TAKUKURU yaanza kuichunguza CHADEMA kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha

Maagizo kutoka juu kwa muoga fulani wa siasa za ushindani.

Sasa hata vilaza wataelewa kinachoendelea nchii .
Mkuu, sio kwamba Vyama sasa vinasaidiwa Ku make mambo Yao!!

Kwa mfn, ikifahamika mwizi wa Chama huko, Takukuru itakuwa imekusaidia kumfahamu huyo mwizi

Lkn Kwa nini mnaingiwa hofu Sana Chama makini kama mnavyokiita wenyewe
 
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), imeanza kuchunguza tuhuma za matumizi mabaya ya fedha, inazokikabili Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

“Kwa mujibu wa taarifa tulizo nazo, kuna matumizi mabaya ya fedha za michango ya wanachama, ambayo kwa mujibu wa katiba yao wanadai imeanishwa wachangie.”

“Lakini, matumizi yake ndio wanatilia mashaka, kuna fedha nyingi zinatumika ndivyo sivyo, kwa mujibu wa makubaliano yao,” amesema Jenerali Mbungo.

“Kwa hiyo, tunachunguza matumizi yasiyo sahihi ya fedha zao, Takukuru inayomamlaka ya kuchunguza taasisi yoyote iwe ya umma, watu binafsi, chama, klabu, iwe chochote Takukuru wanaingia kufanya uchunguzi, ilimradi kuwe na ubadhirifu au matumizi mabaya ya fedha na rushwa,” amesema bosi huyo wa Takukuru.

Mbungo amewataja baadhi ya watakaohojiwa ni; Dk. Vincent Mashinji, aliyekuwa Katibu Mkuu Chadema, ambaye kwa sasa amehamia Chama cha Mapinduzi (CCM), John Mrema, Mkurugenzi wa Itifaki na Mambo ya Nje Chadema, pamoja na mhasibu mkuu wa chama hicho, Dk. Roderick Lutembeka.

Aidha, Jenerali Mbungo amesema wameshindwa kumhoji Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, kuhusu sakata hilo, kwa kuwa aliieleza TAKUKURU kwamba yuko nje ya jiji la Dar es Salaam.

Amesema, taasisi hiyo imeshaanza kukusanya nyaraka mbalimbali, zinazohusiana na tuhuma hizo.

“Tumeshapata nyaraka kutoka sehemu mbalimbali, wametupatia nyaraka, wamekuwa wanatoa ushirikiano katika hili,” amesema Mbungo.

Jumamosi ya tarehe 23 Mei 2020, Benson Kigaila, Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Bara, alikanusha tuhuma hizo, akisema kwamba, hakuna uthibitisho unaoonesha chama hicho kina matumizi mabaya ya fedha.

Kigaila alisema, fedha za michango ya wabunge na zinazotoka kwa wadau wengine wa Chadema, matumizi yake hupangwa na vikao vyake vya chama, wakati bajeti ya matumizi hayo ikipitishwa na baraza kuu, kisha taarifa zake hutolewa na kamati kuu ya chama hicho.

Kigaila alisema, Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), hukagua taarifa za matumizi ya Chadema, na kwamba kwa mujibu wa ukaguzi huo, hakuna ushahidi kuhusu tuhuma za matumizi mabaya ya fedha.
Hii yote ni uoga wa dikteta kuhusu uchanguzi mkuu. Kwa nini iwe sasa na si kabla?
 
sielewi nini hofu ya baadhi ya watu wa chadema kwa takukuru kufanya uchunguzi wamesahau uongo ukiachwa mwisho utakuwa ukweli. Lijuakali na Mwita wametoa tuhuma tumesikia Ester Bulaya na Benson wametoa majibu hatujui nani mkweli ni vema takukuru wakafanya uchunguzi tujue ukweli ni upi
 
Mods unganisheni hii link kwenye huu uzi.

