Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Mungu yupi huyo?chadema nimpango wa Mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu yupi huyo?chadema nimpango wa Mungu
Hili genge la ccm limeishia wapi na ule uchunguzi wa kangi lugola?Hali yenu ngumu sana mnaishi kwa hofu kuu
Ndo Yale yalee!
Kaa kwenye hoja mkuu, la kama unaona uchungu tafuta kamba jitundike, Mzee atazaa watoto wengine,
Kila taasisi, kila mahali ambapo hapaeleweki kuhusu matumizi ya Fedha za walala Hoi patachunguzwa,
Zamu iliyopo sasa ni Chama kinachopianiwa na wanachama wake kuwa ni Safi!!! Ndiyo kipo kwenye zamu ya uchunguzi wa Takukuru na huwezi kuwapangia
Shida iko wapi mkuu
😂Wewe mwenyewe mchafu jichunguze wewe kwanza ukiwa msafi ndipo unaanza kuwachunguza wengine waanze na kivuko cha Dsm Bagamoyo bilion 12 za Ndungai, bilion 251 wizara ya ujenzi na zingine nyingi huko CCM kwanza kabla hawajaenda popote
Huu ujinga bakia nao kwanza elezea zipo wapi bilion 12 alizochukua Ndungai kabla hatujauliza 10% ununuzi wa Ndege na miradi mingineTRA pia wadai Chao kwa Mbowe kwakinachoitwa walikilikopesha chama kwa riba.Je Mbowe kasajiliwa benki kuu akapewa leseni ya kuendesha biashara ya mikopo? Wote wanaosema walikopesha chadema kwa RIba TRA na BOT washukieni Kama mwewe.TRA daini chenu na malimbikizo ya Kodi ya hiyo riba
Na msajili wa makampuni awe shahidi Kama aliwapa leseni ya kukopesha hao wanaosema walikopesha chadema
Tangu enzi za kina wangwe kilikuwa na tuhuma zimefika kwa pilatoZamu ikifika Tutaingia huko, Kwa sasa ni Chadema, na Chadema inasemekana ni tangu enzi za kina Wangwe, kelele hizo zipo
Ahahahaaaa [emoji3][emoji23][emoji1787]. Umeshabikia na hili ?! Mahojiano ya kina Lugora na pccb yalikomea wapi ?!.CAG alidanganywa kuna deni la chama linalipwa. Kumbe ni deni hewa ambalo mmiliki wa Chadema alijitengenezea. Acha Pccb wapate ukweli alafu watu waende lupango.
Kabisa anakopesha wasiokopesheka anajilipa ndani kwa ndaniTRA pia wadai Chao kwa Mbowe kwakinachoitwa walikilikopesha chama kwa riba.Je Mbowe kasajiliwa benki kuu akapewa leseni ya kuendesha biashara ya mikopo? Wote wanaosema walikopesha chadema kwa RIba TRA na BOT washukieni Kama mwewe.TRA daini chenu na malimbikizo ya Kodi ya hiyo riba
Na msajili wa makampuni awe shahidi Kama aliwapa leseni ya kukopesha hao wanaosema walikopesha chadema
Kumbe ukistaafu unaandika PUMBA hivyo, acha kudhallisha wastaafu wewe, nani kati ya hao ametafutiwa kisa?all na wengine wanaotafutiwa visa kuwafunga
Mashinji ni key witness. Maana alishuhudi ulaghai ukifanyika.Kwamba Mashinji huyu anayesusiwa salamu na akina Halima atahojiwa kuhusu chama cha akina Halima.
Kama hakuna upigaji ni vizuri au huo upigaji umhusu Mashinji pia tofauti na hapo hana sababu ya kutokuwachomea!
Unalinganisha serkali na chamaWewe mwenyewe mchafu jichunguze wewe kwanza ukiwa msafi ndipo unaanza kuwachunguza wengine waanze na kivuko cha Dsm Bagamoyo bilion 12 za Ndungai, bilion 251 wizara ya ujenzi na zingine nyingi huko CCM kwanza kabla hawajaenda popote
Tunaamini ataifanyia kazi hata ile ripoti ya ufujaji wa fedha na mali za CCM. Ripoti hii alihusika kuchunguza na kuandika ndugu yetu Katibu Mkuu wa CCM Bashiru Ally. Tunaamini hata mambo yale ya Mkuu wa wilaya ya Hai nayo yatachunguzwa tu. Hapo tutaona anatenda haki kweli kweli.TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), imeanza kuchunguza tuhuma za matumizi mabaya ya fedha, inazokikabili Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
“Kwa mujibu wa taarifa tulizo nazo, kuna matumizi mabaya ya fedha za michango ya wanachama, ambayo kwa mujibu wa katiba yao wanadai imeanishwa wachangie.”
“Lakini, matumizi yake ndio wanatilia mashaka, kuna fedha nyingi zinatumika ndivyo sivyo, kwa mujibu wa makubaliano yao,” amesema Jenerali Mbungo.
