Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Chadema wakisusa usitegemee uchaguzi kuahirishwa. Huo utakuwa mwisho wao. TLP watajipatia angalau wabunge wawili.Tayari lengo ni kusaka kisingizio cha kuahirisha uchaguzi kwani endapo chadema watasusia uchaguzi itabidi kuahirisha
Ndg yangu pamoja na msukumo mkubwa wa kishetani, waonaje ukiwa mvumilivu ukasubiri kwanza matokeo. Maana utapata taabu sana kutafuta mapya ya kuongea.Dunia hii haina watu wema kiasi hicho. KWamba kila siku wakiona maovu wanasema. Wema wapo waovu wapo. Iko siku wote hao wanaamua kusema ukweli. Hata waovu kuna siku wanaamua kusema yote! Tatizo la Mbowe na wenzake ni kwamba wanashindwa kuwaheshimu waovu wenzao ili siri ya uovu wao ubakie ndani.
Mtahangaika sana kama mlivyohangaka kupima mapapai.Wanachadema wanasemaje maana kumbe hata ada za kadi za mwanachama zimeliwa na kina mbowe
Naona waliko hali sio nzuri
Sasa unataka kuhalalisha matumizi mabaya ya fedha. Kama ndugai alitumia 12bl kwa huyo Mbowe kula 8 bl mi sawa tu.Kuwa Nchi ya hovyo ni pamoja na kutafuna bilion 12 na Ndungai ni Taifa lipi Duniani wamewahi kutumia pesa nyingi kiasi hicho kwa matibabu ya mtu mmoja?
Mkuu, sio kwamba Vyama sasa vinasaidiwa Ku make mambo Yao!!
Kwa mfn, ikifahamika mwizi wa Chama huko, Takukuru itakuwa imekusaidia kumfahamu huyo mwizi
Lkn Kwa nini mnaingiwa hofu Sana Chama makini kama mnavyokiita wenyewe
Inatategemea mkuu, maana unaweza ukakutwa uko Safi na ukaendelea kushuka vilevile,kwahiyo kama hakuna ubadhirifu wowote umaarufu wa ccm unashuka siyo
Pale ulipomalizia, ndipo palipoonyesha hofu yako mkuuHamna hofu yoyote wala usitake kuifanya ionekane kuna hofu. Hao Takukuru hata wakitaka walale kwenye hizo ofisi za cdm, na wakakikuta chochote kibaya wachukue hatua haraka sana. Lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa hao Takukuru ni mamlaka inayotumika kukomoa wasio upande wa rais.
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), imeanza kuchunguza tuhuma za matumizi mabaya ya fedha, inazokikabili Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
“Kwa mujibu wa taarifa tulizo nazo, kuna matumizi mabaya ya fedha za michango ya wanachama, ambayo kwa mujibu wa katiba yao wanadai imeanishwa wachangie.”
“Lakini, matumizi yake ndio wanatilia mashaka, kuna fedha nyingi zinatumika ndivyo sivyo, kwa mujibu wa makubaliano yao,” amesema Jenerali Mbungo.
“Kwa hiyo, tunachunguza matumizi yasiyo sahihi ya fedha zao, Takukuru inayomamlaka ya kuchunguza taasisi yoyote iwe ya umma, watu binafsi, chama, klabu, iwe chochote Takukuru wanaingia kufanya uchunguzi, ilimradi kuwe na ubadhirifu au matumizi mabaya ya fedha na rushwa,” amesema bosi huyo wa Takukuru.
Mbungo amewataja baadhi ya watakaohojiwa ni; Dk. Vincent Mashinji, aliyekuwa Katibu Mkuu Chadema, ambaye kwa sasa amehamia Chama cha Mapinduzi (CCM), John Mrema, Mkurugenzi wa Itifaki na Mambo ya Nje Chadema, pamoja na mhasibu mkuu wa chama hicho, Dk. Roderick Lutembeka.
Aidha, Jenerali Mbungo amesema wameshindwa kumhoji Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, kuhusu sakata hilo, kwa kuwa aliieleza TAKUKURU kwamba yuko nje ya jiji la Dar es Salaam.
Amesema, taasisi hiyo imeshaanza kukusanya nyaraka mbalimbali, zinazohusiana na tuhuma hizo.
“Tumeshapata nyaraka kutoka sehemu mbalimbali, wametupatia nyaraka, wamekuwa wanatoa ushirikiano katika hili,” amesema Mbungo.