Benson Mramba: Nimeamua kuwa Mwanachama Mfu wa CHADEMA - JamiiForums

Sent from my itel Prime 4 using JamiiForums mobile app
 
sielewi nini hofu ya baadhi ya watu wa chadema kwa takukuru kufanya uchunguzi wamesahau uongo ukiachwa mwisho utakuwa ukweli. Lijuakali na Mwita wametoa tuhuma tumesikia Ester Bulaya na Benson wametoa majibu hatujui nani mkweli ni vema takukuru wakafanya uchunguzi tujue ukweli ni upi
Ukitaka kujua usanii wa takukuru basi yale malalamiko ya chadema kuhusu yule mnyeti walipelekewa had frash je kuna kitu walifanya? Kwa kuwa zile mambo zilikuwa zinamhusu meko na mkuu wake wa wilaya tayar takukuru ni genge la ccm nafikir wangemalizana na kangi kwanza sio hivyo tu watu wanalalamika wabunge kununuliwa je wamewahi kufanyia kazi hayo malalamiko? Hili la chadema nani kawatuma? Lijualikai au [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] takukuru ni ccm damu kwa hizo alama hawama sifa ya kuichunguza chadema ndipo hofu ya watu ilipo
 
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), imeanza kuchunguza tuhuma za matumizi mabaya ya fedha, inazokikabili Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

“Kwa mujibu wa taarifa tulizo nazo, kuna matumizi mabaya ya fedha za michango ya wanachama, ambayo kwa mujibu wa katiba yao wanadai imeanishwa wachangie.”

“Lakini, matumizi yake ndio wanatilia mashaka, kuna fedha nyingi zinatumika ndivyo sivyo, kwa mujibu wa makubaliano yao,” amesema Jenerali Mbungo.

“Kwa hiyo, tunachunguza matumizi yasiyo sahihi ya fedha zao, Takukuru inayomamlaka ya kuchunguza taasisi yoyote iwe ya umma, watu binafsi, chama, klabu, iwe chochote Takukuru wanaingia kufanya uchunguzi, ilimradi kuwe na ubadhirifu au matumizi mabaya ya fedha na rushwa,” amesema bosi huyo wa Takukuru.

Mbungo amewataja baadhi ya watakaohojiwa ni; Dk. Vincent Mashinji, aliyekuwa Katibu Mkuu Chadema, ambaye kwa sasa amehamia Chama cha Mapinduzi (CCM), John Mrema, Mkurugenzi wa Itifaki na Mambo ya Nje Chadema, pamoja na mhasibu mkuu wa chama hicho, Dk. Roderick Lutembeka.

Aidha, Jenerali Mbungo amesema wameshindwa kumhoji Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, kuhusu sakata hilo, kwa kuwa aliieleza TAKUKURU kwamba yuko nje ya jiji la Dar es Salaam.

Amesema, taasisi hiyo imeshaanza kukusanya nyaraka mbalimbali, zinazohusiana na tuhuma hizo.

“Tumeshapata nyaraka kutoka sehemu mbalimbali, wametupatia nyaraka, wamekuwa wanatoa ushirikiano katika hili,” amesema Mbungo.

Jumamosi ya tarehe 23 Mei 2020, Benson Kigaila, Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Bara, alikanusha tuhuma hizo, akisema kwamba, hakuna uthibitisho unaoonesha chama hicho kina matumizi mabaya ya fedha.

Kigaila alisema, fedha za michango ya wabunge na zinazotoka kwa wadau wengine wa Chadema, matumizi yake hupangwa na vikao vyake vya chama, wakati bajeti ya matumizi hayo ikipitishwa na baraza kuu, kisha taarifa zake hutolewa na kamati kuu ya chama hicho.

