TAKUKURU yaanza kuichunguza CHADEMA kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha

Kudadeki watulie sindano iingie walitaka wenyewe .chama hiki kimejaa rushwa sana rushwa ya ngono na rushwa ya vyeo na rushwa ya pesa
Umesoma ulichoandika? Majungu tu na umbeya. Rushwa ya ngono walikuomba wewe? Mtu mzima hovyo!
 
Unamsikiliza lijuakali, very low IQ yule..
 
Huu sio ukaguzi.. hui ni uvamizi na kutaka kuifuta chadema.
 
Wasaidizi wa Meko amefanya vikao na maazimio ya siri na viongozi wote waliohama Chadema akiwemo Mashinji ma Waitara na wameazimia yafuatayo;

Wanasheria wa TISS wametoa maelekezo kwa Msajili wa vyama kutafuta mwanya wa kuifuta CHADEMA mara baada ya kumaliza

mahojiano yao na kutoa tamko kuwa kuna matumizi mabaya ya fedha nakatiba kuruhusu kukatwa mishahara yao ni ukiukwaji wa uhuru wao na wanalazimishwa

Kikao cha mwisho last week kati ya Meko na wasaidizi wake akiwemo yule aliyekufa kimeazimia hivyo

CHADEMA kaeni mguu upande!!
 
Mbowe arudishe zile bilioni nane na shilingi milioni 400 alizochukua .Acheni.kutapatapa humu
 
Uzi tayari.
Ndio maana nimekuwa mvivu sana kuingia jf.
Jukwaa la siasa nowdays ni kama jukwaa la MMU
 
Hii habari kama ni kweli basi ni sawa na kulima bustani ya mchicha kwa kutumia bludoza/katapila.
Kwa hali ilioko kwa sasa ndani ya CHADEMA kupambana nayo hakuhitaji nguvu kubwa ya kiasi hicho.Yaani vyombo vyote vya dola vinashiriki kwenye mapambano
 
Naona jeshi liningia uraiani ndio mwanzo wa raia nao kuja kuingia jeshini.... raia wataanza na ile meli yetu mbovu
 
Jumapili mchungaji fake wa river side atatetea hizi hujuma.
 
Ukimaanisha weledi wa CAG ni wa kutilia shaka, kwamba wanaweza danganywa kirahisi?
Rushwa waweza kuwa walihongwa.Mbowe kabeba bilioni nane atashindwa kumhonga CAG atoe ripoti nzuri? Tusubiri ripoti ya Takukuru tutazijua mbivu na mbichi
 
Hii habari kama ni kweli basi ni sawa na kulima bustani ya mchicha kwa kutumia bludoza/katapila.
Kwa hali ilioko kwa sasa ndani ya CHADEMA kupambana nayo hakuhitaji nguvu kubwa ya kiasi hicho.Yaani vyombo vyote vya dola vinashiriki kwenye mapambano
Chadema ni mamilioni ya watu sio hao wabunge unaowaona wenye dola ndio wanajua nguvu yake ndio maana hawalali wanaihujumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…