TAKUKURU yaanza kuichunguza CHADEMA kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha

Kuwa Nchi ya hovyo ni pamoja na kutafuna bilion 12 na Ndungai ni Taifa lipi Duniani wamewahi kutumia pesa nyingi kiasi hicho kwa matibabu ya mtu mmoja?
Mkuu, Kwa sasa ni zamu ya Chadema, hiki Chama sijui ndio cha kwako; lakini ni zamu ya Chadema, inaonyesha unahofu Sana mkuu

Embu, agizia pepcon hapo na peps bariiidi kabisa uwe unatupia kamojakamoja, bili niachie mkuu
 
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), imeanza kuchunguza tuhuma za matumizi mabaya ya fedha, inazokikabili Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

“Kwa mujibu wa taarifa tulizo nazo, kuna matumizi mabaya ya fedha za michango ya wanachama, ambayo kwa mujibu wa katiba yao wanadai imeanishwa wachangie.”

“Lakini, matumizi yake ndio wanatilia mashaka, kuna fedha nyingi zinatumika ndivyo sivyo, kwa mujibu wa makubaliano yao,” amesema Jenerali Mbungo.

“Kwa hiyo, tunachunguza matumizi yasiyo sahihi ya fedha zao, Takukuru inayomamlaka ya kuchunguza taasisi yoyote iwe ya umma, watu binafsi, chama, klabu, iwe chochote Takukuru wanaingia kufanya uchunguzi, ilimradi kuwe na ubadhirifu au matumizi mabaya ya fedha na rushwa,” amesema bosi huyo wa Takukuru.

Mbungo amewataja baadhi ya watakaohojiwa ni; Dk. Vincent Mashinji, aliyekuwa Katibu Mkuu Chadema, ambaye kwa sasa amehamia Chama cha Mapinduzi (CCM), John Mrema, Mkurugenzi wa Itifaki na Mambo ya Nje Chadema, pamoja na mhasibu mkuu wa chama hicho, Dk. Roderick Lutembeka.

Aidha, Jenerali Mbungo amesema wameshindwa kumhoji Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, kuhusu sakata hilo, kwa kuwa aliieleza TAKUKURU kwamba yuko nje ya jiji la Dar es Salaam.

Amesema, taasisi hiyo imeshaanza kukusanya nyaraka mbalimbali, zinazohusiana na tuhuma hizo.

“Tumeshapata nyaraka kutoka sehemu mbalimbali, wametupatia nyaraka, wamekuwa wanatoa ushirikiano katika hili,” amesema Mbungo.

Jumamosi ya tarehe 23 Mei 2020, Benson Kigaila, Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Bara, alikanusha tuhuma hizo, akisema kwamba, hakuna uthibitisho unaoonesha chama hicho kina matumizi mabaya ya fedha.

Kigaila alisema, fedha za michango ya wabunge na zinazotoka kwa wadau wengine wa Chadema, matumizi yake hupangwa na vikao vyake vya chama, wakati bajeti ya matumizi hayo ikipitishwa na baraza kuu, kisha taarifa zake hutolewa na kamati kuu ya chama hicho.

Kigaila alisema, Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), hukagua taarifa za matumizi ya Chadema, na kwamba kwa mujibu wa ukaguzi huo, hakuna ushahidi kuhusu tuhuma za matumizi mabaya ya fedha.
Bila shaka hata matumizi ya fedha za sisi walipa kodi zinazotumika kumlipa mwanachama na mbunge hewa wa Chadema ndugu Cecil Mwambe yatachunguzwa tu. Hakuna kitakachobaki bila kupinduliwa.
 
Kwa mujibu wa ripoti ya CAG mahesabu ya cdm yapo sahihi hivyo basi Takukuru wanakaribishwa wajiridhishe maana ni wajibu wao.
 
Kubaini matumizi yasiyo sahihi si ndo jukumu la Tanzania Auditing Corporation? Ni kweli kutumia pesa kwa shughuli tofauti na ilokusudiwa awali ni rushwa? Kama ndivyo tusemeje kwa miradi mingi ya serikali ilotekelezwa bila kutengewa fedha kwenye bajeti?
 