Kigaila alisema, Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), hukagua taarifa za matumizi ya Chadema, na kwamba kwa mujibu wa ukaguzi huo, hakuna ushahidi kuhusu tuhuma za matumizi mabaya ya fedha.
Da hii kitu inawezeka au nakubali Takukuru kufanya kazi yake pale inapo bidi ila nionye au nishauri kufanya uchunguzi kipindi hiki ambapo ni mwaka wa uchaguzi,inaleta ukasisi kwa wananchi dhidi ya chama dola ,kwa nini msisubili mwakani bahada ya uchaguzi ili kuondoa hisia za kwamba wenda ni mpango wa chama dola ili kuifuta chadema?
Maana wananchi watajiuliza hata mgekuta madudu sahii kwamba why 2020 out of 5yrs,kwamba pamoja na serikali kua na mkono mrefu ililala?
Je kamati ya ushauri ya chama dola hamjaliona hili kwamba matukio kama haya yanawaongezea umarufu watani zenu na wao wamekaa kimia kama vile hawapo ila wanajua kadri mnavyo wataja ndivyo mnawapigia kamben?
Mwisho
Chama ambacho tiyari kimewai pokea viongozi wakuu katika nchi si cha kubeza na tiyari kina mikakari mingi hasa wenda ya siri zaidi so kukimaliza lazima uje na mikakati ya kisayansi zaidi na kutumia akili kubwa
 
Wanatakiwa waanze na CCM ambayo inapata zaidi ya 1B ruzuku kwa mwezi kwa miaka mitano ni zaidi ya 70B na bado matumizi yake hajulikani, wana viwanja vya michezo majengo mengi wamepora ya umma na wanalipwa kodi mpaka wameny'anya stand Manyara.
 
Kwa hiyo TAKUKURU wameamua kufanya kazi ya CAG?
PCCB ina wahasibu, mainjinia, wanasayansi, kila taaluma! Maana yake huwa ni hiyo na wana uwezo wa kukusimamisha mahakamani. CAG hana madaraka hayo.

Hata hivyo, huyo boss wa CHADEMA, Mbowe, kwa nini busara yake iko kwenye kunyamazia tuhuma na matatizo ya kifedha? Akisimama huwa anajibu mambo ya mitaani tu! Fedha huwa anakwepa utadhani ni mara ya kwanza kumtaja ktk ufisadi. Sasa yanakuja ya Lijualikali juu ya kukwepa kulipa kodi ya magari kwa udanganyifu. Hayo ndo matatizo ya kutoheshimu waovu wenzake.
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Mbona ilipo tajwa ile 1.5tr hawakuja mbele na kumhoji.muhusika? Nani asiye jua ccm inahangaika kwa ajili ya kura october 2020
Tumia akili kidogo basi, unajua maana ya uchunguzi? Hapo CCM inahusika vipi? TAKUKURU ipo kwa mujibu wa sheria. Tuwaache wafanye uchunguzi mwisho wa siku watatuletea majibu yaliyo sahihi.
 
Hakuna wizi, hao walio lalamika wamesha ambiwa cha kupeleka..

Nani asiye jua ccm hawakubaliki nanwanatafuta namna ya kutoka oct 2020
Wanachama wa chadema wenye ushahidi wowote wa wizi chadema pelekeni vielelezo takukuru au polisi kupitia email nk vilivyoko kwenye website zao
Huu ndio wakati wenu wa kusafisha chama
 
Waliwaweka jela, wananchi tukawatoa. Najua wameumia sana na wanajua suprise ipo kwenye uchaguzi.

Tunataka takukuru isiyo kula rushwa.
Hii yote ni uoga wa dikteta kuhusu uchanguzi mkuu. Kwa nini iwe sasa na si kabla?
 
