Patriot
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 5,705
- 4,703
Kuna mambo ukitaka yajulikane lazima uwatumie watu wa akili ya aina fulani. Ukweli au uongo siyo jambo la IQ.Unamsikiliza lijuakali, very low IQ yule..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mambo ukitaka yajulikane lazima uwatumie watu wa akili ya aina fulani. Ukweli au uongo siyo jambo la IQ.Unamsikiliza lijuakali, very low IQ yule..
tatizo huna elimu na maarifa kaongezeInatategemea mkuu, maana unaweza ukakutwa uko Safi na ukaendelea kushuka vilevile,
Yako mengi mno yanayochangia Chama changu cha zamani Chadema kushika,
Kufukuza watu kinyume na Sheria na bila kosa
Na cha msingi kabisa bila kuficha na sio kubebwa na mihemko ya kisiasa, Chadema mtakwepaa weee, lakini ukweli utabaki palepale kuwa, Kwa sasa, Chadema inahitaji kiongozi Msomi ngazi ya Digree angalau
Shida zote zilizoko huko ni za kitalaamu zaidi,
Ni miaka mingi sasa, Chadema haijajieneza kimatawi nchi nzima mpaka Leo tunazungumzia miaka zaidi ya Ishirini na... Chama hakina jengo linaloashiria nguvu ya Chama,
Nipondeni, lakini, Elimu, Elimu, Elimu, huwezi kuliepuka hilo
Pole sana,That is fallacy! Kwani kinachojadiliwa hapa ni nini? Tunasema ni haki ya TAKUKURU kuwahoji. Akini nyie munaona haifai, anaonewa. Sasa tena unasema CC ya CHADEMA ilishatoa majibu. Majibu kwa nani? CC inawezaje kuaminika wakati ndo inasimamiwa na watuhumiwa? Hiyo ni self-vindication, 'vindiciae sui.' Is that not stupid and poor thinking?
"Ubeberu hauna rangi, ubeberu ni ubeberu tu" Samora Machel 1975Hii habari kama ni kweli basi ni sawa na kulima bustani ya mchicha kwa kutumia bludoza/katapila.
Kwa hali ilioko kwa sasa ndani ya CHADEMA kupambana nayo hakuhitaji nguvu kubwa ya kiasi hicho.Yaani vyombo vyote vya dola vinashiriki kwenye mapambano
Najua umeanza kuona kwamba siko kiwango chako. Huu ni uwanja wa majadiliano. Unaposhindwa kujadili unanituma niende sijui wapi. Tuko hapa JF kwa majadiliano na tunafahamu huko nje pakoje. Kama una ufahamu lete facts. These are things they don't teach you at school.Pole sana,
Waonaje ukiwaachia wenye ufahamu na pia wamejaaliwa hekima/busara ndio waongee. Mwenyekiti wa chama ni taasisi. Hata hivyo nawe kama unavyo vielelezo basi kimbia kuvipeleka. Yowe za aina yako hazina msaada wowote kwenye mjadala wa mambo ya msingi. Amen
Ni kweli kabisa,Najua umeanza kuona kwamba siko kiwango chako.
Boss! Quote message yote ili busara ionekane. Nilichokiandika ni:Ni kweli kabisa,
kwangu mimi kama twiga ni kichekesho sana kuacha majani safi ya juu mti na kuja kula nanyi, majani ya wa aina yako/yenu ya huko chini.
Over & out
Najua umeanza kuona kwamba siko kiwango chako. Huu ni uwanja wa majadiliano. Unaposhindwa kujadili unanituma niende sijui wapi. Tuko hapa JF kwa majadiliano na tunafahamu huko nje pakoje. Kama una ufahamu lete facts. These are things they don't teach you at school.
Kwani huko TRA wanakofanya special audit kunakaguliwa na CAG?Sio kweli TRA wamekuwa wakifanya special audit kibao watu wanadaiwa Kodi kibao za miaka ya nyuma yakiwemo mashiririka ya umma
CAG akigundua kuna ubadhirifu au wizi umefanyika huagiza vyombo vya dola kufanya majukumu yao.
