hizi. Anachotakiwa kukifanya mgombea ni kunadi sera na si kushawishi watu kutokana na chakula anachokitoa," alisisitiza Myava.
Rungwe akizungumza juzi na gazeti hili alisema leo atazindua kampeni zake eneo la Bakhresa, Manzese jijini Dar es Salaam kuanzia saa 9:00 alasiri na kuwaomba wananchi wahudhurie kwa wingi kwa sababu kutakuwa na ubwabwa ambao watagawiwa bure.
Rungwe amekuwa akilisisitiza suala la kutoa ubwabwa kwenye mikutano yake ya kampeni kiasi cha kuwavutia wananchi ambao wamekuwa wakitoa maoni yao kwenye mitandao ya kijamii kusubiri mikutano yake ianze.
MSIMAMO WA RUNGWE
Rungwe alipoulizwa msimamo wake baada ya tamko hilo la TAKUKURU, alisema ubwabwa utakuwapo kama kawaida na kudai kuwa kufanya hivyo si rushwa.
"Hiyo siyo rushwa nitatoa ubwabwa kama kawaida kwenye mkutano. TAKUKURU wajiandae kupelekana mahakamani," alisema Rungwe alipohojiwa na Nipashe.
Rungwe ambaye amekuwa mgombea anayetoa burudani kutokana na matamko yake, juzi alitoa mpya baada ya kueleza kuwa kama wananchi watampa ridhaa kuwa Rais, miongoni mwa mambo atakayofanya ni pamoja na kuuza ndege na magari yote yanayotumiwa na viongozi waandamizi wa serikali wakiwamo mawaziri na wakuu wa mikoa.
Kweli nimeamini, kwenye vita usipuuze adui yako yeyote. Hivi kweli Hashimu Rungwe na ubwabwa wake ni tishio la kumshinda mtu yeyote kwenye kinyang'anyiro cha urais?Sasa ni rasmi, ubwabwa kutolewa wakati wa kampeni ni rushwa kwa wapiga kura.

sera lazima iendane na vitendo , hakuna cha rushwa hapa , MH RUNGWE kamatia hapo hapoSasa ni rasmi, ubwabwa kutolewa wakati wa kampeni ni rushwa kwa wapiga kura.

Mpaka mzee Rungwe wanamwonea wivu duh kweli Tz tunasafari ndefu badoSasa ni rasmi, ubwabwa kutolewa wakati wa kampeni ni rushwa kwa wapiga kura.

Na milioni 50 kila kijiji haikuwa rushwa?Sasa ni rasmi, ubwabwa kutolewa wakati wa kampeni ni rushwa kwa wapiga kura.

Litazame swala kwa miwani ya chama tawala.Na milioni 50 kila kijiji haikuwa rushwa?
Uongo si sawa na rushwa?