Lazima ujue shule ya msingi ni watoto na fine yake 30 years jail, na mtu akiwa mzembe Kuna procedure sio kutumia ngono eti kisa uvivu wa jambo, wewe wasema hvo kwa vile ni mwanaume hujui changamoto wanazokutana watoto wa kike vyuoni na hivi waalimu Wana power ya kukufelisha imagine ingekuwa mwanao hata ka Ni uwezo mdogo au uvivu, ndio utumie ngono ili kumzalilisha?
Jamii tu mfano wewe unaona sawa tu kisa uvivu wa wanawake imagine Sasa wanawake wakiwa wanatoa rushwa wote hapo sikupata wataalamu fake, kwanza mahusiano ya kingono makazini au na subordinate's huwa ni kosa maana Lina haribu utendaji wa kazi. Wanaume acheni kutetea ukatili wa kijinsia hamjui tu mtu vile una shida then mtu awe anatumia shida yako kukutaka kilazims tena ukigoma unafeli