NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Tume huru ya uchaguzi ilitoa nafasi za kazi kwenye kuboresha daftari la mpiga kura na wazalendo waliomba kulitumikia taifa lao!
Cha kusikitisha Mtendaji kata wa Loya akaanza kushawishi waombaji watoe 25000/= Ili kujihakikishia kupata nafasi hizo na wale ambao hawakutoa chochote wakaenguliwa,Kwa taarifa zilizonifikia ni kwamba alikua akimuita mmoja mmoja na kumuuliza "mbona hujaniambia kama umeomba!!?ili kutengeneza mazingira ya kupata chochote,muombaji asipojiongeza hapati chochote!!
Walioomba wamelalamikia kitendo hicho kwani ni kinyume na maadili ya utumishi wa umma.
Waliochaguliwa 28 na reserve 4,wengi wao wametoa rushwa Ili kupata nafasi hiyo!!
Jambo Hilo linafahamika Hadi ofisi za chama cha mapinduzi na baadhi ya makada wa chama wamelalamikia hilo,wahanga wanaomba TAKUKURU Ifanye uchunguzi kubaini changamoto hiyo ili kukomesha tabia hizi zinazoichafua halmashauri na serikali kabla ya zoezi la uchaguzi was serikali za mitaa na uchaguzi mkuu!!
Zimenifikia nimewaandikia Ili kijenga halmashauri Adilifu!
NB
Mtandao huu ni daraja kati ya wananchi na serikali Ili Wananchi watoe duku duku,KERO,maoni na ushauri Kwa serikali iboreshe huduma,
Nimepata taarifa kwamba Kuna baadhi ya maafisa hapo halmashauri wanawatuhumu watumishi eti wanawatukana viongozi wa halmashauri kupitia chombo hiki ,NAMI kama mdau niwafahamishe jamiiforums hairuhusu matusi Wala kejeli Kwa kiongozi Wala mtu yeyote zaidi ya KERO na maoni,Puuzeni huo uzushi!!
Kama hawatoshi wataandikwa TU ili serikali ifanye uchunguzi wa kina kuboresha huduma za jamii!