TAKUKURU waonesha Rushwa ya ngono ilivyokithiri vyuoni

Ukiweka wazi hizo mbinu bila ya kuchukua hatua kwanza utampata nani sasa?si utawafanya wahusika wabadili mbinu na mwishoe mchezo unaendelea kama kawaida...
 
Mimi sidhani kama mtu mzima huwa analazimishwa kufanya jambo baya.
Na kama unasema huwa wanatoa ngono kwa sababu ya kutishiwa kufelishwa ni wanafunzi wangapi waliwahi kwenda kushitaki na kuweka wazi?
Sio kutoa ngono nakwambia hujakutana na hzo scenario zilivo so usione wanawake wanalalamika ukafikiria ni vichaa, shukuru hujakutana na hyo kadhaa na uombe Mungu isije mkuta mwanao au ndugu
 
Ila bby
Na nyinyi shape hizo mnapokuwa vyuon huwa bado za moto sana hivyo mwanaume yoyote rijali lazima atatamani kupata utelezi, halafu unakuta tutoto tuzuri, tukipelekwa mlimani city kuangalia cinema au kununuliwa chicken pizza tu vimeshachanganyikiwa.
 
Hilo lipo mpaka Dada mmoja alidisko udom na dada huyo anahangaika kitaa yupo mpaka sasa
 
Wengi wao waoga lakini kwa ujasiri alikataa ngono madhara ni kudisko
 
Sio kutoa ngono nakwambia hujakutana na hzo scenario zilivo so usione wanawake wanalalamika ukafikiria ni vichaa, shukuru hujakutana na hyo kadhaa na uombe Mungu isije mkuta mwanao au ndugu
Nina kibinti kizuri ngoja nianze kuweka akiba kikasome hata Australia maana wabongo wao ni ngono tu!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu hyo sio sababu aisee walimu wengi wababu ngoma nje nje maana wanatoka na wanafunzi wengi hafu akutege hayo si majanga
 
Nina kibinti kizuri ngoja nianze kuweka akiba kikasome hata Australia maana wabongo wao ni ngono tu!
Mpeleke tu nje huko atajifunza mengi tofauti na graduate wa bongo land, anaweza ku graduate na HIV+ kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu hyo sio sababu aisee walimu wengi wababu ngoma nje nje maana wanatoka na wanafunzi wengi hafu akutege hayo si majanga
Durex zipo za kutosha bby

No rubber No game
 
Hahaaa ujue Bora ukubaliane na mtu sio kwa conditions za kufaulishana hyo huwa inakera Sana waweza tamani muwekea mtu sumu wallah
Nadhani huko ni kutojiamini, ila kwa uzoefu wangu wasichana wa chuo ukitaka kulala nao wala huhitaji kutumia ubabe labda huyu mhadhiri awe na sura kama chai jaba.

Ila vivutio vyao walio wengi ni vilevile
1. Gari
2. Pesa
3. Smartphone kaliiiiiii
 
Katika kufanya tafiti huwa tunatoa nafasi ya AREAS FOR FURTHER STUDIES,,,Ambacho ndo hicho wewe umetem kama bias!!!
Nope....study ni Rushwa ya ngono vyuoni haijasemwa inayofanywa na wahadhiri , imestate tu vyuoni so ime base upande mmoja kwa wahadhiri wakati vyuoni kunazaidi ya wahadhiri....the study should have explored both sides lakini hapajaharibika jambo hiyo ya wanafunzi tuifanye ni an area for further studies
 
Nadhani huko ni kutojiamini, ila kwa uzoefu wangu wasichana wa chuo ukitaka kulala nao wala huhitaji kutumia ubabe labda huyu mhadhiri awe na sura kama chai jaba.

Ila vivutio vyao walio wengi ni vilevile
1. Gari
2. Pesa
3. Smartphone kaliiiiiii
Inategemea na level sasa hvo vitatu siunakuwa umalaya, shida inakuwa pale mhadhiri anatumia mamlaka yake ili akusumbue apate ngono kiulazima at expense ya marks
 
Inategemea na level sasa hvo vitatu siunakuwa umalaya, shida inakuwa pale mhadhiri anatumia mamlaka yake ili akusumbue apate ngono kiulazima at expense ya marks
Hivi binti ambaye anajiamini kweli kweli anaweza kukubali kulazimishwa kutoa mbunye ?
 
Hivi binti ambaye anajiamini kweli kweli anaweza kukubali kulazimishwa kutoa mbunye ?
Na kwanini alazimishwe kutoa, wewe vile ni mwanaume huwezi elewa hyo changamoto inayokumbuka wanawake wengi, hasa wenye shida ili kupata nafasi yeyote kuanzia vyuoni Hadi makazini bila kutoa kitu hupati baadhi ya vitu, so hapo hamna kujiamini ili kupata haki yako mpaka uzalilike
 
Hongera sana Dr Vicensia Shule ulipaaza sauti ukasikika tena kwa takwimu sasa Takukuru imedhihirisha. Wale waliokuita kwenye sijui KAMATI ya maadili Chuo sura zao zimegeukia wapi muda huu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…