Naunga mkono kufanyika kwa huo uchunguzi ili wadau tuweze kufahamishwa kama ni kweli kuna huo ubadhirifu au ni nongwa tu ya wale makada wanao kihama chama.Huyu mkuu wa takukuru pamoja na kuwa ametoka kwenye taasisi inayo heshimika kama JWTZ lakini amekubali kutumika kunyanyasa wananchi wasio na hatia kwa manufaa ya CCM.
Hii ndio hatari kubwa ya kutumia wanajeshi sehemu ambazo sio zao
Wakisha zoea kupindisha mambo ipo siku watapindisha sehemu siyo lwa manufaa yao wenyewe.
Wait and see.
Naunga mkono kufanyika kwa huo uchunguzi ili wadau tuweze kufahamishwa kama ni kweli kuna huo ubadhirifu au ni nongwa tu ya wale makada wanao kihama chama.
Usitangulize lawama zisizo na msingi ,jiulize takukuru kisheria wanayo hiyo haki ya kufanya hivyo?,kama wanayo usimlaumu Mbungo,najua ingekuwa wanahojiwa Nccr Mageuzi ungepiga shangwe la kutosha
Sent using Jamii Forums mobile app
**** msemo mmoja yesu aliwaambia mafarisayo kuwa, MKIWAZUIA HAWA WATU KUONGE, NITAYA HAMRU MAWE YAONGEE. HAKIKA NAWAAPIA NDG ZANGU NA MARAFIKI WA JF, HATATOKEA BINANADAMU KATIKA KARINE HII WA KUIZUIA DEMOCKRANSIA, Hata chadema wakifugwa, Viongozi wakiama na hata baadhi ya wanachama, LAZIMA TU WATOKEE WATU WA KUOJI.NA. PIA NILISIKIA HUKO NYUMA MIEZI KADHAA KUWA KWENYE CHAMA CHETU PENDWA CHAMA TAWALA CCM. KUNAWATU WALIKUWA WAMENUFAIKA NA MALI ZA CHAMA, KAMA MAJENGO VIWANJA NA MIRANDI MBALI MBALI ZA CHAMA. HIVI KUMBE HATA WANAJESHI WANAKIOGOPA CHAMA CHETU CCM. HAKUNA ALIYEOJI SI MSAJILI WALA TAKUKURU. HIKO KAZI . MAREHEMU BABA YANGU ALINIFUNDISHA MSEMO USEMAO, MBWA WA MFALME NI MFALME KWA MBWA WENZAKE. UTOTO BWANA SIKUMUELEWA BABA. KWELI KUA UYAONE.
PCCB wanakagua tuhuma. CAG ni kitu kingine kabisa. Tuhuma toka kwa wabunge waliokihama chama na baathi ya wanachama wasiojulikana wanalalamika. Wanasema kuna ubadilifu kwenye pesa walizozichanga na Ruzuku. CAG alikagua matumizi na madeni ya chama. Ruzuku ilivyotoka na kufanya kazi. Wanaoana ni safi. Kumbe hile safi kuna matumizi asiye halali, kulipa kasich halali kwa mfanoKwa hiyo TAKUKURU wameamua kufanya kazi ya CAG?
Ndio special audit za TRA hazibagui wewe Ni private au taasisi ya serikali ambayo CAG hukagua .CAG sio final .TRA ,Takukuru waweza zuka wakati wowoteKwani huko TRA wanakofanya special audit kunakaguliwa na CAG?
