Naton Jr JF-Expert Member Joined Oct 5, 2016 Posts 7,867 Reaction score 19,250 Sep 26, 2020 #61 Mazigazi said: Hivi takukuru wanahusika na ubora wa bidhaa au rushwa[emoji15]? Click to expand... Utajuaje mazingira ya rushwa bila kuwa mthamini?
Mazigazi said: Hivi takukuru wanahusika na ubora wa bidhaa au rushwa[emoji15]? Click to expand... Utajuaje mazingira ya rushwa bila kuwa mthamini?
Nyaka-One JF-Expert Member Joined Oct 27, 2013 Posts 4,730 Reaction score 6,736 Sep 26, 2020 #62 mrangi said: Labda surplus hzo Kwnza we hujui mbao na garama zake inaelekea Ova Click to expand... Au unamaanisha mbao za cyprus?
mrangi said: Labda surplus hzo Kwnza we hujui mbao na garama zake inaelekea Ova Click to expand... Au unamaanisha mbao za cyprus?
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Sep 28, 2020 #63 Nyaka-One said: Au unamaanisha mbao za cyprus? Click to expand... Hizo hizo Cyprus... Lugha ili gongana kdg Ova
Nyaka-One said: Au unamaanisha mbao za cyprus? Click to expand... Hizo hizo Cyprus... Lugha ili gongana kdg Ova
Masulupwete JF-Expert Member Joined Feb 15, 2012 Posts 2,366 Reaction score 2,424 Sep 28, 2020 #64 Hizi ndo tabia za hovyo za makandarasi wazalendo. Hapo angepewa mchina, ungesikia....Oooh kwann tusipewe sisi mbona tunaweza.
Hizi ndo tabia za hovyo za makandarasi wazalendo. Hapo angepewa mchina, ungesikia....Oooh kwann tusipewe sisi mbona tunaweza.
Sakasaka Mao JF-Expert Member Joined Sep 29, 2016 Posts 12,826 Reaction score 17,371 Sep 28, 2020 #65 Mazigazi said: Hivi takukuru wanahusika na ubora wa bidhaa au rushwa[emoji15]? Click to expand... Rushwa ni 'vilainisho' na inatafsiri nyingi. Yaweza kuwa ya ngono, ubwabwa na kuku, kukonyeza, cheko etc etc. Kwa hiyo kujenga kwa kiwango dhaifu ama kufanya manunuzi ya vifaa visivyo na ubora ili kubana fedha na kutengeneza ulaji ni rushwa inayonuka. Sent using Jamii Forums mobile app
Mazigazi said: Hivi takukuru wanahusika na ubora wa bidhaa au rushwa[emoji15]? Click to expand... Rushwa ni 'vilainisho' na inatafsiri nyingi. Yaweza kuwa ya ngono, ubwabwa na kuku, kukonyeza, cheko etc etc. Kwa hiyo kujenga kwa kiwango dhaifu ama kufanya manunuzi ya vifaa visivyo na ubora ili kubana fedha na kutengeneza ulaji ni rushwa inayonuka. Sent using Jamii Forums mobile app
M Mnyaluhala. JF-Expert Member Joined Jul 28, 2012 Posts 1,430 Reaction score 1,785 Sep 28, 2020 #66 Shida ipo hapo kwenye takukuru kuamulu ibadilishwe ! Kwani wao ndio waliingia mkataba na mkandarasi? Nadhani wamefanya kazi isiyo yao.
Shida ipo hapo kwenye takukuru kuamulu ibadilishwe ! Kwani wao ndio waliingia mkataba na mkandarasi? Nadhani wamefanya kazi isiyo yao.