luambo makiadi JF-Expert Member Joined Nov 28, 2017 Posts 10,602 Reaction score 8,798 Jun 17, 2020 #81 nguvu said: Acheni ufisadi nyie asilimia kubwa ya mafisadi ni zao la sunday school Click to expand... Kati ya ufisad na madawa ya kulevya kipi Bora? Ni heri fisad akiiba ataenda kuzizungusha mtaan
nguvu said: Acheni ufisadi nyie asilimia kubwa ya mafisadi ni zao la sunday school Click to expand... Kati ya ufisad na madawa ya kulevya kipi Bora? Ni heri fisad akiiba ataenda kuzizungusha mtaan
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 69,329 Reaction score 164,730 Jun 17, 2020 #82 mng'ato said: Hapo ndipo ma-jobless kama mimi hua tunafarijika kama vile tutafaidika na chochote kwenye inshu hio. Click to expand... Hahaha cha ajabu utaishia kufarijika na hufaidi lolote.
mng'ato said: Hapo ndipo ma-jobless kama mimi hua tunafarijika kama vile tutafaidika na chochote kwenye inshu hio. Click to expand... Hahaha cha ajabu utaishia kufarijika na hufaidi lolote.
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 22,976 Reaction score 22,564 Jun 17, 2020 #83 luambo makiadi said: Gaidi linaloua sokoni kwa kujilipua ufananishe na mwizi wa laki 5? Click to expand... Nani anazungumzia laki tano wewe? Soma mada hii watu wamepiga b ngapi
luambo makiadi said: Gaidi linaloua sokoni kwa kujilipua ufananishe na mwizi wa laki 5? Click to expand... Nani anazungumzia laki tano wewe? Soma mada hii watu wamepiga b ngapi
Analyse JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 17,637 Reaction score 47,413 Jun 18, 2020 #84 Takukuru wameweka Dau la Milion 10 kw atakayefanikisha kushikwa kwa jamaa.
B Brightg JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 372 Reaction score 662 Jun 21, 2020 #85 Hii habari ni ya kweli ameshriki kuiba au kusaidiana na hao wafanya kazi kuiba hiyo pesa
mng'ato JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 29,200 Reaction score 49,076 Jun 22, 2020 #86 Glenn said: Hahaha cha ajabu utaishia kufarijika na hufaidi lolote. Click to expand... Wanyonge oyeeeeeeeeee.
Glenn said: Hahaha cha ajabu utaishia kufarijika na hufaidi lolote. Click to expand... Wanyonge oyeeeeeeeeee.