Wanamtafuta Mbowe na CHADEMA kuiua. Hakuna lolote hapo, ni sawa na ya Idriss, magoti et all na wengine wanaotafutiwa visa kuwafunga. Wamemkosa Mbowe kote, sasa wanamtafuta pa kumbambikia uhujumu uchumi, utakatishaji fedha!
Siku zote hakimu wa kweli ni mungu
 
Maana yake TAKUKURU wanaenda kuchunguza chenga alizopigwa CAG kwenye financial report za chama. Na wataenda hadi Kilombero kukagua yale Matreckta yaliyotelekezwa. Na ikibainika hii ni dalili ya rushwa, mhasibu mkuu wa chama na wenziwe watawajibika kwa kucheza na hesabu.
 
Huyu mkuu wa takukuru pamoja na kuwa ametoka kwenye taasisi inayo heshimika kama JWTZ lakini amekubali kutumika kunyanyasa wananchi wasio na hatia kwa manufaa ya CCM.

Hii ndio hatari kubwa ya kutumia wanajeshi sehemu ambazo sio zao

Wakisha zoea kupindisha mambo ipo siku watapindisha sehemu siyo lwa manufaa yao wenyewe.

Wait and see.
Tumia akili kidogo basi, unajua maana ya uchunguzi? Hapo CCM inahusika vipi? TAKUKURU ipo kwa mujibu wa sheria. Tuwaache wafanye uchunguzi mwisho wa siku watatuletea majibu yaliyo sahihi.
 
Kama CAG alishafanya ukaguzi na ikaonekana hakuna ubadhilifu, TAKUKURU wanaingiaje hapo?
Kwani kuna tuhuma za rushwa ndani ya chama cha CHADEMA mpaka hii taasisi ifanye uchunguzi?
Naomba tueleweshane kama hizi taasisi mbili zinaingiliana kimajukumu.
CAG sio final kukionekana Kuna issue vyombo vingine lazima viingie kazini ndio maana huweko vitu vinaitwa special audit.Aliyekwambia CAG Ni final Nani?
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Takukuru waanzie kwa Ndungai kwanza
Wewe unaropoka ujinga kama alivyokuwa mjinga Idd Amin. Ndugai alienda kutibiwa 2015-2016. Na ninyi mkatengeza uongo wa bil 24 2017-2018. Nia ni kumchafua tu acheni uongo wenu.
 
Tumia akili kidogo basi, unajua maana ya uchunguzi? Hapo CCM inahusika vipi? TAKUKURU ipo kwa mujibu wa sheria. Tuwaache wafanye uchunguzi mwisho wa siku watatuletea majibu yaliyo sahihi.
Wanachama wa chadema wenye ushahidi wowote wa wizi chadema pelekeni vielelezo takukuru au polisi kupitia email nk vilivyoko kwenye website zao
Huu ndio wakati wenu wa kusafisha chama
 
Kama CAG alishafanya ukaguzi na ikaonekana hakuna ubadhilifu, TAKUKURU wanaingiaje hapo?
Kwani kuna tuhuma za rushwa ndani ya chama cha CHADEMA mpaka hii taasisi ifanye uchunguzi?
Naomba tueleweshane kama hizi taasisi mbili zinaingiliana kimajukumu.
Hivi unajua siku hizi listi za za EFD zinanunulika mkuu, Ni rahisi kununua listi za matumizi ili kumficha mkaguzi, Ila TAKUKURU huwezi kuificha Kwa mambo hayo ndugu

Tulizana, ni namna ya kumjua mwizi wa pesa za Chama chako ili pia sasa Chama kijitanue, kifike na kwenye matawi vijijini huko

Shida ya nini Wakati unasaidiwa mkuu
 
Maagizo kutoka juu kwa muoga fulani wa siasa za ushindani.

Sasa hata vilaza wataelewa kinachoendelea nchii .
 
Unayajua majukumu ya TAKUKURU mpaka useme wamechukua hatua sahihi mkuu?
Kweli mambwiga yakupelekwapelekwa tu yako mengi.
na wewe umejiona umetoa pointi kama watu wangekuwa wanajiunga jamiiforums kwa kufanya mtihani hata wa uelewa wa mambo sidhani kama ungekuwepo na kuongea upuuzi wako
 
Back
Top Bottom