Huna unachofahamu wewe! CAG anakagua matumizi na mapato yote ya chama, haijalishi ni michango au ruzuku. Hivyo tuhuma zote zinatakiwa kuanzia kwa CAG.PCCB wanakagua tuhuma. CAG ni kitu kingine kabisa. Tuhuma toka kwa wabunge waliokihama chama na baathi ya wanachama wasiojulikana wanalalamika. Wanasema kuna ubadilifu kwenye pesa walizozichanga na Ruzuku. CAG alikagua matumizi na madeni ya chama. Ruzuku ilivyotoka na kufanya kazi. Wanaoana ni safi. Kumbe hile safi kuna matumizi asiye halali, kulipa kasich halali kwa mfano
Soma vizuri katiba ya nchi utaelewa mamlaka ya CAG katika fedha za umma. TAKUKURU inakaguliwa na CAG lakini TAKUKURU haiwezi kumkagua CAG. TAKUKURU inachoweza kufanya kwa CAG ni kuchunguza jinai.Ndio special audit za TRA hazibagui wewe Ni private au taasisi ya serikali ambayo CAG hukagua .CAG sio final .TRA ,Takukuru waweza zuka wakati wowote
Bia yetu ni mke wa kada wa ccmItapendeza na Lumumba nao wachunguzwe wanatoa wapi buku saba za kumlipa Bia yetu kila siku iendayo kwa Mungu
Hivi yule Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo aliyetuhumiwa kupora zaidi ya Bil . 1 katika kikao cha madiwani wa Ubungo vipi Takukuru wamefikia wapi na Kesi yake?TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), imeanza kuchunguza tuhuma za matumizi mabaya ya fedha, inazokikabili Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
“Kwa mujibu wa taarifa tulizo nazo, kuna matumizi mabaya ya fedha za michango ya wanachama, ambayo kwa mujibu wa katiba yao wanadai imeanishwa wachangie.”
“Lakini, matumizi yake ndio wanatilia mashaka, kuna fedha nyingi zinatumika ndivyo sivyo, kwa mujibu wa makubaliano yao,” amesema Jenerali Mbungo.
“Kwa hiyo, tunachunguza matumizi yasiyo sahihi ya fedha zao, Takukuru inayomamlaka ya kuchunguza taasisi yoyote iwe ya umma, watu binafsi, chama, klabu, iwe chochote Takukuru wanaingia kufanya uchunguzi, ilimradi kuwe na ubadhirifu au matumizi mabaya ya fedha na rushwa,” amesema bosi huyo wa Takukuru.
Mbungo amewataja baadhi ya watakaohojiwa ni; Dk. Vincent Mashinji, aliyekuwa Katibu Mkuu Chadema, ambaye kwa sasa amehamia Chama cha Mapinduzi (CCM), John Mrema, Mkurugenzi wa Itifaki na Mambo ya Nje Chadema, pamoja na mhasibu mkuu wa chama hicho, Dk. Roderick Lutembeka.
Aidha, Jenerali Mbungo amesema wameshindwa kumhoji Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, kuhusu sakata hilo, kwa kuwa aliieleza TAKUKURU kwamba yuko nje ya jiji la Dar es Salaam.
Amesema, taasisi hiyo imeshaanza kukusanya nyaraka mbalimbali, zinazohusiana na tuhuma hizo.
“Tumeshapata nyaraka kutoka sehemu mbalimbali, wametupatia nyaraka, wamekuwa wanatoa ushirikiano katika hili,” amesema Mbungo.
Jumamosi ya tarehe 23 Mei 2020, Benson Kigaila, Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Bara, alikanusha tuhuma hizo, akisema kwamba, hakuna uthibitisho unaoonesha chama hicho kina matumizi mabaya ya fedha.
Kigaila alisema, fedha za michango ya wabunge na zinazotoka kwa wadau wengine wa Chadema, matumizi yake hupangwa na vikao vyake vya chama, wakati bajeti ya matumizi hayo ikipitishwa na baraza kuu, kisha taarifa zake hutolewa na kamati kuu ya chama hicho.
Kigaila alisema, Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), hukagua taarifa za matumizi ya Chadema, na kwamba kwa mujibu wa ukaguzi huo, hakuna ushahidi kuhusu tuhuma za matumizi mabaya ya fedha.