Jumamosi ya tarehe 23 Mei 2020, Benson Kigaila, Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Bara, alikanusha tuhuma hizo, akisema kwamba, hakuna uthibitisho unaoonesha chama hicho kina matumizi mabaya ya fedha.
Kigaila alisema, fedha za michango ya wabunge na zinazotoka kwa wadau wengine wa Chadema, matumizi yake hupangwa na vikao vyake vya chama, wakati bajeti ya matumizi hayo ikipitishwa na baraza kuu, kisha taarifa zake hutolewa na kamati kuu ya chama hicho.
Kigaila alisema, Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), hukagua taarifa za matumizi ya Chadema, na kwamba kwa mujibu wa ukaguzi huo, hakuna ushahidi kuhusu tuhuma za matumizi mabaya ya fedha.
Pale ulipomalizia, ndipo palipoonyesha hofu yako mkuu
Andika Kiswahili tu bwana. Otanshonesa!!Nachokiona hapo ni njaa za ccm / chadema nimpango wa Mungu
Mkimaliza kuchunguza what the next ....
Chadema wakisusa usitegemee uchaguzi kuahirishwa. Huo utakuwa mwisho wao. TLP watajipatia angalau wabunge wawili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huhitaji kutafuta ya kuongea ktk dunia hii. Hata ukiamua kutembea bila malengo, kama akili yako iko timamu kama yangu, utashabikia hata majogoo yanayopigana. Sasa itakuwaje nisiongee juu ya mtu mdhaifu anayeshindwa hata kujitetea.Ndg yangu pamoja na msukumo mkubwa wa kishetani, waonaje ukiwa mvumilivu ukasubiri kwanza matokeo. Maana utapata taabu sana kutafuta mapya ya kuongea.
Audit report ya CAG inatoa reasonable assurance not absolute. Hii ya TAKUKURU ni investigation ambayo itatoa absolute assurance. Tulia taasisi ifanye kaziTarget hapo ni Mbowe tu..
Inamaana ripoti ya CAG hati safi kqa cdm hawaiamini!?
CAG mbona haukuikagua Chadema?TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), imeanza kuchunguza tuhuma za matumizi mabaya ya fedha, inazokikabili Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
“Kwa mujibu wa taarifa tulizo nazo, kuna matumizi mabaya ya fedha za michango ya wanachama, ambayo kwa mujibu wa katiba yao wanadai imeanishwa wachangie.”
“Lakini, matumizi yake ndio wanatilia mashaka, kuna fedha nyingi zinatumika ndivyo sivyo, kwa mujibu wa makubaliano yao,” amesema Jenerali Mbungo.
“Kwa hiyo, tunachunguza matumizi yasiyo sahihi ya fedha zao, Takukuru inayomamlaka ya kuchunguza taasisi yoyote iwe ya umma, watu binafsi, chama, klabu, iwe chochote Takukuru wanaingia kufanya uchunguzi, ilimradi kuwe na ubadhirifu au matumizi mabaya ya fedha na rushwa,” amesema bosi huyo wa Takukuru.
Mbungo amewataja baadhi ya watakaohojiwa ni; Dk. Vincent Mashinji, aliyekuwa Katibu Mkuu Chadema, ambaye kwa sasa amehamia Chama cha Mapinduzi (CCM), John Mrema, Mkurugenzi wa Itifaki na Mambo ya Nje Chadema, pamoja na mhasibu mkuu wa chama hicho, Dk. Roderick Lutembeka.
Aidha, Jenerali Mbungo amesema wameshindwa kumhoji Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, kuhusu sakata hilo, kwa kuwa aliieleza TAKUKURU kwamba yuko nje ya jiji la Dar es Salaam.
Amesema, taasisi hiyo imeshaanza kukusanya nyaraka mbalimbali, zinazohusiana na tuhuma hizo.
“Tumeshapata nyaraka kutoka sehemu mbalimbali, wametupatia nyaraka, wamekuwa wanatoa ushirikiano katika hili,” amesema Mbungo.
Jumamosi ya tarehe 23 Mei 2020, Benson Kigaila, Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Bara, alikanusha tuhuma hizo, akisema kwamba, hakuna uthibitisho unaoonesha chama hicho kina matumizi mabaya ya fedha.
Kigaila alisema, fedha za michango ya wabunge na zinazotoka kwa wadau wengine wa Chadema, matumizi yake hupangwa na vikao vyake vya chama, wakati bajeti ya matumizi hayo ikipitishwa na baraza kuu, kisha taarifa zake hutolewa na kamati kuu ya chama hicho.