“Kwa hiyo, tunachunguza matumizi yasiyo sahihi ya fedha zao, Takukuru inayomamlaka ya kuchunguza taasisi yoyote iwe ya umma, watu binafsi, chama, klabu, iwe chochote Takukuru wanaingia kufanya uchunguzi, ilimradi kuwe na ubadhirifu au matumizi mabaya ya fedha na rushwa,” amesema bosi huyo wa Takukuru.
Mbungo amewataja baadhi ya watakaohojiwa ni; Dk. Vincent Mashinji, aliyekuwa Katibu Mkuu Chadema, ambaye kwa sasa amehamia Chama cha Mapinduzi (CCM), John Mrema, Mkurugenzi wa Itifaki na Mambo ya Nje Chadema, pamoja na mhasibu mkuu wa chama hicho, Dk. Roderick Lutembeka.
Aidha, Jenerali Mbungo amesema wameshindwa kumhoji Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, kuhusu sakata hilo, kwa kuwa aliieleza TAKUKURU kwamba yuko nje ya jiji la Dar es Salaam.
Amesema, taasisi hiyo imeshaanza kukusanya nyaraka mbalimbali, zinazohusiana na tuhuma hizo.
“Tumeshapata nyaraka kutoka sehemu mbalimbali, wametupatia nyaraka, wamekuwa wanatoa ushirikiano katika hili,” amesema Mbungo.
Jumamosi ya tarehe 23 Mei 2020, Benson Kigaila, Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Bara, alikanusha tuhuma hizo, akisema kwamba, hakuna uthibitisho unaoonesha chama hicho kina matumizi mabaya ya fedha.
Kigaila alisema, fedha za michango ya wabunge na zinazotoka kwa wadau wengine wa Chadema, matumizi yake hupangwa na vikao vyake vya chama, wakati bajeti ya matumizi hayo ikipitishwa na baraza kuu, kisha taarifa zake hutolewa na kamati kuu ya chama hicho.
Kigaila alisema, Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), hukagua taarifa za matumizi ya Chadema, na kwamba kwa mujibu wa ukaguzi huo, hakuna ushahidi kuhusu tuhuma za matumizi mabaya ya fedha.
Jaduong kwani hujui kuwa yapo kwa Dpp?Ahahahaaaa [emoji3][emoji23][emoji1787]. Umeshabikia na hili ?! Mahojiano ya kina Lugora na pccb yalikomea wapi ?!.
Kama CAG alishafanya ukaguzi na ikaonekana hakuna ubadhilifu, TAKUKURU wanaingiaje hapo?
Kwani kuna tuhuma za rushwa ndani ya chama cha CHADEMA mpaka hii taasisi ifanye uchunguzi?
Naomba tueleweshane kama hizi taasisi mbili zinaingiliana kimajukumu.
Lazima tukubali takukuru ni genge la ccm ule ushahidi wakina nasari na hizi kelele za wakina lijualikali zinatofauti gani? Badala ya kumsulubu mwizi wa fedha za umma kangi lugola wameachia huko kwa kuwa ni mwanachama mwenzaoTRA pia wadai Chao kwa Mbowe kwakinachoitwa walikilikopesha chama kwa riba.Je Mbowe kasajiliwa benki kuu akapewa leseni ya kuendesha biashara ya mikopo? Wote wanaosema walikopesha chadema kwa RIba TRA na BOT washukieni Kama mwewe.TRA daini chenu na malimbikizo ya Kodi ya hiyo riba
Na msajili wa makampuni awe shahidi Kama aliwapa leseni ya kukopesha hao wanaosema walikopesha chadema
Kuwa Nchi ya hovyo ni pamoja na kutafuna bilion 12 na Ndungai ni Taifa lipi Duniani wamewahi kutumia pesa nyingi kiasi hicho kwa matibabu ya mtu mmoja?😂
Mkuu, Mimi hata nikiwa mchafu nachafukwa na Mali zangu binafs, namshukuru Mungu ktk Hilo, Mimi ninauhuru wa nitumie nini na Kwa kiasi gani leo, sina kizuizi
Ila hao tuliowaamini wanapoanza kutugeuka, tunalipa Kodi bafala ya kutumika kama inavyopasa, Wao wanaanzisha Miradi ya Matrecta na mashamba huko Ifakara, wanajinunulia magari kupitia migongo ya Vyama vyao, hao ndio wanaorudisha nyuma maendeleo ya nchi yetu
Hatuwezi kuwa nchi ya hovyo kiasi hicho, ni Bora kabisa tusiwe na viongozi, maana viongozi waizi hatuwataki popote pale
Mashinji nawauwa wenzake bado waitara ni moto juu ya motoMashinji ni key witness. Maana alishuhudi ulaghai ukifanyika.
Takukuru waanzie kwa Ndungai kwanzaHujui kazi ya CAG na TAKUKURU hizi shutma zinaukweli naona woga sana
Takukuru waanzie kwa Ndungai kwanza