DOKEZO TAKUKURU Wakamateni Sheikh, Alhad Mussa Salum, RITA, Mkurugenzi, Ardhi na Polisi kwa kuvunja Msikiti wa Mwenge kwa Mabavu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Issue NI kwamba kibali NI cha ujenzi WA Msikiti lakini Wananchi wanaona ujenzi WA maduka
 
Ndugu zetu mmekuwaje tena ? Mpaka sasa hivi bado kanzu hazijakunjwa mpaka magotini kweli mmekuwa soft like a woman.
 
Mimi si Muislam lakini hili limeniuma sana. Kumbe kweli huyo Alhadji Musa Salum ni Mnafiki, Chawa wa Serikali na hana Uislam wowote

How can you destroy your own worshipping temple?

USHAURI: Tafuteni Mwanasheria/ Wanasheria wazuri then fungueni kesi, kwasababu mna ushahidi wote wa maandishi watawarudishia eneo na faini juu.
 
Ndugu zetu mmekuwaje tena ? Mpaka sasa hivi bado kanzu hazijakunjwa mpaka magotini kweli mmekuwa soft like a woman.
Wala haina haja ya kustrike, wana nyaraka zote muhimu....waende Mahakamani tu watashinda smoothly.
 
Huyu mtoa hoja hasemi ukweli vingine kaficha. Je kweli ndani hakujengwi msikiti au kote ni maduka.
Hebu wewe tuambie ukweli. Tuoneshe picha ya huo Msikiti unaojengwa kwa ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…