TAKUKURU yaagiza milango 83 ya kituo kipya cha Afya kuondolewa kutokana na kukosa ubora uliohitajika

TAKUKURU yaagiza milango 83 ya kituo kipya cha Afya kuondolewa kutokana na kukosa ubora uliohitajika

Izo ndo bei mkuu za mlango bado fremu mm naona ata mzabuni nae hayupo serious kisa kusainishwa milion 28.
Mimi nlijikongoja niliweka milango 5, mbao ya mkongo..... Mbao nmenunua mwenyewe keko mkongo original pisi kadhaaaa...... Tena hakuna mtu mbishi kama mm maana nayajua machocho yte
Kupigwa Kazi sanaaaaa
Fundi kaniambia labour kila mlango 450,000,hyo ni mpaka Finnishing hadi vitasa kuweka
Na Finnishing halisi ya mlango si mchz maana Kuna msasa, Sila, polish
Kwa mbao ngumu ukiambiwa chini ya hapo utapigwa tu
Na milango hii ni mikatabaaaaa

Ova
 
Mbao ngumu mfano ni mininga na mkongo
Hivi bei ya mlango mninga au mkongo Pamoja na frame yake bei inakwendaje? Tuanze hapo kwanza

Ova
Kwa Dar unaongelea sio chini ya 900,000/- top na fremu yake. Sijajua Manyara wao mbao za mninga wanatoa wapi
 
Mbao ngumu mfano ni mininga na mkongo
Hivi bei ya mlango mninga au mkongo Pamoja na frame yake bei inakwendaje? Tuanze hapo kwanza

Ova
450,000 hadi laki 5 fremu pamoja na top yake kwa
 
Kwa bei ya 337,000 sio sawa mninga, mkola na mkongo sijui kwa maana mbao ngumu ikizid sana 230, 000 kwa bei ya Serikali kwa watu binafsi inacheza 150,000 mpaka 200,000 so kwa mazingira hayo hapo kuna shida fulani
Bei ya wapi hiyo
 
Hawa TAKUKURU wamegeuka tena kuwa watu wa Quality Control?
 
Kwa hiyo bei nina mashaka kama MTU anaweza kupata Mlango Wa mbao ngumu..
Hapo kuna deal. Katoa cha juu, kapewa tenda na ili kupata faida katengeneza milango iliyo chini ya kiwango. Mkataba unambana na hivyo imekula kwake.
 
Kwa Dar unaongelea sio chini ya 900,000/- top na fremu yake. Sijajua Manyara wao mbao za mninga wanatoa wapi
Kweli mm hapo tu mlango
Frame nmemtumia za zamani

Ova
 
Back
Top Bottom