Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninapoona kitu "UHUJUMU UCHUMI" maana yake DPP akichukua hatua tu, Lugola na wenzie wanakwenda ndani na hawatoki maana hii kitu haina dhamana. I hope wabunge wa CCM wanatake notes hapa. Hizi sheria walizozishangilia na kugonga meza zitawatafuna wao wenyewe mmoja baada ya mwingine..uchunguzi umebaini makosa mengi katika mkataba wa manunuzi hayo ambayo kwa pamoja yanatengeneza kosa la uhujumu uchumi.
MAkapuku uchunguzi dhidi ya tuhuma zinazowakabili unafanyika wakiwa mahabusu na wameshafunguliwa mashitaka,akina lugola uchunguzi unakamilishwa kwanza then akabidhiwe DPP ambaye kama itampendaza atafungua mashitaka
Ninapoona kitu "UHUJUMU UCHUMI" maana yake DPP akichukua hatua tu, Lugola na wenzie wanakwensa ndnai na hawatoki maana hii kitu haina dhamana. I hope wabunge wa CCM wanatake notes hapa. Hizi sheria walizozishangilia na kugonga meza zitawatafuna wao wenyewe mmoja baada ya mwingine
MAkapuku uchunguzi dhidi ya tuhuma zinazowakabili unafanyika wakiwa mahabusu na wameshafunguliwa mashitaka,akina lugola uchunguzi unakamilishwa kwanza then akabidhiwe DPP ambaye kama itampendaza atafungua mashitaka
Waandishi wa habari wangeulizia pia zile pesa alizikuwa anawahonga Mnyeti madiwani Arumeru alikuwa anazitoa wapi?Sinema inaendelea tunasubiria episode/sehemu ya mwisho plea bargain au Nole pro secue
Hatari tupu.uncle kangi mzee wa ndombolo uso kwa uso na askari magereza uliokua una wanyanyasa
Nadhani watatoa na sakata la video za enzi zile Mnyeti.
Takukuru wangeundiwa kitengo maalumu cha rushwa kubwakubwa maana huko huwa wako incompetent kabisa. Wamesababisha mahakama ya mafisadi kushindwa kutoa matunda.
Bora ubaki chini chini ukiwa invisible!!.Mkuu wa Takukuru mbona anatoa matokeo ya uchunguzi hadharani.Ni sahihi?Kama anatoa hukumu vile wakati kuna Mahakama.
Umesema kweli huwa wanatunga sheria kama vile wanatunga kwa ajili ya kutumika nchi nyingine ambayo wao hawahusiki. Nadhana hata hii Sheria ya Usimamizi wa Kodi ya 2015 lazima unawatafuta sana Wabunge kama wana biashara au makampuniNinapoona kitu "UHUJUMU UCHUMI" maana yake DPP akichukua hatua tu, Lugola na wenzie wanakwensa ndnai na hawatoki maana hii kitu haina dhamana. I hope wabunge wa CCM wanatake notes hapa. Hizi sheria walizozishangilia na kugonga meza zitawatafuna wao wenyewe mmoja baada ya mwingine
Tena ni issue anazokemea bwana yule tu.Takukuru kwa sasa wanafanya kazi za CAG/Auditors
Sheria ni nzuri ndio.....as long as uchunguzi unakamilika kwa wakati. It is total madness kumkamata mtu na kumfungulia kesi with some estimated figures ya hela alizohujumu harafu eti unachunguza tena kwa miaka mitatu. Kwanini usichunguze kwanza then ndo ukamate?Sheria ni nzuri sana ,tena huogofya wezi...