Kigaila alisema, Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), hukagua taarifa za matumizi ya Chadema, na kwamba kwa mujibu wa ukaguzi huo, hakuna ushahidi kuhusu tuhuma za matumizi mabaya ya fedha.
Si mara ya kwanza kutumika kisiasa.Huyu mkuu wa takukuru pamoja na kuwa ametoka kwenye taasisi inayo heshimika kama JWTZ lakini amekubali kutumika kunyanyasa wananchi wasio na hatia kwa manufaa ya CCM.
Hii ndio hatari kubwa ya kutumia wanajeshi sehemu ambazo sio zao
Wakisha zoea kupindisha mambo ipo siku watapindisha sehemu siyo lwa manufaa yao wenyewe.
Wait and see.
Inasikitisha kwa kweli. Tulitegemea wajeshi wawe na misimamo na si kutumika kwenye siasa. Yet macho wacha tuone watakapoishia. Nacho kiona Mu ngu amewaacha waipaishe Chadema bila wao kujua kwani sasa watu wengi wanawahirumoa Chadema kwa mfano wa nyundo kutumika kumpiga sisimizi au watu mia kuchangia kumpiga mnyonge. Hakika tutaona matokeo October 2020.Huyu mkuu wa takukuru pamoja na kuwa ametoka kwenye taasisi inayo heshimika kama JWTZ lakini amekubali kutumika kunyanyasa wananchi wasio na hatia kwa manufaa ya CCM.
Hii ndio hatari kubwa ya kutumia wanajeshi sehemu ambazo sio zao
Wakisha zoea kupindisha mambo ipo siku watapindisha sehemu siyo lwa manufaa yao wenyewe.
Wait and see.
Yaan PCCCB wana weledi wa ukaguzi kumzidi mtaalamu ambaye kakaa darasani zaidi ya miaka mitatu na kaidhinishwa na bodi kwenye ukaguzi? hata kama ni mahaba haya ni zaidi ya mahaba niueCAG alidanganywa kuna deni la chama linalipwa. Kumbe ni deni hewa ambalo mmiliki wa Chadema alijitengenezea. Acha Pccb wapate ukweli alafu watu waende lupango.
Tatizo ni akili ndogo. Kwa hiyo unadhani Pccb hamna Auditors?Yaan PCCCB wana weledi wa ukaguzi kumzidi mtaalamu ambaye kakaa darasani zaidi ya miaka mitatu na kaidhinishwa na bodi kwenye ukaguzi? hata kama ni mahaba haya ni zaidi ya mahaba niue
NA. PIA NILISIKIA HUKO NYUMA MIEZI KADHAA KUWA KWENYE CHAMA CHETU PENDWA CHAMA TAWALA CCM. KUNAWATU WALIKUWA WAMENUFAIKA NA MALI ZA CHAMA, KAMA MAJENGO VIWANJA NA MIRANDI MBALI MBALI ZA CHAMA. HIVI KUMBE HATA WANAJESHI WANAKIOGOPA CHAMA CHETU CCM. HAKUNA ALIYEOJI SI MSAJILI WALA TAKUKURU. HIKO KAZI . MAREHEMU BABA YANGU ALINIFUNDISHA MSEMO USEMAO, MBWA WA MFALME NI MFALME KWA MBWA WENZAKE. UTOTO BWANA SIKUMUELEWA BABA. KWELI KUA UYAONE.Wanamtafuta Mbowe na CHADEMA kuiua. Hakuna lolote hapo, ni sawa na ya Idriss, magoti et all na wengine wanaotafutiwa visa kuwafunga. Wamemkosa Mbowe kote, sasa wanamtafuta pa kumbambikia uhujumu uchumi, utakatishaji fedha!
Hivi wewe ulitaka ajitetee kwa kila mtu na hata wapayukaji kama nyie 'akina tunasikia'?Huhitaji kutafuta ya kuongea ktk dunia hii. Hata ukiamua kutembea bila malengo, kama akili yako iko timamu kama yangu, utashabikia hata majogoo yanayopigana. Sasa itakuwaje nisiongee juu ya mtu mdhaifu anayeshindwa hata kujitetea.
Kumbuka mambo mawili ambayo humaliza sifa ya mwanadamu kwa urahisi sana: Ngono na wizi! Je, boss wetu amejibu lolote? Au anaonesha ana busara sana kwa kukaa kimya?