Takukuru wanatakiwa kushtakiwa kwa kula rushwa.
Ukitaka kujua usanii wa takukuru basi yale malalamiko ya chadema kuhusu yule mnyeti walipelekewa had frash je kuna kitu walifanya? Kwa kuwa zile mambo zilikuwa zinamhusu meko na mkuu wake wa wilaya tayar takukuru ni genge la ccm nafikir wangemalizana na kangi kwanza sio hivyo tu watu wanalalamika wabunge kununuliwa je wamewahi kufanyia kazi hayo malalamiko? Hili la chadema nani kawatuma? Lijualikai au [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] takukuru ni ccm damu kwa hizo alama hawama sifa ya kuichunguza chadema ndipo hofu ya watu ilipo
 
Mkapa alivyosema kwenye kitabu chake fedha za EPA zilitumika kwenye kampeni za ccm, TAKUKURU washamuhoji nani mpaka leo?
 
PCCB ina wahasibu, mainjinia, wanasayansi, kila taaluma! Maana yake huwa ni hiyo na wana uwezo wa kukusimamisha mahakamani. CAG hana madaraka hayo.

Hata hivyo, huyo boss wa CHADEMA, Mbowe, kwa nini busara yake iko kwenye kunyamazia tuhuma na matatizo ya kifedha? Akisimama huwa anajibu mambo ya mitaani tu! Fedha huwa anakwepa utadhani ni mara ya kwanza kumtaja ktk ufisadi. Sasa yanakuja ya Lijualikali juu ya kukwepa kulipa kodi ya magari kwa udanganyifu. Hayo ndo matatizo ya kutoheshimu waovu wenzake.
Majukumu ya CAG ni ya kikatiba wakati TAKUKURU ni suala la kipolisi. Kwa mujibu wa katiba yetu CAG akisha kagua mahesabu hakuna mamlaka nyingine ya kumkagua.
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Da hii kitu inawezeka au nakubali Takukuru kufanya kazi yake pale inapo bidi ila nionye au nishauri kufanya uchunguzi kipindi hiki ambapo ni mwaka wa uchaguzi,inaleta ukasisi kwa wananchi dhidi ya chama dola ,kwa nini msisubili mwakani bahada ya uchaguzi ili kuondoa hisia za kwamba wenda ni mpango wa chama dola ili kuifuta chadema?
Maana wananchi watajiuliza hata mgekuta madudu sahii kwamba why 2020 out of 5yrs,kwamba pamoja na serikali kua na mkono mrefu ililala?
Je kamati ya ushauri ya chama dola hamjaliona hili kwamba matukio kama haya yanawaongezea umarufu watani zenu na wao wamekaa kimia kama vile hawapo ila wanajua kadri mnavyo wataja ndivyo mnawapigia kamben?
Mwisho
Chama ambacho tiyari kimewai pokea viongozi wakuu katika nchi si cha kubeza na tiyari kina mikakari mingi hasa wenda ya siri zaidi so kukimaliza lazima uje na mikakati ya kisayansi zaidi na kutumia akili kubwa
Na chadema hata kutotumia nguvu nyingi kama kweli unataka kisikusumbue na kisife au hata kutengeneza siku moja ukawa na ccm inawezekana tena kirahisi sema wengine hatuwezi sema hapa basi tu ,ngoja tuwaache wenye makali
 
Sasa hizo zenye ushahidi Takukuru anaenda Kufanya nini sasa!!

Mbona mnachanganyikiwa? Unajua mnafurahisha Sana, Maana hamueleweki, kabla ya hili tukio si ndio nyie mlikuwa mnasema hakuna ubadhirifu ndani ya Chama?

Mbowe anaonewa Tu, hajawahi kula pesa ya Chama? Sasa wasiwasi wenu ni nini tena?
Hao makamanda hawajui wanataka Nini. Walipinga Sana tuhuma za Lijualikali na Waitara. Sasa wamepata sehemu ya kuthibitisha uongo wa wabunge wao dhidi ya Mbowe wanaanza kukataa uchunguzi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hiyo michango ya wabunge wa CDM inazidi zile 1.5 T.
Hapa ndipo utajua kwanini mtu aliamua kuandika kwenye mawe, makopo, milima na madaraja yote Tz 2015 yeye ni rais badala ya kuandika usoni au mgogoni kwa wapigakura.
 
Back
Top Bottom