TAKUKURU yaagiza milango 83 ya kituo kipya cha Afya kuondolewa kutokana na kukosa ubora uliohitajika

TAKUKURU yaagiza milango 83 ya kituo kipya cha Afya kuondolewa kutokana na kukosa ubora uliohitajika

Hizi ndo tabia za hovyo za makandarasi wazalendo. Hapo angepewa mchina, ungesikia....Oooh kwann tusipewe sisi mbona tunaweza.
 
Hivi takukuru wanahusika na ubora wa bidhaa au rushwa[emoji15]?
Rushwa ni 'vilainisho' na inatafsiri nyingi.

Yaweza kuwa ya ngono, ubwabwa na kuku, kukonyeza, cheko etc etc.

Kwa hiyo kujenga kwa kiwango dhaifu ama kufanya manunuzi ya vifaa visivyo na ubora ili kubana fedha na kutengeneza ulaji ni rushwa inayonuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ipo hapo kwenye takukuru kuamulu ibadilishwe ! Kwani wao ndio waliingia mkataba na mkandarasi? Nadhani wamefanya kazi isiyo yao.
 
Back
Top Bottom