TAKUKURU: Uchunguzi sakata la Kangi Lugola na wenzie umekamilika. Jalada linapelekwa kwa Mwendesha Mashtaka (DPP)

TAKUKURU: Uchunguzi sakata la Kangi Lugola na wenzie umekamilika. Jalada linapelekwa kwa Mwendesha Mashtaka (DPP)

Makapuku uchunguzi dhidi ya tuhuma zinazowakabili unafanyika wakiwa mahabusu na wameshafunguliwa mashitaka, akina Lugola uchunguzi unakamilishwa kwanza then akabidhiwe DPP ambaye kama itampendaza atafungua mashitaka.
 
..uchunguzi umebaini makosa mengi katika mkataba wa manunuzi hayo ambayo kwa pamoja yanatengeneza kosa la uhujumu uchumi.
Ninapoona kitu "UHUJUMU UCHUMI" maana yake DPP akichukua hatua tu, Lugola na wenzie wanakwenda ndani na hawatoki maana hii kitu haina dhamana. I hope wabunge wa CCM wanatake notes hapa. Hizi sheria walizozishangilia na kugonga meza zitawatafuna wao wenyewe mmoja baada ya mwingine
 
Zile taarifa za uhalifu wa Mkuu wa wilaya ya Hai zimefanyiwa kazi? Na zile zingine walizopelekewa na akina Lema vip? TAKUKURU bwana! Wanaangalia usoni na mashinikizo.
 
Sheria ni nzuri sana ,tena huogofya wezi,kwa kua hapo zamani unakwiba na kupeta uraiani, kwa sasa no.
Watakao ichukia sheria hii ni wale wanaopanga kutuibia kodi zetu
Ninapoona kitu "UHUJUMU UCHUMI" maana yake DPP akichukua hatua tu, Lugola na wenzie wanakwensa ndnai na hawatoki maana hii kitu haina dhamana. I hope wabunge wa CCM wanatake notes hapa. Hizi sheria walizozishangilia na kugonga meza zitawatafuna wao wenyewe mmoja baada ya mwingine
 
MAkapuku uchunguzi dhidi ya tuhuma zinazowakabili unafanyika wakiwa mahabusu na wameshafunguliwa mashitaka,akina lugola uchunguzi unakamilishwa kwanza then akabidhiwe DPP ambaye kama itampendaza atafungua mashitaka


Yani maisha ni unfair kabisa
 
Nadhani watatoa na sakata la video za enzi zile Mnyeti.

Takukuru wangeundiwa kitengo maalumu cha rushwa kubwakubwa maana huko huwa wako incompetent kabisa. Wamesababisha mahakama ya mafisadi kushindwa kutoa matunda.

Ile ishu ya Mnyeti haiguswi

Takukuru imekua weaponized...inachagua wa kupiga na yupi wa kuacha

Jiwe ana matatizo sana aiseee
 
Ninapoona kitu "UHUJUMU UCHUMI" maana yake DPP akichukua hatua tu, Lugola na wenzie wanakwensa ndnai na hawatoki maana hii kitu haina dhamana. I hope wabunge wa CCM wanatake notes hapa. Hizi sheria walizozishangilia na kugonga meza zitawatafuna wao wenyewe mmoja baada ya mwingine
Umesema kweli huwa wanatunga sheria kama vile wanatunga kwa ajili ya kutumika nchi nyingine ambayo wao hawahusiki. Nadhana hata hii Sheria ya Usimamizi wa Kodi ya 2015 lazima unawatafuta sana Wabunge kama wana biashara au makampuni
 
Mimk najiuliza tito na mwenzie wa bila hata uchunguzi kuanza waliwekwa behind bars huyu yy licha ya mazingira ya awali kuonyesha ushahidu bado anapeta mtaani
 
Sheria ni nzuri sana ,tena huogofya wezi...
Sheria ni nzuri ndio.....as long as uchunguzi unakamilika kwa wakati. It is total madness kumkamata mtu na kumfungulia kesi with some estimated figures ya hela alizohujumu harafu eti unachunguza tena kwa miaka mitatu. Kwanini usichunguze kwanza then ndo ukamate?
 
Back
Top Bottom