TAKUKURU: Watu 8 wakiwamo Watumishi 7 wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kushitakiwa kwa makosa ya rushwa na Uhujumu Uchumi

kwahio ilitaka huyu askari aachwe. mbona unashindwa ku reason. kutokamatwa kwa wengine hakumfanyi huyo asksri kuachwa
Pole sana, Uwe unasoma comment nzima na kuielewa, may be una hitilafu za kiufundi kwenye uelewa.
 
Na jana mh. Rais amewasamehe watu(maafisa wa zimamoto) tulioambiwa wameingia mkataba ulioli ingizia taifa hasara ya Tsh. Bil 1000 yaani Trilion 1.
Mkataba ulifutwa haukuwa effected. Hakuna malipo yoyote yaliyofanyika, hata laptop zilichukuliwa
 
Mkataba ulifutwa haukuwa effected. Hakuna malipo yoyote yaliyofanyika, hata laptop zilichukuliwa
Then alikua na haja gani ya kuwa-harass hadharani,tambo nyiiingi wkt hakuna kitu wamefanya.

Ameshawafanyia watu wangapi mambo ya hivo na hajarudi hadharani kuwaomba msamaha kwa kuwachafulia image yao huku yeye akijichukulia credit?
 
Duu!!!! Mara nne ya Gawio la TTCL kwa mwaka! Ama kweli hawa jamaa wanachezea sharubu za King Lion.
Ttcl wanatoa gawio halafu linapokuja suala la miundombinu chakavu ya Kampuni yao wanasema tunaisubiri serikali itupatie fedha za ukarabati,ajabu sana hio.
 
kama yule bwana alikula na wao wacha wale nnakataza rushwa wakati wenyewe walaji wazur tyu mkidhurumiana ndio mnajifanya ooh tumeshika watu 8 kumbe kwenye dili hukuwekwa mbavuuuuu
 
Asilimia kubwa kwenye Hilo kundi wanatoka Kilimanjaro aisee
Una chuki na kilimanjaro tangu siku nyingi
Makosa hayachagui kabila
Vipi rugemalila,Seth nΓ£o ni wa kilimanjaro ?
Endelea kucheza baikoko kwenu mkuranga huko sisi tunaendelea kupiga kitabu ndio maana kila idara tupo
 
Dah nilijua tu kina Minja,Lema,Temba lazima wapate namba,huwezi kuwaweka sub hawa watu
Vijitu ambavyo havijasoma Vina wivu sana
Hizi ni tuhuma tu mkuu
Na wizi hauna Kabila,Seth, rugemalila nΓ£o ni kina temba?
Sisi na elimu endelea kucheza baikoko hapo kimazichana
 
Alafu tunalilia ukombozi eti, wakati tunaishi kwa maigizo. Ndo maana Mimi huwa nakaa nawatazama tu na sinema zao
 
Then alikua na haja gani ya kuwa-harass hadharani,tambo nyiiingi wkt hakuna kitu wamefanya.

Ameshawafanyia watu wangapi mambo ya hivo na hajarudi hadharani kuwaomba msamaha kwa kuwachafulia image yao huku yeye akijichukulia credit?
Kwa sababu ulipelekwa mezani kwake ili usainiwe!
 
Unaposamehe bahadhi na wengine ukawaacha, sio sawa kabisa. Inatakiwa vigezo vya kusamehe viwe wazi ili kila mtu aweze kuvitumia.

Mungu pekee ndiye mwenye hukumu ya haki, wengine magumashi tu
 
Hii adhabu imepitishwa lini na Bunge? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwahiyo ni majambazi wangapi nao wamepewa hii adhabu?
Linganisha wizi wa kalamu na wizi wa bunduki SMG, G3, AK 47, nk. Atangulie wa kalamu kukuvamia!! Aaa utammudu kirahisi sana!! Siku nyingine aje wa AK47, (hapa utatoa mrejesho mwenyewe), halafua uniambie bunge lilipitisha lini sheria ya kumuwahi mtu hatari wa namna hiyo kama una uwezo wa kufanya hivyo.
 
Anayeiba kwa kalamu na anayeiba kwa AK47(nakunukuu 😎) wote ni wezi maana wote wameiba ila tofauti ni adhabu watakazopata kwa mujibu wa Sheria za TANZANIA.
Ndo maana nimeuliza hii adhabu ya kusamehe mwizi imepitishwa lini na Bunge??
Kuhusu huyo mwenye Ak47 akija na kuiba atapewa kesi ya WIZI kama ya hao waliosamehewa πŸ˜‚πŸ˜‚ na akiua ataongezewa ya MAUAJI.
Mrejesho ndo huo.
 
Poor IQ!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…